Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Sijapanic walaa...ila nyonyo anaweza kuwa wewe🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️Sina hakika lakin
Ni kitu ambacho hakiwezeakni..
Pancho boy will remain be a pancho boy..

Nimetoka kwenye ban so Sina time ya kujibizana dada.. Nirudie kukupa pole..
 
Ni kitu ambacho hakiwezeakni..
Pancho boy will remain be a pancho boy..

Nimetoka kwenye ban so Sina time ya kujibizana dada.. Nirudie kukupa pole..
Poleh na ban
JF vigezo na masharti kuzingatiwa
 
I fully support you sir, naunga mkono hoja, maana ukioa binti ambae ako na ma ex, wakati wa game atakuwa anakucompare na hao ma ex wake, ole wako kaa wewe game yako ni nyanga na ma ex game yao no bercelona fc au man united, nakwambia atakuwa anangongwa na hao ma ex, hata watoto atakaozaa si ajabu wawe ni wa hao ma ex. umenifanya nilikirie mengi sana, kwanzia sasa ka binti sio bikra, sio wa kuoa huyo, be blessed sir.
 
JF sio sehemu ya kuonesha male dominance. Mtu akitoa comment kwenye uzi huu akienda against kama ni ID ya kiume anaambiwa OK, kama ya kike anaambiwa "pole kwa kutolewa bikra" as if ulimshikia kiuno. Toeni hoja na mpingane kwa facts sio kuattack.
 
Labda useme ambae hana historia ya ma ex wengi(asiwe ame date na wanaume zaidi ya 3+ ) lakn demu bikra ni pasua kichwa haelewi kbs maswala yA ya ndoa na namna ya kuchukulia mambo ila pia
NB kuku mgeni akianz kuzoea nje hatorud ndani mapema au hupotelea huko ata kama nyumbn kuna chakulA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu siwaoni kwenye huu Uzi au wamebadilisha ID😂😂😂😏
 
JF sio sehemu ya kuonesha male dominance. Mtu akitoa comment kwenye uzi huu akienda against kama ni ID ya kiume anaambiwa OK, kama ya kike anaambiwa "pole kwa kutolewa bikra" as if ulimshikia kiuno. Toeni hoja na mpingane kwa facts sio kuattack.
Hauna bikra acha porojo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida sio anachepukaa noo, ni mchoyo, ana tabia mbaya hapendi mama mkwe anaweza mjibu lolote kwa kifupi ni tatizo, sasa hapo bikra ina faida gani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sante sana.....nafhanj mwanzisha sredi hii alichemka alipoweka neno "kuishi kwa amani katika ndoa"....

Hakika unakutana na mwanamke japo bikra lakini maudhi kila sekunde......mara paap unaanguka unakufa.......

Amani ya ukweli ni kupata the real soul mate
 
I fully support you sir, naunga mkono hoja, maana ukioa binti ambae ako na ma ex, wakati wa game atakuwa anakucompare na hao ma ex wake, ole wako kaa wewe game yako ni nyanga na ma ex game yao no bercelona fc au man united, nakwambia atakuwa anangongwa na hao ma ex, hata watoto atakaozaa si ajabu wawe ni wa hao ma ex. umenifanya nilikirie mengi sana, kwanzia sasa ka binti sio bikra, sio wa kuoa huyo, be blessed sir.

Kabisa, wengi wanagongewa na maex, halafu ndio hivyo kila kitu anakua anakucompare na waliopita yaani ni upumbavu mtupu, dawa kuao binti mdogo tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom