Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu

Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha

I thank God for this friend of mine

5 -6yrs bado tunapishana na mishale tu

Una rafki humu?

How many years so far?
Shukuru sio ki Gen Z, kingejisahau kifunguke kila kitu hata vya ndani🤣
 
Doh masikini mimi ,kadudu kangu kameonwa na wengi hapa ndiyo

Na ni ukweli urafiki umegoma kabisa kudumu hapa ila nadhani nijitahidi dada Seran na dada leo dada wawe wanangu wa mwisho nisilete ujinga nikawapoteza maana huko niliko toka naishi kwa machale sana .

Yaani kabla ya kuingia JF moyo unadunda nitakuta hajaposti ile boksa yangu mpasuko huku kisa tumekosana ?

Dah God have a mercy
 
Mpuuzi wewe nimecheka aki🤣🤣🤣

Kama ulimtumia picha ndio utakoma zaidi! Picha hizo mzitunze muwe mnaangalia wenyewe😁

Mimi nakuamini sana mkwe huwezi ukapita na dada zako, mimi mwenyew nimekubakiza wewe tu forum nzima!😝
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom