Mmeyataka wenyeweWanawake wanapitia manyanyaso makali sana 😂
Mmeyataka wenyeweWanawake wanapitia manyanyaso makali sana 😂
Sasa si msitoe hela kama hamtaki 😂Mmeyataka wenyewe
Hela mbona tunawapa kuwainea huru msije mkafa bureSasa si msitoe hela kama hamtaki 😂
Basi msilalamikeHela mbona tunawapa kuwainea huru msije mkafa bure
Kulalamika lazima maana hamna shukraniBasi msilalamike
Nakubaliana na hoja yako 100%, unmpa helamwanamke yeye ananda kuhonga mwanamme ampendaye au kugawa stejini kutoza wasanii ili aonekane ana hela.Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Sio kuwa maskini tu, unakufa.Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Tika nimefanyiwa uhuni ja waschana nimekuwa nanroho.mbaya wananiambia mi bahiri, nawachora tu. Nakupiga show ukiona sikupi hela sepa natafuta mwingine, ila sasa baadhi yao wanajua kuganda bana yaan anakulalamikia ila yupo tuWanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Ndio ukweli..ukiwachekea kiboya unapotea bila kujali elimu, uwezo na vyovyote ulivyo! Kisha jamii inakuona mzembe kwa kuangushwa nao!Hilo halina ubishi 💯 mwanamke kiumbe cha ajabu sana baadhi Yao hawana utu Wala shukurani omba yasikukute
Pole Mkuu....hiyo ni swadaka kama vile umesaidia watoto wa mitaani waliotelekezwa ha ha ha utapata thawabu yako!Nimesomesha sana hawa viumbe nimesomesha 3 chuo wote nikaambulia kuachwa tu. Wa mwisho ndo aliniumiza balaa coz nlikuwa namsomesha chuo kikuu wwngine hawa veta tu
Kuna mmoja ananiambia kuwa 'mume nataka 50 ya kusuka'Wanawake wanaona ni haki yao kuchezea jasho zetu with zero payback
Itabidi tupige nyetoMwanamke gani anatoa uroda bure bila kuugharamia?
Aisee pole sana mkuu hawa viumbe hawana huruma hata kidogoNimesomesha sana hawa viumbe nimesomesha 3 chuo wote nikaambulia kuachwa tu. Wa mwisho ndo aliniumiza balaa coz nlikuwa namsomesha chuo kikuu wwngine hawa veta tu
Halafu mkuu haya mambo yanayowatokea vijana wenzako kwani wewe huyaoni mpaka unaingia kwenye mfumo wa hawa matapeliNimesomesha sana hawa viumbe nimesomesha 3 chuo wote nikaambulia kuachwa tu. Wa mwisho ndo aliniumiza balaa coz nlikuwa namsomesha chuo kikuu wwngine hawa veta tu
Vp mkuu ulimpa?Kuna mmoja ananiambia kuwa 'mume nataka 50 ya kusuka'
Wee em sema kweli!Wanawake ni majini