Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

6yrs now tangu tuanze kuwasiliana PM badae tukahama piemuni
Wakanichokozea rafiki angu hadi akala life ban
Nakupenda dada Lenie
😂😂
Now tunalisongesha nje na jf 😋🥰
Nisaidie kunisamilia Lenie ✌️
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye bunge lao kuna mmoja kauliza eti kwani bwanaake lamomy nani JF nimchukulie 😹😹😹

Sasa namwambia hivi yeye yule waliyemtajia sio bwanaangu atajichosha kugawa hiyo community papa yake bure… asubiri kuna mwamba namfikiria sema sasa sijui kama atamkubali jinsi alivyo na manguo yake na ule ubonge kama kiboko yeleuwiiiiiiiii..!! 🤣

Anataka kufanya kisasi kwa kutumia mcumer wake hii nayo kali alooo..!!
 
Kwenye bunge lao kuna mmoja kauliza eti kwani bwanaake lamomy nani JF nimchukulie [emoji81][emoji81][emoji81]

Sasa namwambia hivi yeye yule waliyemtajia sio bwanaangu atajichosha kugawa hiyo community papa yake bure… asubiri kuna mwamba namfikiria sema sasa sijui kama atamkubali jinsi alivyo na manguo yake na ule ubonge kama kiboko yeleuwiiiiiiiii..!! [emoji1787]

Anataka kufanya kisasi kwa kutumia mcumer wake hii nayo kali alooo..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona heka heka mjinii JF hapatuliiii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom