G
guest-1790917349
Guest
Twenzetu selfika🤣🤣🤣Tabia za kimalaya hizi wachungaji hamziwezi🤣
Twenzetu selfika🤣🤣🤣Tabia za kimalaya hizi wachungaji hamziwezi🤣
As usual.. 😁🌸Tunagombana tunapatana tunaangalia mbele...
Hatukumbushii ya jana yaliyopita si ndwele...
Urafiki wa kweli...
Ahsante mdogo wangu...
😂😂😂
Halafu wala sio shida ni kukulana, au huo urafiki.
Tatizo wengi wenu humu ni WANAFIKI na UMALAYA!
Unafiki nauweka hapo kwenye Urafiki, na Umalaya nauweka hapo kwenye Kukulana.
Nasemaje, tumianeni chiu hizo si zenu bhana, sisi wengine macho yetu kazi yake kuziona.
😂😂😂
Udugu Lamomy njoo hukuu.
kipoch kimeshaliwa 🤣🤣🤣🤣🤣Mbona hamkutwambia mapema? Too late!🤦🏽♀️
Mama mchungaji namna gani pale? Kwanini hamtaki na mimi niwe sehemu ya baraka hizi?🤣🤣🤣🙌
Mi sitaki urafiki, ila naomba kifuko cha soda nilambe utamu.!Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha
I thank God for this friend of mine
5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu
Una rafki humu?
How many years so far?
Acha tu dahh🥺kipoch kimeshaliwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Una hamu na donut mkuu! Mi naww tunaheshimiana sana labda huyo mwingine!
Njoo chukua😃Dah namimi Naomba
Basi upewe kifuchu uonje heeeU platinum sio ujanja. Ni badge tuu.
Afu mbona u platinum kama mnaukuza sana? Sijapenda. 😁
Nimalize kazi hebu😁Twenzetu selfika🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🙌Mama mchungaji namna gani pale? Kwanini hamtaki na mimi niwe sehemu ya baraka hizi?
WeeeBila kuonja kibamia sio urafiki huo .akuu me siutaki
Basi upewe kifuchu uonje heee
Una status ila hujanawishwa hata mikono😂
Nilikuambia mmoja akikuchukia wapo maelfu wataendelea kukupenda, umejionea.🥰🥰 mwaaaah
Utapewa vipi na muda wote hushindi mnadani selfika 😹😹😹Namimi nipewe jamani mnanitenga sana 😄
Badala uombe upewe kama wenzioNaona kama unanibagaza sana na u platinum, ngoja niombe wanifute u platinum. 😁