Ukitaka kuwa masikini we wahurumie wanawake

Power of mbususu 🐒
Mbususu inashuka thamani kadili ya muda unavyoenda, msijisahau sana. Kuna ex wangu mmoja nimeonana juzi juzi hapa, kachoka vibaya halafu yupo na mtoto mdogo. Possibly ashakua single mother. Ilinilazimu kumpa yule mtoto elfu 10 ingawa najua itaishia mfukoni kwa mama ake, maana kwa hali niliyowaona nao sidhani kama walikua hata na uhakika wa kupata dinner. Wasisitizeni mabinti na wadogo zenu wa kike kutumia vizuri ile interval ya miaka 18-27, baada ya hapo hawana bargaining power kwenye dating pool
 
Yote yanajulikana ila vilio Kila Kona vinaendelea ....🐒
 
Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.

Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.

#No reform no Election.
Nikiangakia kiti kikubwa na kilw vha kule dodoma nachoka sana
 
Yote yanajulikana ila vilio Kila Kona vinaendelea ....🐒
Sio vilio wengine wana-share uzoefu. Kujifunza sio lazima upigwe na kotu kizito , unaweza kujifunza kwa makosa ya waliokutangulia mfano suala la mwanaume kushuka kiuchumi baada ya talaka sio lazima uoe na mtalakiane ndio ujue maana mifano ipo mingi sana mtaani.

Halafu kitu kingine msichokijua hawa madogo na washkaji zetu wakishapigwa tukio wanakuja kwetu sisi mabroo au marafiki zao, na hatuwezi kuwatupa lazima tuwasaidie wakati huo mwanamke aliesababisha hayo tayari kashapotea. Sasa na sisi kuepuka kuingiliwa kwenye mipango yetu uko mbeleni lazima tuwasanue mapema
 
Kwenye vikao vyenu wenzenu wanawasaliti
Huyo single mama atapigika na atapata mwanaume atakayemlea yeye na mwanae na yote hayo yatabakia historia
Cc
Azizi ki katoo ng'ombe 30 kwa single mama mwenye watoto 2 Kila mmoja na baba ake...
Vilio hivi havitaisha milele ...
 
Mbususu inashuka thamani kadili ya muda unavyoenda, msijisahau sana. Kuna ex wangu mmoja nimeonana juzi juzi hapa, kachoka vibaya halafu yupo na mtoto mdogo. Possibly ashakua single mother. Ilinilazimu kumpa yule mtoto elfu 10 ingawa najua itaishia mfukoni kwa mama ake, maana kwa hali niliyowaona nao sidhani kama walikua hata na uhakika wa kupata dinner. Wasisitizeni mabinti na wadogo zenu wa kike kutumia vizuri ile interval ya miaka 18-27, baada ya hapo hawana bargaining power kwenye dating pool
Mwanamke anayetegemea mbususu impe maisha hana akili kabisa na ikitokea akawa nazo basi ataitumia kama daraja na ndani ya muda mfupi utamkuta na ukwasi mkubwa wala hatategemea tena pesa ya mwanaume kuendesha maisha yake.
 
Kwenye vikao vyenu wenzenu wanawasaliti
Huyo single mama atapigika na atapata mwanaume atakayemlea yeye na mwanae na yote hayo yatabakia historia
Cc
Azizi ki katoo ng'ombe 30 kwa single mama mwenye watoto 2 Kila mmoja na baba ake...
Vilio hivi havitaisha milele ...
Story ya hamisa ni very rare. Single mother wanaotoka familia duni au za hali ya kati huwa wanaishia kwenye maisha ya dhiki.
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu umeenda sehemu kupata kinywaji,mhudumu hakujui wala kuwahi kukuona anakuambia ninunulie bia au pengine ninunulie soda
Aise kwahiyo hayo mambo akifanya mwanaume ni sawa ila akifanya mwanamke ndio dhambi, au wewe hujawahi kusikia kuna wanaume wanaenda kwenye mabar kuombaomba bia kwa wanaume wenzao wasiowajua, vipi na wanaume wanaopenda vitonga kama wanawake wao ndio siyo wa ajabu na wako sahihi kufanya hivyo siyo
 
kuna kamoja humu kamechoka balaa(kamefubaa), ukianzisha mazungumzo nako tu, kanaomba pesa, ila hapa ni keyboard warrior,

kuna siku tulikua tumezoeana kiasi kalinipiga kizinga, halafu kakaniblock kisa nimekaambia kana wenge na kanaonekana kamalaya, kibaya zaidi kaliniuliza kama kanipee nyapu nikaseme mshedede wangu hauzamishwi kila shimo, nina standards,

pamoja na kuniblock, kakasahau mimi nina picha zake zote, majina kamili, address, tribe na kila kitu kinachotosha kukafanya ka mfano, ila nimekasamehe maana nilikasaidia, nasubiri kaseme Ng'wee niwasanue wanaume wenzangu😀
 
Back
Top Bottom