Nishakajua 😁😁😁kuna kamoja humu kamechoka balaa(kamefubaa), ukianzisha mazungumzo nako tu, kanaomba pesa, ila hapa ni keyboard warrior,
kuna siku tulikua tumezoeana kiasi kalinipiga kizinga, halafu kakaniblock kisa nimekaambia kana wenge na kanaonekana kamalaya, kibaya zaidi kaliniuliza kama kanipee nyapu nikaseme mshedede wangu hauzamishwi kila shimo, nina standards,
pamoja na kuniblock, kakasahau mimi nina picha zake zote, majina kamili, address, tribe na kila kitu kinachotosha kukafanya ka mfano, ila nimekasamehe maana nilikasaidia, nasubiri kaseme Ng'wee niwasanue wanaume wenzangu😀
Nishakajua 😁😁😁😃😃
umekajuaje mzee😀😀Nishakajua 😁😁😁
Wote ni viumbe wa ajabu na ni kukosa aibu sijui wanapatq wapi ujasiri wa kuanza kuombaomba wanunuliwe vinywaji na watu wasio wajua.Mimi ninaweza kumnunulia mwanamke kinywaji nikimuelewa na sio kila limwanamkeAise kwahiyo hayo mambo akifanya mwanaume ni sawa ila akifanya mwanamke ndio dhambi, au wewe hujawahi kusikia kuna wanaume wanaenda kwenye mabar kuombaomba bia kwa wanaume wenzao wasiowajua, vipi na wanaume wanaopenda vitonga kama wanawake wao ndio siyo wa ajabu na wako sahihi kufanya hivyo siyo
Narrative inabadilika kwenye jamii, zamani single mother walikua wanaonekana victims, sasa hivi taratibu wanaanza kuonekana wakosaji. Kwaiyo inakua ngumu kwao kujiweka wazi kama zamaniHakika...ila kwanini Hawa single mama hawalalamiki kama wenzetu upande wa pili ...
Rejea Jf
Kwanini lakinii? 😂😂😂😂Yani wewe ndo umetuamsha kusema kweli 😂 😂
Dah ila huyu mwenzetu katuangusha sana, bora angesema sina hela kuliko kupigwa kwake ameamka na % alizopimwa yeye.
Ila mkweli huyu
CocasticMshangazi dot com To Yeye realMamy Donatila Leejay49 Aaliyah Midekoo et cetera namwamnini mmoja mmoja 90% 🤣🤣🤣 ila et cetera 100% 😄
Hakuna shida ninachotaka ukubali na siku ukijua inapigwa huko nje, ni hivyo tu usije kulialia, umeamua Mwanamke awe mwanaume kwa kutafta kubali na matokeo, nadhani umeona post humu inasema : amepata kazi Sasa ananidharau. Pesa kitu ingine wewe.Bora mwanamke anayefanya kazi kuliko ambaye hafanyi. Tanzania ni maskini kwasababu ya kundi kubwa la wanawake ambao hawajishughulishi kiuchumi
Basi kwenye ile comment yako usingesema "wanawake ni viumbe wa ajabu" bali ungesema "kuna watu ni viumbe wa ajabu"Wote ni viumbe wa ajabu na ni kukosa aibu sijui wanapatq wapi ujasiri wa kuanza kuombaomba wanunuliwe vinywaji na watu wasio wajua.Mimi ninaweza kumnunulia mwanamke kinywaji nikimuelewa na sio kila limwanamke
Tuwahurumie hawa watu, tukumbuke hawana pa kusema Wala taasisi ya kuwatetea🙄Vilio Kila Kona...
Akili zenyewe mnazo sasa?Tatizo huwa hawajui wanataka nn..
Tuishi nao kwa akili tuu
Uko sawa wanawake hawawapendi wanaume wema kwao huwafanyia mabaya mwanamke anataka mwanaume katili kwakeWanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Kama vile umeniona mwanangu hapa tayar nilishaombwa kodi nampiga huyu mwizi chenga zamwili tu nataka niichape kesho nikimbie mazimaTunza pesa na mali yako kwaajili yako na familia yako acha kuwekeza kwa wadangaji A.K.A visungura matope, utaishia kuombwa kulipa kodi , pesa ya saloon na gharama mbalimbali usikubali huo ujinga tunza pesa yako.
Inasikitisha sanaVijana wanateketea, boda boda yuko kazini kuanzia asubuhi hadi usiku lakini hata elfu 10 hana. Kumbe anahonga tu😅😅
😂😂😂 huwezi amini mwanangu hiyo hela sikuwahi kutoa nilikabembeleza kakaja gheto nikachapa na brah brah kibao na kesho pia nakaita na kachapa sitoi 60k wala kodi mwendo wa kula ahadi za uongo nikichoka nyapu yake naondoka
Wanawake ni majiniWee kumbee?! Em sema kweli?
Na wanawake wapo tayari kuchakazwa tuu as long as man umemzidi kila kitu mwanamkeDiamond yeye anawachakaza tu tofauti na hapo angekuwa Kama Q Chillah