Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

Andika Leo Mkuu, Hapa ndio Niko kwenye mnara wa Mawasiliano so napata internet, nikitoka Tu Hapa Imekula Kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaratibu wa kuomba na kupata VISA Kwa ajili ya Kwenda USA Ukoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ufupi.. Njia ya UHAKIKA.. njoo Usa na student visa. Kuipata inatakiwa ujue English na uwe pia umefaulu kidogo masomo ya sekondari.. au uwe na degree hata moja au diploma nzuri.

Kuja kuzamia au na visitor visa tulishasema ni mbaya.

Njia nyingine ni kupata manzi ukiwa bongo. Tatizo competition ni kubwa.. na hio sio ya uhakika.. utasubiri miaka na huyo manzi usimpate.

Nyingine ni kucheza green card lottery. Nayo sio ya uhakika..
 
Niko na kazi nyingi sana ndugu yangu. Yani hata hapa nimejitolea muda sana ili kutoa information mbalimbali. Binafsi napenda watu wafanikiwe. Na NINACHOANDIKA HAPA NI UKWELI NA UHALISIA 100%. Na sifichi information sababu napenda wote tufanikiwe tuendelee kukuza dunia na nchi yetu ya Tz.

Asante sana kuchukua muda wako kutuelimisha juu ya hili,nimejifunza vitu vingi sana...
 
Unaweza ku-challange exam..na usisome

Hapa mkuu ulimaanisha nin?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonyesha vyeti vyako ulivyosomea tz. Wanavihakiki. Then wakivikubali.. wanakupa exam ya kukupa license. Ulifaulu.. unapata license. Ila ndio nikasema.. English language kwa wabongo wengi ndio inawangusha. Lazima ujue Ngeli vizuri sana kufanikisha yote hayo
 
Kwa ufupi.. Njia ya UHAKIKA.. njoo Usa na student visa. Kuipata inatakiwa ujue English na uwe pia umefaulu kidogo masomo ya sekondari.. au uwe na degree hata moja au diploma nzuri.

Kuja kuzamia au na visitor visa tulishasema ni mbaya.

Njia nyingine ni kupata manzi ukiwa bongo. Tatizo competition ni kubwa.. na hio sio ya uhakika.. utasubiri miaka na huyo manzi usimpate.

Nyingine ni kucheza green card lottery. Nayo sio ya uhakika..
So ya Uhakika ni USA Student Visa.
.
Je Hii SV naipataje na Utaratibu wake Ukoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonyesha vyeti vyako ulivyosomea tz. Wanavihakiki. Then wakivikubali.. wanakupa exam ya kukupa license. Ulifaulu.. unapata license. Ila ndio nikasema.. English language kwa wabongo wengi ndio inawangusha. Lazima ujue Ngeli vizuri sana kufanikisha yote hayo
Basi hapa nimekupata,

Lakini ili upewe licence lazima uwe umeshapata kibarua huko kwao, si ndio hivyo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufupi.. Njia ya UHAKIKA.. njoo Usa na student visa. Kuipata inatakiwa ujue English na uwe pia umefaulu kidogo masomo ya sekondari.. au uwe na degree hata moja au diploma nzuri.

Kuja kuzamia au na visitor visa tulishasema ni mbaya.

Njia nyingine ni kupata manzi ukiwa bongo. Tatizo competition ni kubwa.. na hio sio ya uhakika.. utasubiri miaka na huyo manzi usimpate.

Nyingine ni kucheza green card lottery. Nayo sio ya uhakika..
Mkuu kama hutojali nakuomba PM Mara moja
 
Uliingia kwa Visa gani?, na sasa una aina gani ya Geeen Card?
Nilipata green card kwa kucheza DV lottery nikiwa Tanzania nafanya kazi. So sikupata challenge sana, nilifika nikapata SSN na sikuchelewa kupata kazi. Nilikuja na familia na watoto wote walipata kila karatasi na kuanza shule! Wanamaliza high school sasa niliokuja nao!
 
