Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu

Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha

I thank God for this friend of mine

5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu

Una rafki humu?

How many years so far?
Hata kwenye maisha ya kawaida tu, kama una rafiki hakikisha hamvuki mipaka...nilikuwa na rafiki tuna 13yrs ya urafiki akaja kunikopa mwaka jana na ndo urafiki ukaishia hapo hakuwahi kunirudishia laki 5 yangu kaniblock everywhere dah
 
Pacha nakugawa. 😂😂
Mgawe kwa secretarybird mtu mBad maana analalamika kuwa pacha wako kamfanyia umafia aliweka 5-4-1 jitihada na mbinu za secretarybad zote zikakwama ikabidi aendelee kuwafukizia wakina BICHWA KOMWE - tu
IMG_20260501_093351.jpg
 
Mgawe kwa secretarybird mtu mBad maana analalamika kuwa pacha wako kamfanyia umafia aliweka 5-4-1 jitihada na mbinu za secretarybad zote zikakwama ikabidi aendelee kuwafukizia wakina BICHWA KOMWE - tu
View attachment 3582306
Ujue umesababisha kila nikimuona huyu jamaa naangua kicheko tu. 🤣🤣

Juzi kaniquote sehemu akaniwekea hizi emoja za 💪💪 ndo nikazidi kucheka. lol.
 
Engineer umetema dini la Tanzanite..!! Igweeeeeeeee 🫡

Watumiane ila wahakikishe wameinyoa kutishana hatutaki [emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81]

Unafiki na umalaya udumu ili wambea tujionee vioja..!! Halafu wanawake ndo wana shida mbona wanaume wao hawawatumii midyudyu yao? Umalaya huo mxieewwww [emoji1787][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu, kuna nini pande hizii??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom