Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,683
- 98,667
Kulwa naomba urafiki.
Nilidhani sisi ni marafiki 😁
Kulwa naomba urafiki.
Tabia za kimalaya hizi wachungaji hamziwezi🤣Umenishinda 🤪🤣😎
Yapo.. we wachokoze tu mods 😂Loh! Sikujua kama kuna majibu yanaweza kumpa mtu life ban!!
Pole yake wala sikunotice hiyo ID kupotea tangu 2024
Inategemea , mkivuana ndio urafiki unaweza kuzidi au kama hakuna maajabu kwenye 5x6 unapiga window chini.. MWala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha
I thank God for this friend of mine
5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu
Una rafki humu?
How many years so far?
🤣🤣🤣🤣🙌kumekuchaaaa😂😂😂
Halafu wala sio shida ni kukulana, au huo urafiki.
Tatizo wengi wenu humu ni WANAFIKI na UMALAYA!
Unafiki nauweka hapo kwenye Urafiki, na Umalaya nauweka hapo kwenye Kukulana.
Nasemaje, tumianeni chiu hizo si zenu bhana, sisi wengine macho yetu kazi yake kuziona.
😂😂😂
Udugu Lamomy njoo hukuu.
Tunagombana tunapatana tunaangalia mbele...Smart911 Rafiki wa enzi na enzi
Tangu na tangu
Shikamoo kaka
Njoo nkupe maua kabla hayajasinyaa.. mtu na nusu usiyejua kununa 😂😂
🤣🤣🤣🙌Sasa mbona mi hawanipi au sijui mifumo?
Urafiki lazima uwe na kiunganishio, muhimu tu wote muwe mnajitambua.
😃😄😁Tukivuana chupi si ndo unyama unamwagika au?
Na wewe pamoja na kupewa u platinum hupewa chochote kitu🤣We kweli legend humu. 😁
hivi mods
kwanini mme edit heading😅😅😅😅
Dah namimi NaombaHaujawa serious wenzako tumewapa😂
Engineer umetema dini la Tanzanite..!! Igweeeeeeeee 🫡😂😂😂
Halafu wala sio shida ni kukulana, au huo urafiki.
Tatizo wengi wenu humu ni WANAFIKI na UMALAYA!
Unafiki nauweka hapo kwenye Urafiki, na Umalaya nauweka hapo kwenye Kukulana.
Nasemaje, tumianeni chiu hizo si zenu bhana, sisi wengine macho yetu kazi yake kuziona.
😂😂😂
Udugu Lamomy njoo hukuu.
😂😂 AbeeWe hayaa!!🤣
Basi kuanzia Leo nimekuwa Mzee Naomba myWe si ulisema ni mzee, au hutaki?
Na wewe pamoja na kupewa u platinum hupewa chochote kitu🤣
Km kweli vileHaujawa serious wenzako tumewapa😂
Namimi nipewe jamani mnanitenga sana 😄😂😂😂

Braza 😁