Zeemadeit
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 878
- 1,742
Sijategemea kusoma comment kama hii kutoka kwa mtu kama wew..r
Hela za ku act tabia za kike za mama shangazi na dada zako?
Sijategemea kusoma comment kama hii kutoka kwa mtu kama wew..r
Hela za ku act tabia za kike za mama shangazi na dada zako?
Mnasemaga tu kazi kazi je ni kazi gani wapi ..hio kazi unafanya ni ipiInategemea na kazi nyingine dollar 10, 8 kwa lisaa mfano dollar 8 kwa saa ukipiga Masaa 10 dollar 80 kwa siku.
Ilikuwa ni lottery ya mwaka gani and what was your case number if you don't mind.Nilipata green card kwa kucheza DV lottery nikiwa Tanzania nafanya kazi. So sikupata challenge sana, nilifika nikapata SSN na sikuchelewa kupata kazi. Nilikuja na familia na watoto wote walipata kila karatasi na kuanza shule! Wanamaliza high school sasa niliokuja nao!
Kama uko single tucheze mwaka huu kama mke na Mme tuongeze chance ya kuwin karibu Pm kwa maelekezo zaidi.Ilikuwa ni lottery ya mwaka gani and what was your case number if you don't mind.
Sio Marekani tu. Ugenini popote Lazima ujipangeMiaka flani Niko bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko U.S nkaongea nae kuhusu mi kwenda Marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nkatua Jackson heartsfield Atlanta lengo kubwa la kwenda Marekani ni kupata exposure na kutafuta maisha.
Harakati zinazofuata ni mim kutafuta kazi, Marekani kazi zipo Ila sasa kule ukisikia kazin kazini kweli full supervision unafanya kazi masaa 10 mpaka 12 hiyo ni uongeze kipato ukizingatia kazi zenyenyewe unalipwa kwa masaa, kwa hiyo lazima ukomaee Ila kazi tu zipo, baada ya mda kudunduliza ela nahama kwenye basement nikahamia kwenye chumba kimoja sehemu moja hivi inaitwa sandy springs.
Tatizo la Marekani maisha expensive kipato cha kawaida ukizingatia nilienda kama mtu wa Kawaida, kila kitu ni ela yaan ukisikia capitalism kule ndo inakua practice 💯 swala la kuwa na depression, loneliness ni moja ya vitu lazima ukumbane navyo usipokua makini lazima uingie kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.
Ukikaa Marekani kitu unachoombea kila siku ni usiumwe sababu ni balaa, kuhusu starehe nayo pia ni mtihan kwa mtu mwenye kipato cha kawaida, wanawake wengi wa Atlanta ni materials things inabidi kuwapata ni gharama wako after money.
Kwa sasa hivi nilisharudi tz sababu za kifamili, na maisha ya marekani ili yakuendee vizuri uwe na professional means at least umesomea master kule kama hujasoma bachelor kwenye fani za science, au unakipaji kitu ambacho kwa watanzania wengi mpaka wanakua hawajui vipaji vyao, kwenda marekani hivi hivi ni kugumu sana kwa sababu kwa maisha utajikuta unapata ela ya kawaida alafu unaishi kwa mawazo sana in short unataka kwenda marekani kutafuta maisha jipange na uwe mtu wa kujiongeza sana, na uwe competent hivi hivi sikushauri hata kidogo.
California, new York, Illinois, Massachusetts, na Washington state hayo ni majimbo ya kuyaepuka Kodi na gharama za maisha ziko juu. Ila Texas, Florida, Georgia, na north Carolina haya majimbo maisha yako cheap.
Vitu nilivuomiss marekani ni exposure Ila mwaka huu ntarudi nikiwa nimejipanga zaidi, kunakikampuni ntaenda kukifungua deleware kama domestic company, alafu baadae Virginia na Texas kama foreign company.
FareedNina chalii yangu mwaka jana mwezi wa 9 kapiga chini kazi ya serekali Tz baada ya kufanya kazi miaka kama mi 5 kama utani utani tu jamaa aliacha kazi kaenda zake USA ila alikua na connection kuna ndugu yake alimuita huko mwana sahiv huwa namchungulia kwa Fb tu kwel hata picha anazopiga haina haja ya ku tag location unajua tu huyu yuko mbele
Akikaza naamini atatoboa na mimi namuombea atoboe maana alifanya maamuzi magum sana ambayo watu wengi walioko huko serekalini hawawez kufanya wamerizika na mshahara wa Tsh700k
How to move in there kwa tusiokua na intergrated relatives just our selves from low classes?Nimekaa US mwaka wa 12 nikiwa na green card, sijawahi kujutia kuja. Nilijaribu kurudi nyumbani nikapata frustration za kutosha na kuona bora nirudi. Marekani ili uishi unatakiwa kufanya kazi, uwe na Green card au citizenship. Unatakiwa uwe na profession ikiwa umekuja nayo au umeipata huku yote sawa. Uchumi wa hapa ni capitalistic so hamna shortcut, ukifanya ujanja ujanja utaadhirika tu. Ukiwa professional hutajuta, hamna nyumba ya $400 lbd huko kusiko na usalama lkn nilipo mie nalipa $2000 kwa 2 bedroom lkn natengeneza sio chini ya $8000 kwa mwezi naweza kuishi dream life na pia nawekeza nyumbani bila kujali kuna challenge nyingi sana. Marekani ni ngumu lakini Tanzania is far from ugumu. Ndo mawazo yangu
Shiriki kwenye DV lottery or Green Card Lottery mwaka huu mwezi wa 10How to move in there kwa tusiokua na intergrated life at iyo Visa kuipata shuhuli pia mtu uko certain kabiea US ndo destiny yangu kubadilisha life languages na family yangu go mtu Kama mimi anaweza kufanya?
