Na wakifanya kazi tukubali hatutawamiliki Wala hakuna demu wako Wala mke wako, jua limchape anatafta pesa halafu akutunzie kipochi eti ni chako tu haiwezekani labda awe anakuachia wewe ubaki nacho, wamepanga meza Kkoo jua Kali linawachapa, sura mpaka zimechujuka, biashara haziendi usafiri mwendokasi ni shida anakaa makabe huko, aende nayo arudi nayo mhhhh jiandae kulia, wanaume hudumieni wanawake, ngozi ziwe laini mikono laini Kila kitu laini huyo ndo Mwanamke wako vinginevyo mnasaidiwa majukumu yote ya nyumbani mpaka ya mwili wake acheni wanawake wabaki nyumbani muwafurahie na huo ndo uanaume.