Ukitaka kuwa masikini we wahurumie wanawake

Ukitaka kuwa masikini we wahurumie wanawake

Uliposema wanawake ulikuwa katika muktadha wa mwenza yaani mke,kimada,demu au mchepuko ila sio bibi,dada, shangazi,mama,au house girl.
Wanawake ni neno general kwa jinsia ya kike.

Awe mke, kimada, demu, dada, shangazi, mama, bibi wote hawa ni KE.
 
Mwanamke si mzuri kama sio ndugu yako, si ndivyo unavyomaanisha?

Basi tuishi humu...
 
Shidq ni hawa wanawake magen-z yaliyokulia kwenye maisha ya maigizo yanayochagizwa na mitandaoo, mbona sisi tulishudia mama zetu na dada zetu wakiwaheshimu bwana zao.
 
Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.


Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.

#No reform no Election.
Hii imeenda
 
Mkuu, kila mwanaume ana mama, na kila binti ana baba. Si ndio? Sasa kila mwanaume akihudumia ipasavyo binti yake na mama yake wanawake wote watakuwa wanahudumiwa na mwanaume bado.
Well
 
SiYO KWELI :DESKCHAN: usi generalize yaliyokusibu, hauna sampuli (sample size) ya kutosha ki takwimu kuhukumu wanawake wote, eti mama yako ndyo exception😛, wanaume ndyo wana rekodi mbaya sana ya ukatili dhidi ya wanawake.
Simp
 
Mama ahudumiwe na mume wake unless katangulia mbele za haki. Kama mzee hajiwezi sababu ya uzee, mpe mzee pesa yeye ndo amhudumie mkewe.

Hizi nyodo za vijana wa kiume kujifanya mama, mama, mama ujue uzee unakujia na wewe, mtazame mzee wako anavyofanana halafu jua kabisa na wewe utazeeka.
Ata mama tilipo kua wadogo aliacha ujana wake kwa kujifanya mwanang mwanang mwanang
 
Hili ndo fundisho au
Sijakuelewa kabisa na vijimistar vyako hivyo, inaonekana bado mtoto wewe, kwani umelazimishwa kuwa na wanawake? Umevamia dude limekuparua uso Sasa unataka kusema tusiwahurumie wanawake, je tuwahurumie wanaume wenzetu? Ngoja nikufundishe SoMo: mpende Mwanamke, mvishe, mlishe, mpe pa kulala, mkielewana masonga mbele ikiwa mambo hayaendi mwache aende kwa Amani kabisa, tafta chuma kingine, yake uliyohudumia na wewe alikuhudumia na inakuwa imeisha hiyo unasonga mbele.
 
A
Na wakifanya kazi tukubali hatutawamiliki Wala hakuna demu wako Wala mke wako, jua limchape anatafta pesa halafu akutunzie kipochi eti ni chako tu haiwezekani labda awe anakuachia wewe ubaki nacho, wamepanga meza Kkoo jua Kali linawachapa, sura mpaka zimechujuka, biashara haziendi usafiri mwendokasi ni shida anakaa makabe huko, aende nayo arudi nayo mhhhh jiandae kulia, wanaume hudumieni wanawake, ngozi ziwe laini mikono laini Kila kitu laini huyo ndo Mwanamke wako vinginevyo mnasaidiwa majukumu yote ya nyumbani mpaka ya mwili wake acheni wanawake wabaki nyumbani muwafurahie na huo ndo uanaume.
Acheni dhana potofu. Sio wanawake wote wanaofanya kazi wanaliwa ovyo. Wapo wengi tu wanajiheshimu na wana familia bora. Hata mama wa nyumbani anaweza kuliwa ovyo kama hajiheshimu.
 
Back
Top Bottom