Tutajie hizo nchi wapambanaji wajitusu.Ukweli naunga hoja iliyoanzishwa kwamba lazima ujipange kwende nchi husika, sio kwenda tu na notion "oh kuna fursa nyingi"... utapotea! Nikaongezea tu kama sio shida kuna nchi kibao nzuri zaidi za kwenda kuishi.
Kwa kijana ambaye milango imefungwa, anawezaje kugharamia process na nauli ya kuja huko na ya kuanzia maisha ilhali hela ya bundle mlolongo?3.Kwa kijana aliyemaliza chuo Tanzania Akakwama kabisa hakuna mlango ulio wazi mbele yake, namshauri kama anaweza ajaribu US, nawafahamu vijana waliofanya hivyo! Si njia nyepesi but is worth trying, kuliko kulia kulia huna connections au huna mtaji!
Kule wanaita disco yaani chumba kimoja full kina toilet, Jiko,unalala hapo hapo yaani kitanda usiku mchana unakigeuza kochi.kwa mwezi kuanzia sh laki saba za tza au trump 350.ndo SAwa huku na chumba cha elf 70 kwa mwezi.Kwa mwezi ukosi kuingiza elf 2Kwa mfano kule room master bei gani kaa mwezi?
Tunaendaje huko wakuu toeni ramani basi.Kafanye Kazi ya udereva wa malori inalipa USA na Canada unaingiza si chini ya trump elf 10 kwa mwezi kwa wiki trump 2500 unaingiza. Pia unaweza ukachukua Mkopo wa truck ukiwa na trump kuanzia elf 20.
Ukiamua kuitafuta njia utaenda tuTunaendaje huko wakuu toeni ramani basi.
How to move in there kwa tusiokua na intergrated life at iyo Visa kuipata shuhuli pia mtu uko certain kabiea US ndo destiny yangu kubadilisha life languages na family yangu go mtu Kama mimi anaweza kufanya?
Asante kwa tahadhari MkuuMiaka flani niko Bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko U.S nikaongea nae kuhusu kwenda Marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nikatua Jackson Heartsfield Atlanta lengo kubwa la kwenda Marekani ni kupata exposure na kutafuta maisha.
Harakati zinazofuata ni mimi kutafuta kazi, Marekani kazi zipo ila sasa kule ukisikia kazi ni kazini kweli full supervision unafanya kazi kwa muda wa saa 10 mpaka 12, hiyo ni uongeze kipato ukizingatia kazi zenyewe unalipwa kwa saa, kwa hiyo lazima ukomaee ila kazi tu zipo.
Baada ya muda kudunduliza hela nahama kwenye basement nikahamia kwenye chumba kimoja sehemu moja hivi inaitwa Sandy Springs.
Tatizo la Marekani maisha expensive kipato cha kawaida ukizingatia nilienda kama mtu wa kawaida, kila kitu ni hela yaani ukisikia capitalism kule ndo inakuwa practice [emoji817]
Suala la kuwa na depression, loneliness ni moja ya vitu lazima ukumbane navyo usipokuwa makini lazima uingie kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.
Ukikaa Marekani kitu unachoombea kila siku ni usiumwe sababu ni balaa, kuhusu starehe nayo pia ni mtihan kwa mtu mwenye kipato cha kawaida, wanawake wengi wa Atlanta ni materials things inabidi kuwapata ni gharama wako after money.
Kwa sasa hivi nilisharudi TZ sababu za kifamilia.
Maisha ya Marekani ili yakuendee vizuri uwe na professional means at least umesomea master kule kama hujasoma bachelor kwenye fani za science, au una kipaji kitu ambacho kwa Watanzania wengi mpaka wanakua hawajui vipaji vyao.
Kwenda Marekani hivihivi ni kugumu sana kwa sababu kwa maisha utajikuta unapata hela ya kawaida alafu unaishi kwa mawazo sana in short unataka kwenda Marekani kutafuta maisha jipange na uwe mtu wa kujiongeza sana, uwe competent, hivihivi sikushauri hata kidogo.
California, New York, Illinois, Massachusetts na Washington hayo ni majimbo ya kuyaepuka, kodi na gharama za maisha ziko juu ila Texas, Florida, Georgia, na north Carolina haya majimbo maisha yako cheap.
Vitu nilivyomiss Marekani ni exposure ila mwaka huu ntarudi nikiwa nimejipanga zaidi, kuna kikampuni nitaenda kukifungua deleware kama domestic company, baadae Virginia na Texas kama foreign company.