Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Sijui wanaoweza kufanya hivyo,mi ninachojua humu kunakuchorana tu…ajue habari zako aende inbox kuchat na rafiki yake.Au unaedhani rafiki yako kuwa rafiki na adui yako.Mweee,mi siwezi….hata nikifa siyo kuzikwa tu bali hata taarifa ya kifo changu hamtakuwa nayo.I mean it!
Itakua yalishakukuta humu,muda mwingine ni vizuri kujifunza kutokana na makosa
 
Mie nina rafiki yangu mwaka wa 15 huu bado tunafanya FEATURING ya VIKOJOLEO vyetu na urafiki haufi na haujawahi kuyumba..

Kama hujanivulia chupi we sio rafiki wa kweli, ni jamaa yangu tu.
Rafiki wa kweli, mwanangu haswa, inabidi tuoneshane mpaka sehemu zetu TUNAZOZIFICHA
 
Doh masikini mimi ,kadudu kangu kameonwa na wengi hapa ndiyo
Mi ninavichukia vidudu jamani.... Kosa ndo hilo vimeonwa na wengi wakapiga kimya. Lingekuwa dudu tungeambiana vizuri vinaliwa na wengi!.
Na ni ukweli urafiki umegoma kabisa kudumu hapa ila nadhani nijitahidi dada Seran na dada leo dada wawe wanangu wa mwisho nisilete ujinga
Karibu sana napenda marafiki ila sio wa vidudu.
nikawapoteza maana huko niliko toka naishi kwa machale sana .

Yaani kabla ya kuingia JF moyo unadunda nitakuta hajaposti ile boksa yangu mpasuko huku kisa tumekosana ?

Dah God have a mercy
 
Tukivuana chupi si ndo unyama unamwagika au?
Mkishavuana urafiki unakwisha mnabaki na urafiki wa mapenzi ambao principle zale ni tofauti.
Mfano: Mwanamme akimkopea hela mwanamke ambaye amesha mvua, uwezekano wa kurudishiwa ni sawa na Ngamia kupita kwenye tundu la sindano
ILA kama hujamvua; ukimkopea mwanamke anarudisha chap; kwanza wanawake waliowengi ni waaminifu sana wa kutunza ahadi (kama hujachanganya na mapenzi).

Kama ukimpata rafiki wa kike/kiume na unamalengo naye; weka mbali mambo ya kuvuana chupi hapo ndio utadumu naye. Binafsi nina rafiki kwa zaidi ya miaka 15yrs na tunapendana kama kaka na dada japo ameshaolewa......ni zaidi ya rafiki ILA tuliamua kuweka mapenzi mbali.....she is very bright hivyo anaelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom