hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,391
- 80,373
Wakubwa wanafaidi sanaNdioš„ŗ
Wakubwa wanafaidi sanaNdioš„ŗ
Bwana weee š¤£Kumbe mnavuana chupi humu na hamsemi?
Dah šVipi kuhusu kunyoana zivu?
God when šPole wee! Wenzako week tu wanajilia tundaš¤£
šKifuniko cha utamu ni chama kipya cha siasa sijaelewa?
Mimi mgeniNaomba urafiki,
niambie urafiki hauombwi unakuja automatic.
My! Pita hapa usome hii.Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha
I thank God for this friend of mine
5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu
Una rafki humu?
How many years so far?
hahahaNdioš„ŗ
Utapata marafiki tu nenda taratibu.Mimi mgeni
Sasa mbona mi hawanipi au sijui mifumo?
AiseeWala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha
I thank God for this friend of mine
5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu
Una rafki humu?
How many years so far?
Unashangaa nini ss mkuu, kwani we hujapewa mpaka sasa?
ila weweSasa urafiki wa nini tena jamani?
Hii ndo pointhata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu
Halafu wameandika kifuniko cha utamušhivi mods
kwanini mme edit headingš š š š
Lenie aliwakosea nini mods? Life ban sio mchezo
Hivi wewe na Maghayo mna ugomvi?? Nimeanza kuwasoma muda kidogo šHamna Dada mkubwa ,muda mwingi nacheka sana post zake za ujinga tena anaandika akiwa siriaz mpaka nawaza hivi , jamaa secretarybird kama ana familia na watoto anawezaje kujiControl na vituko vyake anaonekana mtu wa maana
Ukimkuta siku anaandika vitu vya maana na kutoa ushauri bila kujua post zake za nyuma u aweza kuona bonge la mtu , ila ni mtu safi anayeamua kujichetua muda mwingi kwa kufurahisha kijiwe cha JF tofauti na Maghayo Busu la Kenge ambaye kiuhalisia ni loose Nut kweli dishi halifanyi kazi