Waepuke wanawake masikini

Waepuke wanawake masikini

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
13,945
Reaction score
39,137
Mwanamke masikini ni liability. Kaa nae mbali kama bado unajenga maisha yako. Hakuna chochote chenye thamani anachoweza kuchangia kwenye mahusiano. Hawezi kukupa hela, connections za michongo wala kukusuluhishia tatizo lako lolote.

Hata ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke masikini. Ukapata mwanamke mwingine mwenye tabia nzuri na anajimudu mahitaji yake au anatokea kwenye familia yenye connections(za kisiasa, biashara n.k), basi achana na yule masikini. Kwa sababu masikini ni liability, na yule mwenye hela/connections ni asset. Mwanaume daima yaangalie mahusiano kwa jicho la kibiashara kama wafanyavyo wanawake

Usijifanye shujaa kwenye maisha ya mwanamke masikini. Hauhusiki na umasikini wa mwanamke Umasikini wa mwanamke sio tatizo lako, ni tatizo lake na familia yake. You don't owe any woman the life her parents failed to give her.

Mwanamke masikini ana njaa, ana bill za kulipa, na anajua mahusiano ndio nafasi rahisi kutua mzigo wake. Kumbuka yeye anapotua mzigo wake, mzigo huo utaubeba wewe kwa sababu utataka kudhihirisha upendo na uanaume wako kwa kubeba jukumu la kumtimizia mahitaji yake.

Hapa sio lazima akuombe hela,kwa sababu tayari yupo kwenye maisha yako utajiona una wajibu wa kumpa hela. Hivyo vielfu 10 utaona sio chochote. Ghafla utashangaa hela yako haikai na kuanza kujiuliza sijaenda club, sijanunua nguo, hela imeenda wapi? Jibu ni rahisi, kuna liability umeiongeza kwenye maisha yako.

Tupo kwenye dunia ya usawa wa kijinsia. Mwanamke kapewa fursa zote alizopewa mwanaume. Hakuna kisingizio chochote cha mwanamke kuingia kwenye mahusiano akiwa masikini na kutaka atimiziwe mahitaji yake na mwanaume. Mwanamke masikini apambane kwanza kutengeneza maisha yake ndio aingie kwenye mahusiano, vinginevyo atumike kama chombo cha starehe.

Brozos, broke women don't date for love, they date to survive. You saw a future she saw an opportunity, and temporary bonding grease called "love" blinded you because you never questioned the uncertainty.

Brozo, a broke woman will slow you down and still leave you in the end when she see no significant progress.

Don’t be a simp.
 
mambo mengine bhana, >68% ya watanzagiza ni masikini, halafu wewe unasema waepuke wanawake masikini, chances are that kwenye familia yako masikini wapo na ni wengi tu kwa maana zaidi ya nusu watazagiza ni masikini i.e ktk kila watu 2 mmojawapo 1 ni maskini, sasa hiyo theory yako ita-work vipi? ...
 
mambo mengine bhana, >68% ya watanzagiza ni masikini, halafu wewe unasema waepuke wanawake masikini, chances are that kwenye familia yako masikini wapo na ni wengi tu kwa maana zaidi ya nusu watazagiza ni masikini i.e ktk kila watu 2 mmojawapo 1 ni maskini, sasa hiyo theory yako ita-work vipi? ...
Umasikini wa viwango vipi unauongelea. Hapa mimi sijasema mwanamke awe tajiri, ninachomaanisha angalao aweze kumudu mahitaji yake kulingana na lifestyle aliyochagua kuishi
 
Umasikini sio kilema kwamba utakufa nao.... unaweza kuwa na mwanamke hana kitu, mkaanza pamoja from the scratch, then mkaibuka... mifano ipo mingi tu siitaji kuitaja !!!

Binafsi mwanamke wangu ananiofa vingi sana japo sio tajiri kama unavyotaka awe..... kuanzia mawazo, nidhamu ya fedha, uwekezaji n.k

Ondoa mawazo ya kizamani
 
Kuwa kwenye Mahusiano na mwanamke masikini nisawa na kuvuta tera lenye mzigo wa tani 30 tena lililopasuka tairi , ukiwa unajiwezaweza kidogo still tan 30 lakini kwenye njia ya vumbi ,sasa usiombe awe masikini na awe hana elimu ,aisee hapo ndiyo utanyooka mazima .

Ukweli nikwamba mwanamke masikini nichangamoto , hatusemi kama hawafai ,no ,ila nihekima kuwa na pakushika kwanza kabla hujaamua kujiingiza kwanza kwenye hiyo shimo yenye vifaa vyenye ncha kali
 
Back
Top Bottom