Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Kuvua hapa ni kutake risk sana dakika yoyote kisimi kinawekwa jukwaa la matangazo....hamuogopi!!! [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] waogope nini sasa? Ikiwekwa matangazoni si ndo wateja wanaongezeka atiii.
 
6yrs now tangu tuanze kuwasiliana PM badae tukahama piemuni
Wakanichokozea rafiki angu hadi akala life ban
Nakupenda dada Lenie
😂😂
Now tunalisongesha nje na jf 😋🥰
mi siku nikipigwa ban yoyote Ile(whether temporary or permanent) huo ndo utakuwa MWISHO wangu kuspend bando langu humu JF😅😅 #your legacy lives on wacko jacko👏👏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom