Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,188
- 132,057
Pole 😂Kama huyu wangu kapita na ukei zote🥹
Pole 😂Kama huyu wangu kapita na ukei zote🥹
Sasa mtu umepewa uchi, afu unaanza kuvujisha siri Sasa huo c uwendawazimuMbaga umenichekesha sana mkuu. 😁
Jiandae jioni leo nipigie😄Naomba na mm 😎
Ngoja waje😅Kama kuna mtu anataka kuvuliwa na mimi naomba, anitoe ushamba kidogo
Ushkaji kwenye kunyoana zivu mkuu?😅😅😅Amna ni ushikaji tu😅
Watu wanasiri sana humu😀Kumbe mnavuana chupi humu na hamsemi?
Hivi kumbe kuna kunyoana zivu?😁😁kweli bado me mdogoUkishafikia kunyoana zivu tayari kila kitu kimefanyika, manake round kadhaa zimetimia😅
Sio kweliUrafiki wa Mwanaume na Mwanamke ni sawa na kuufanya Mua kua fimbo yakutembelea,
Siku ukihisi njaa,utautafuna tu.
Nitamwomba siku moja aninyoe😁😁Hapa unatuchora tu lakini ukweli unaujua, hata wewe unakutana na kina Seran 😅😅😅
Lugha nzuri tu mkuu, hawa viumbe tumeumbiwa ujue😅Nitamwomba siku moja aninyoe😁😁
6yrs now tangu tuanze kuwasiliana PM badae tukahama piemuni
Wakanichokozea rafiki angu hadi akala life ban
Nakupenda dada Lenie
😂😂
Now tunalisongesha nje na jf 😋🥰
Kipenzi hivyo ndo hujataka hata kutumia tafsida. Lol.Kumbe mnavuana chupi humu na hamsemi?
Pacha nakugawa. 😂😂Tukivuana chupi si ndo unyama unamwagika au?
😂😂🙌🏾Mbona hamkutwambia mapema? Too late!🤦🏽♀️
Mdogo wangu ujue umefanya nianze kumfuatilia huyo secretarybird. 😂Naunga mkono hoja 💯
Mtu wa maana kama secretarybird anakataliwa halafu anakuja kupewa Maghayo Maghabiro Busu la Kenge ambaye ni loose Nut kichwani
Twinnie mapenzi matamu 😂Pacha nakugawa. 😂😂
Uuwiiiii. 😀Inaitwa international mispresentation of disclosures. Huku nje tunajua ni Chit-Chat tu, kumbe DM watu wanavuana chupi