Mnapotaka kuoa mwanamke bikra vipi kwa upande wa mwanaume ambaye si bikra? Apite ajaribu kila kona akichoka amchukue bikra mmoja akae naye awe anamfananisha na mademu zake waliopita. Lakini kwa kuwa mwanamke ni limbukeni wa hiyo mambo, basi mwanaume anaenjoy!
Hilo swala la mwanamke kumkumbuka mwanaume aliyemtoa bikra, kichekesho ni kwamba, wanaume ndio wanaokazana sana kutoa matamko hayo. Wadada wenyewe tumepiga kimya hahaha.
Kutolewa bikra sidhani kama ni jambo kubwa ambalo mtu unaliweka kichwani to the extent. Sisi wadada uwa hatuwezi kumsahau mtu ambaye ameonyesha mapenzi ya dhati, kutuheshimu na kututhamini kama mwanamke. Hayo ya kutoana bikra unakuta mkaka mwenyewe haoni thamani ya mwanamke au mwingine anauliza 'Sa mbona damu?' Hahahaa mtu arudi kufanya nini?
Ndoa ni zaidi ya bikra. Ndoa ni zaidi ya pesa na vitu vingi. Imagine mtu mnayejuana ukubwani muishi maisha yote mpaka kifo chenu, suluhisho ni bikra?
Sent using
Jamii Forums mobile app