Unaishi kwa mapokeo ya nyakati za zamani mzee. Wanawake wanaolea watoto kuwapata miaka hii ni sawa na kuitafuta bikra kwa wanawake waliovuka umri wa miaka 25,nadra sana.
Watoto siku hizi wanalelewa na ma House girl au bibi zao kwa usaidizi na uangalizi wa karibu wa baba za hao watoto.
Watoto wanaachishwa kunyonya hata miezi 6 siku hizi wanaanza kushindiliwa Lactogen tokea umri huo wa uchanga. Mama anatoka asubuhi anarudi kachoka akifika anazuga kumbeba mtoto kama jirani tu then straight kulala hajui hata mtoto amelala au kushindaje. Wanajali maokoto kuliko watoto.
Nadhani hauwaelewi vema wanawake wa sasa mzee.