Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Kwa bikra zilivyokuwa adimu mjini hapa labda ukazitafute huko ndani ndani mchambawima, bikra kwa miaka ya karibuni imekuw bidhaa moja adimu sana cjui ni utandawaz au vp lakn waweza kuta mtoto wa darasa la saba ama form one shughuli hamna, wahuni washamaliza kitamboo.

#Wahunisiowatu
fact

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Kwa bikra zilivyokuwa adimu mjini hapa labda ukazitafute huko ndani ndani mchambawima, bikra kwa miaka ya karibuni imekuw bidhaa moja adimu sana cjui ni utandawaz au vp lakn waweza kuta mtoto wa darasa la saba ama form one shughuli hamna, wahuni washamaliza kitamboo.

#Wahunisiowatu
Evolution tu sikuizi hawazaliwi nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetoa mtazamo wako kama mwanamke bahati mbaya we sio mwanaume so huwez kufikiri kama mwanaume,period

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna watu wawili wanaohusika. Mwanamke na mwanaume. Mimi nimejibu juu ya wanawake tunavyofikiri juu ya watu walio au wanaotutoa bikra. Ila pia sisi wadada tuna uwezo mkubwa wa kuwamanipulate wakaka.

Tuna nguvu fulani ya ushawishi kwa maneno au vitendo. Tunaweza kurudi kwa maex kwa maneno kedekede either huko tulipokwenda tumekutana na makubwa.

Sasa tukirudi na kuwaambia 'we ndo mwanzilishi' mnavimba but its nothing kama mtu mwenyewe hakuona thamani yako na akadiriki kukuacha.
Tunaumia sana kuachwa na mwanaume anayejali, mwenye mapenzi ya kweli na anayejua thamani ya mwanamke.

Ndio mana wengi hawang'ang'anii kuolewa na aliyewatoa bikra, bali kuna sababu zingine ambazo mtu anaweza kurudi kwako. Ila mumewe akicover kila sector, huyo mwanamke hatotaka kukusikia wewe uliyemtoa bikra, sana sana atajuta tu kwa nini wewe ulikuwa wa kwanza.
Kwa mwanaume, nafikiri kuamini ndio kitu ambacho ni kikubwa kwenu.

Bikra inaleta uaminifu kwenu kama "Huyu mwanamke mimi ndiye niliyeanza basi haendi kokote hata nifanyeje!" Mnakuwa hamna wasiwasi tofauti na yule ambaye mnamkuta amerukaruka sana. Hamjiamini mnapokuwa nao. Ndoa ina vitu vingi sana wether uwe bikra usiwe nayo, kikubwa ni kuishi maisha yanayompendeza Mungu na familia yako.
 
Kumpata mwanamke ukubwanj ambae ametulia ni ngumu sana, tofauti na ukimpata mdogo mdogo alie bikra

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutulia inategemea tu ndugu yangu. Unaweza pata mwanamke mdogo haelewi chochote, umemchukua na kumwamini. Utandawazi ukamfumbua macho. Unaweza tamani kujitoa uhai.

Mimi nninachofikiria muda mwingine, mwanamke anaweza akabadilishwa kuwa mzuri au mbaya kutokana na wewe mwenyewe. Imagine umeoa, kila leo unarudi umelewa, hakuna kusikilizana, kila mara fujo. Nitavumilia mwanzo. Lakini yakinishinda, nitaanza kutafuta suluhisho. Mwanamke akikutana na mkaka mwingine ambaye anaonekana anajali, anasikiliza, mnapatana, urudi kwenye shida kufanya nini?

Lakini kwa upande mwingine, unajua majukumu yako, unajali, unampenda mkeo, unajitahidi kuwa naye karibu, kusikilizana na kumfanyia vitu vingi, je atoke nje kutafuta nini?
Ila pia, wapo ambao watatoka hata ufanye nini. Ni tabia zao na akili zao. N ndio hao ambao uwa wanarudi mbio wakilia baada ya maji kumwagika.

Hasa hivi vitoto vidogo ndivyo vinavyoongoza kwa tabia mbovu kutokana na either kuwa limbukeni na dunia, kufata makundi ya watu ili asionekane mshamba au malezi.
Ni kumuomba Mungu tu.
 
Mimi kuna demu nilimtoa bikra, nikaendelea kumkaza kwa miaka 8 mfululizo, lakini hakuwa na sifa za kuwa mke, nikatafuta mwanamke ambaye wenzangu walinisaidia kuitoa bikra ndo nnaye hadi sasa.
Kuoa bikra haimaniishi utakuwa na furaha au utulivu kwenye ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 8 duuuuuuuuuuu? Huo si niuharibifu kabisa huyo ni mke kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
endelea kukariri......mpende mwanamke,,, oa....amini ni wako pekee yako......ishi upendavyo..........mwanamke ni yule yule aliemlishwa ADAMU tunda.......na kama huna akili usioe.....
 
endelea kukariri......mpende mwanamke,,, oa....amini ni wako pekee yako......ishi upendavyo..........mwanamke ni yule yule aliemlishwa ADAMU tunda.......na kama huna akili usioe.....

Acha kukariri....akili kuna sehemu inafeli hasa kama huna hela halafu mwanamke ndiye anakutunza...hapo lazima uwe mpole na libichwa lako lenye akili nyingi unatulizwa na unafyata mkia...
 
Acha kukariri....akili kuna sehemu inafeli hasa kama huna hela halafu mwanamke ndiye anakutunza...hapo lazima uwe mpole na libichwa lako lenye akili nyingi unatulizwa na unafyata mkia...
mwanaume unakuwaje huna hela....pumbafu sana wewe....unakubali kutunzwa na mwanamke.......unafaa kuchinjwa uliwe nyama .........ulienda jando wewe?
 
Back
Top Bottom