Unaweza ku-challenge exam.. na usisome. Wabongo kinachowaangusha ni English proficiency. Inatakiwa uwe unajua Ngeli kweli kweli. Bila hivyo hata huo mtihani wa kupata RN license ya USA utafeli tu.
The same, nilikuja na RN BSc ya kibongo nikafanya NCLEX once nikapass na kupata license. Nimefanya MBA lakini hailipi na kazi shida sana lakini RN hutafuti kazi unatafutwa kwa siku unaweza kupata emails za offers 20-30 ukisema tu unataka kazi!
 
Unaonyesha vyeti vyako ulivyosomea tz. Wanavihakiki. Then wakivikubali.. wanakupa exam ya kukupa license. Ulifaulu.. unapata license. Ila ndio nikasema.. English language kwa wabongo wengi ndio inawangusha. Lazima ujue Ngeli vizuri sana kufanikisha yote hayo
Sahihi kabisa, watanzania tunapigwa chini sana kwa lugha, wasomi wakubwa sana lkn hawawezi kuongea hata dakika 5 English iliyonyooka! So ni challenge kubwa
 
Kiukweli kitu nimejifunza ni kwamba mtu wa kufanikiwa.. atafanikiwa tu. Iwe ni Tz au USA. Japo kwa mtu kama mimi niliyezaliwa familia ambapo ndugu wote ni maskini.. naamini investments nilizoweka Tz nisingeweza kufanya hivyo kama nisingekuja USA. Na sasa hivi mimi ndio Fogo kupita wote kwa ukoo mzima.

USA mshahara ni mkubwa.. na binafsi matumizi huku nimeyafanya madogo sana sana. Naweza tengeneza usd $12000 kwa mwezi baada ya kulipa taxes.. na nika-save $10000 manake kila mwezi na-save 23million tshs. Sina watoto na sina mke. Main investments ni Tz..

Nilioa mke USA karibu aniue.. na bahati nzuri sikuzaa naye watoto.

USA ni nzuri kuliko Tz ukijielewa, usipoharakisha kuoa au kuzaa sababu watoto USA wana gharama zaidi ya Tz. All in all ni kucheza karata zako tu vizuri. Lakini kama ww hauna mipango, unakata tamaa, ni mvivu na hauwezi ku-sacrifice.. bora ungebakia bongo.. ngoma la huku hadi maisha yakae mkao.. sio mchezo.. ila yakikaa .. una-enjoy.
Majirani zako huko USA hawakuulizi mara kwa mara , utaoa lini ?
 
Ha ha haa. Mkuu hapo kwenye kuzunguka na mtu mmoja umenifanya nicheke kwa sauti. Yaanni kweli utaona maana ya developed country. Sometimes hata kama hakuna mtu ila gari lazima iondoke muda ukifika. Yaani faida kwenye huduma kwa umma siyo sera ya serikali. Ha ha haa. Mkuu mie sijafika USA. Natamani siku moja nifike lakini.
Nenda Urussi, achana na Marekani, usa imeshajichokea, haina tena jipya.
 
Kwa ufupi.. Njia ya UHAKIKA.. njoo Usa na student visa. Kuipata inatakiwa ujue English na uwe pia umefaulu kidogo masomo ya sekondari.. au uwe na degree hata moja au diploma nzuri.

Kuja kuzamia au na visitor visa tulishasema ni mbaya.

Njia nyingine ni kupata manzi ukiwa bongo. Tatizo competition ni kubwa.. na hio sio ya uhakika.. utasubiri miaka na huyo manzi usimpate.

Nyingine ni kucheza green card lottery. Nayo sio ya uhakika..
Ambao hatuna mpango wa kuja US tupe mchongo kwenye investment zako za bongo basi tupate walau milo mitatu kwa siku
 
