Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 3,140
- 5,738
Ni kweli. Mimi toka nakua wanawake wa kijijini kwetu walikuwa wanajituma sambamba na wanaume. Eti niache kufanya kazi sababu mwanaume kasema. Mwanaume wa hivyo hata simtaki maana hajielewi.Bora mwanamke anayefanya kazi kuliko ambaye hafanyi. Tanzania ni maskini kwasababu ya kundi kubwa la wanawake ambao hawajishughulishi kiuchumi