Katika hizo $2,400 inabidi utoe state tax, federal tax, Medicare contributions, social security contributions, na unemployment contributions. Ukiwa na bahati unaweza kuwa na take home ya $1,700. Katika hiyo take home bado hujalipia cable TV ($40), internet ($45), cellphone ($35), apartment ($500) maji/umeme ($75), bima ya gari ($70). Hiyo take home huenda ukabakiza $1000. Kwenye hiyo 1000 ndiyo ulipie mafuta ya gari, chakula, na vitu vingine. Hizo gharama nilizozitaja ni kwa majimbo ya gharama nafuu. Vitu vingine kama bima ya gari inategemea uendeshaji wako na pengine na umri na miaka ya leseni. Kila ukipata tiketi, bima yako inapanda; ticketi zikizidi wenye bima wanakukataa (risky driver). Inabida upate bima special ambayo unaweza ukalipia zaidi ya $200 kwa mwezi...hapo unatamani urudi TZ maana huo mshahara haukupi hamasa ya kutoboa!
Pamoja na vijana wengi waliyopata green card kuamua kufanya kazi, lakini in the end anayekamata shule atafanikiwa zaidi kuliko anayesema ngoja nikusanye pesa. Lakini ndiyo hivyo, wengine shule inawapa shida kwa sababu mwezi...hapo unatamani urudi TZ maana huo mshahara haukupi hamasa ya kutoboa!ya ung'eng'e