Nimekaa US mwaka wa 12 nikiwa na green card, sijawahi kujutia kuja. Nilijaribu kurudi nyumbani nikapata frustration za kutosha na kuona bora nirudi. Marekani ili uishi unatakiwa kufanya kazi, uwe na Green card au citizenship. Unatakiwa uwe na profession ikiwa umekuja nayo au umeipata huku yote sawa. Uchumi wa hapa ni capitalistic so hamna shortcut, ukifanya ujanja ujanja utaadhirika tu. Ukiwa professional hutajuta, hamna nyumba ya $400 lbd huko kusiko na usalama lkn nilipo mie nalipa $2000 kwa 2 bedroom lkn natengeneza sio chini ya $8000 kwa mwezi naweza kuishi dream life na pia nawekeza nyumbani bila kujali kuna challenge nyingi sana. Marekani ni ngumu lakini Tanzania is far from ugumu. Ndo mawazo yangu
Ndo maana nikasema inabid ujipange professional
Hata huko Marekani sipajui unaniuliza jimbo[emoji1787]
Ngoja nikishakunywa chai ntakwambia.
Texas ni pazuri kwa kuanzia maisha
 
Kuna dada alileta uzi akasema nyie mnaoenda marekan eti kule maisha ni magumu sana mwisho wa siku huwa mnarudi hamna kitu zaid ya kuleta stori za mayami na majina ya airport, wengine mnarudi mmevaa viatu aina mbili tofaut kila mguu na kiatu chake
Mkifika mnakuta mlio waacha wamepiga hatua fulan kimaisha mnaanza kudata na wengne wanaamua warud huko huko wakafe na aibu zao

Mi nilibisha sana lakin sijui Kama ni kweli
Sasa mkuu inamaana wewe hata kitaani kwenu hauna mifano hai ya waliyowakuta hawa mabwana..yani wakizidi sana watarudi na gari moja, friji, TV, etc...
 
[emoji17][emoji17]kwa hiyo Bsc yangu huko mambele ni takataka
Ni ngumu kupata kazi ya taaluma uliyosomea kama hauna experience ya kazi katka kampuni za US,

Lakini unaweza kuji3ndeleza na masters kwa hiyo Bsc yako .. kisha ukapata internship then ukapata kazi,

So kipindi chote hicho una hustle kupata kazi za taaluma yako ..hauwezi kukosa kazi za kawaida za kufanya...

Wengine wanatoka na Bachelor degree, ukifika kule unawe,a kusoma zile courses ukapata certification ikakusaidia..
 
Kama hauna elimu ya maana na umeenda Marekani lazima utasota na utakuwa unafanya hizi kazi za kawaida ila maisha yataenda tu. Kuna watanzania wamesoma Marekani wana mshiko hakuna hata mfanyakazi wa Ubalozi anaishi kama wao. Yaani hata Balozi mwenyewe anazidiwa kipato na wabongo waliosoma. Kama hauna elimu ya maana bakia tu hapa hapa Tanzania ulime au uendeshe boda boda.
penye nia pana njia..
Wapo walioenda hawana elimu na sasa wamepiga kazi vya kutosha now wanamiliki gyms / local shops etc.

Na hizo Degree kwa karne ya sasa au Generation ya sasa huko U.S hazimati sana fanya uchunguzi utajua..
Huko huko U.S wapo wazungu unakuta mtu ana Degree ya mambo fulani .. lakin ameachana nazo anapiga kazi za photography au film maker
 
Nilipata green card kwa kucheza DV lottery nikiwa Tanzania nafanya kazi. So sikupata challenge sana, nilifika nikapata SSN na sikuchelewa kupata kazi. Nilikuja na familia na watoto wote walipata kila karatasi na kuanza shule! Wanamaliza high school sasa niliokuja nao!
Duuh aise hongera sana mkuu kushinda hii ni bahati kweli kweli! ,
ila ukishinda na kupewa karatasi haina longo longo...
Mimi naamni life lako huko sasa ni bora x3 kuliko ulivyokuwa hapa bongo ... just imegine watoto wanasoma mpaka high school bure kabisa elimu ya marekani..!
 
Mhhhh Mkuu. Hivi na Marekani wana elimu ya bure? Nadhani ni kwa baadhi ya nchi za Ulaya ndiko kuna elimu bure. Mfano nchi za Scandnavia kama Sweden, Norway, Finaland, Denmark. Ila elimu ya Marekani unalipia kama sijakosea.
 
Back
Top Bottom