Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Uko sahihi kabsa mtoa mada,,Ni muhimu kuo msichana bikra

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
JF sio sehemu ya kuonesha male dominance. Mtu akitoa comment kwenye uzi huu akienda against kama ni ID ya kiume anaambiwa OK, kama ya kike anaambiwa "pole kwa kutolewa bikra" as if ulimshikia kiuno. Toeni hoja na mpingane kwa facts sio kuattack.

👍👍👍👍👍
 
Yes
Ok pata the real soul mate

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes Indeed....akiwa bikra na sio soul.mate wako atakuwa sio riziki..tena atakiri hadharani ni shetani gani alimpitia ukampata na kumuoa.atapoonja na huko nje huyo msahau kabisa.......

Akiwa umemkuta yu wazi akiwa sio soul.mate wako ataendelea kuwasaka....na kama kuna aliyekuzidi huko kabla (wanasema.mwanamke mtu mzima aliyeolewa huwa ni aghalabu kutafuta mtu mpya wa kumgonga basi atarudi riverse)

Kikubwa watu wengi hatijaoa ma soul mate wetu......ndio maana tunadiscuss bikra tu...... ukimpata soul mate hutaulizia hizo mambo na hata ukimfumania unamsamehe

Ni bahati sana ukampata bikra akasomeka straight away.....

Unless aliyeoa liyembikiri wakiwa shule..akarnda kuzungukaa weeeee bado akarudi kwake ndio kalamba dume...kaonja na hajakutana na ya kumfaa xaidi
 
Ndugu zangu, unapooa bikra, inamaana unakata utepe, unafungua sild, Wasichana wa kaliba hii wanaofunguliwa sild ni wazuri sana maana wao hawajawahi kufanya hicho kitendo, kwahiyo ni rahisi kurizika na mme wake, tofauti na wale ambao ni used ambao washapiga sana mechi mpaka inafikia hatua ya kuchagua na kutambua ya kwamba 'hii ni tango na ile ni bamia' wakati mwingine mwanamke used unaeza kuta hajakutana na bamia lakini anaiita bamia kwa sababu ya ukubwa wa lango lake.

Wenzangu, oa msichana bikra, mbona bado wapo, hata kama ukimzidi umri sio shida tena ndio vizuri heshima inaongezeka.

Katika mahusiano unalalamika unachapiwa, ukiulizwa kama ulimkuta huyo mwanamke bikra utajibu nini?? Mwanamke yoyote aliye na Ex wake inamaana sio wako, ni wenu wewe na maex wake waliopita.

Kwa wale mnaoenda mbali zaidi na kuoa single maza, sina msaada na nyie, poleni sana, maisha ni popote!

Mwanamke bikra ana raha yake, mwanamke siku zote hawezi kumsahau aliemtoa bikra, na mapenzi ya mwanaume aliemtoa bikra hayaishi, kama wapo karibu yataendelea tuu hata kama kaolewa.

Ndio hivyo, unapooa mwanamke asie bikra ujue ya kwamba mpo wengi, upo wewe unaeishi nae, na wapo wale waliopita wanaochovya siku mojamoja.

Kwa maisha ya sasa, mwanamke asie bikra hata umnywee alkasusu,mundende au congo dust huwezi kumridhisha hata siku 1 cha zaidi ni kumuumiza tuu.

Wanaume wengi wanaochapiwa wake zao, wanachapiwa na wanaume waliowahi kua kimapenzi na wake zao "ma ex"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, anaeza ukatafuna 100 still ukakuta wote siyo bkra, au ukapata za kutengeneza, maana siku hizi zipo za dawa za kichina
 
Ni kweli lakin sio kwa karne hii hase, kuna mashoga, mitandao, na kila aina ya vishawishi, mwenye akili yake atatulia na mwenye upuuzi wake ataondoka maana mashoga watamsimulia atataka kujaribu maana vingine anavyosimuliwa hajakutana navyo kwako na kuna vitu ataona mitandaoni atataka kujaribu lakin kwa mume wake hataweza so lazima atafute mlimbukeni mwenzake, kifupi hapa story inabalance muhimu akili tu yeye ni mtu wa namna gani? Inawezekana usimkute bikira lakini alijutia alichokifanya, mwingine unamkuta bikira lakini akajutia kuitunza sana, yote na yote tuisha kwa wakati husika tuache kuishi karne ya 17 huko, imani istudanganye sana tuabudu Mungu Huku tukitumia akili aliyotupa, kwa bikira kitu utafaidi sana ni kuwa x wa kwanza basi lakini vingine itategemeana na akili yake huyo mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unapokuwa kijana unafikiri na kuamini ndoa ni tendo la ndoa na watoto ni kawaida tu. hivyo unaumia ukisikia unachapiwa kupita kiasi lakini ukifika 45 to 50 unagundua ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa na unaweza wala usiache mke kwa kuhisi anatembea na fulani unachokifanya ni kukubaliana na utetetzi wake hata kama unaujua ukweli. kwa kuwa mnahitaji kujenga maisha kwa ajili yenu na watoto siku zijazo.
kingine binadamu hawaeleweki unaweza kuoa bikira na bado watu wakamchukua na wewe ukaelezwa kuwa hujawahi kumpa starehe kama anazompa fulani na kwanza aligundua kuwa ulimbaka. na hujawahi kuwa na mapenzi kwake! upo hapo!
 
Heisenberg blue meth

Kukata utepe nyumba haimaanishi lazima utaishi kwenye hiyo nyumba, furahi hiyo heshima tu yakukata utepe lakini kuishi kwenye nyumba hiyo anaweza ishi yoyote maana hata uliyekata utepe sio uliyejenga, so sema umekuwa mgeni rasmi tu ni heshima pia, ila mwenye nyumba atakuja aishi yeye(soulmate wake)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom