Poleni sanaAnalalamikaje na yeye ndie chanzo cha majanga. Single mothers huwa hawalalamiki katika mahusiano sababu wanajua walipozingua. Wanajua kuwa kuna mwanaume ambaye alitakiwa kuwa nae yeye akazingua.
Melancholic melancholic baada ya kuombwa elf 60 alikaa mahali, akajibanza kimya kama panya buku ZemandaDuh demu jinga hili. Sasa anasema amemsamehe mtu kwa kosa lipi? Yaani kumuomba mtu hela halafu asiwe nayo ndio inakuwa ni kosa?🤔
Kazi ni muhimu kwa kila mtanzaniaSio kweli, watanzania ni masikini sababu ya fikra za kimasikini. Kuna wanawake wanaofanya kazi ila ndio wanaleta gharama kushinda yule anae kaa home tu.
Kama ninyi mnavyoshabikia ushenzi unaofanywa na wanaume wenzenu washenziWaulize feminist akina Jadda ndio wanao shabikia mambo wa kivhawi wanayofanya wanawake.
Taratibu tu mtaelewa umasikini siyo sababu pekee ya wanawake kuhitaji hela toka kwa wanaume sababu ziko nyingi tu, kutokana na mitazamo ya jamii yetu mwanamke ana vingi vya kupoteza kwenye mahusiano kuliko mwanaume, wanaume ukitoa pesa hawana kingine cha kupoteza ilihali wanawake wanapotezewa muda so nao wameona iwe ni win win situation walau wote mpoteze kituSio kweli, watanzania ni masikini sababu ya fikra za kimasikini. Kuna wanawake wanaofanya kazi ila ndio wanaleta gharama kushinda yule anae kaa home tu.
Aiseee hivi ukiwa mwanaume wa kiafrika ni lazima uwe na akili za kipumbavu (isipokuwa kwa baadhi wanaojielewa) hivi kwanini mnapenda kutaka kulazimisha pombe iwe juisi na bangi iwe mchicha, kuna wanaume wenzio wengi tu wenye pesa zao wanalaani hii tabia ya watoto wa kiume kuenda bar na kuanza kuombaomba bia kwa wanaume wenzao wasiowajua, tena wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa bora hata umnunulie mwanamke bia walau unaweza ukamla kuliko mwanaume mwenzio ambaye hana cha kukupa, halafu unataka tukusikilize wewe hapa kisa tu umeamua kwa makusudi kutetea upumbavu na kutaka wanawake waonekane wabaya katika kila namna, yani mnafanya mambo kwa utashi wenu wenyewe halafu mnasingizia wanawake kana kwamba mna akili za kushikiwa dude your level of biasness is out of proportions 🚮🚮Bar haikuwahi kuwa sehemu ya wanawake kwenda wanakwenda kwasababu wanataka kutafuta pesa kwa wanaume waliolewa na hawajitambui wanatoa tu offer bila akili.
Kununuliana bia kwa wanaume ni jambo la kawaida sana na lipo tokea enzi hizo bar zinaanza. Ndio maana mlevi atakunyima ada ila bia atakununulia kreti nzima unywe pekee yako.
Sasa usilinganishe mwanaume anayekwenda Bar kwa lengo la kulewa na hata akiwa hana pesa ataomba wenzake wamnunulie na ni jambo la kawaida kabisa kwetu sisi wanaume. Jambo ambalo si la kawaida ni mwanamke kuja Bar kutaka kuomba hela na kutumia ulaghai wa kingono kujipatia pesa za wanaume waliolewa na hawajitambui huo ni utapeli na ni tabia mbaya sana.
😂😂😂😂Melancholic melancholic baada ya kuombwa elf 60 alikaa mahali, akajibanza kimya kama panya buku Zemanda
Uliposema wanawake ulikuwa katika muktadha wa mwenza yaani mke,kimada,demu au mchepuko ila sio bibi,dada, shangazi,mama,au house girl.Hao mahouse girls na mabibi ni wanaume au wanawake?
Utawaponda sana wanawake ila bado lazima utawahitaji tu.
Linapokuja suala la malezi ya mtoto mwanamume na umwamba wako wote lazima utafute jinsia ya kike ikusaidie.
Domo mganga alimwambia ukioa umekwishaDiamond yeye anawachakaza tu tofauti na hapo angekuwa Kama Q Chillah
Hamna mtu wa kusoma hii essay yoteKama ninyi mnavyoshabikia ushenzi unaofanywa na wanaume wenzenu washenzi
Taratibu tu mtaelewa umasikini siyo sababu pekee ya wanawake kuhitaji hela toka kwa wanaume sababu ziko nyingi tu, kutokana na mitazamo ya jamii yetu mwanamke ana vingi vya kupoteza kwenye mahusiano kuliko mwanaume, wanaume ukitoa pesa hawana kingine cha kupoteza ilihali wanawake wanapotezewa muda so nao wameona iwe ni win win situation walau wote mpoteze kitu
Aiseee hivi ukiwa mwanaume wa kiafrika ni lazima uwe na akili za kipumbavu (isipokuwa kwa baadhi wanaojielewa) hivi kwanini mnapenda kutaka kulazimisha pombe iwe juisi na bangi iwe mchicha, kuna wanaume wenzio wengi tu wenye pesa zao wanalaani hii tabia ya watoto wa kiume kuenda bar na kuanza kuombaomba bia kwa wanaume wenzao wasiowajua, tena wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa bora hata umnunulie mwanamke bia walau unaweza ukamla kuliko mwanaume mwenzio ambaye hana cha kukupa, halafu unataka tukusikilize wewe hapa kisa tu umeamua kwa makusudi kutetea upumbavu na kutaka wanawake waonekane wabaya katika kila namna, yani mnafanya mambo kwa utashi wenu wenyewe halafu mnasingizia wanawake kana kwamba mna akili za kushikiwa dude your level of biasness is out of proportions 🚮🚮
Aziza si fara lazima atoe ngombe harafu kule Burkina Faso mademu wote weusi kaja bongo watoto weupe lazima adateKwenye vikao vyenu wenzenu wanawasaliti
Huyo single mama atapigika na atapata mwanaume atakayemlea yeye na mwanae na yote hayo yatabakia historia
Cc
Azizi ki katoo ng'ombe 30 kwa single mama mwenye watoto 2 Kila mmoja na baba ake...
Vilio hivi havitaisha milele ...
Katakua ka JNishakajua 😁😁😁
Nishakajua 😁😁😁
Acheni hizoooooo
Mbona nakuhurumia sana, sema wewe kichwa ngumu...Acheni hizoooooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😛😛😛Mbona nakuhurumia sana, sema wewe kichwa ngumu...
Hao watoto wenyewe umewapata kwa mbwa!Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
Nakubaliana na wwWanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Nakukubali sana mzeeTunza pesa na mali yako kwaajili yako na familia yako acha kuwekeza kwa wadangaji A.K.A visungura matope, utaishia kuombwa kulipa kodi , pesa ya saloon na gharama mbalimbali usikubali huo ujinga tunza pesa yako.