Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Halafu hao aliowatoa hizo bikira wote ataoa? Au anawaachia wenzie waoe makapi kama anavyosema yeye? Kuna watu wanapata maradhi wakiwa ndani ya ndoa unakuta hakuna kinachofanyika sasa kama ndoa ni ngono ndoa si inavunjika kabisa! Akikua ataacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaaaa
 
Ndugu zangu, unapooa bikra, inamaana unakata utepe, unafungua sild, Wasichana wa kaliba hii wanaofunguliwa sild ni wazuri sana maana wao hawajawahi kufanya hicho kitendo, kwahiyo ni rahisi kurizika na mme wake, tofauti na wale ambao ni used ambao washapiga sana mechi mpaka inafikia hatua ya kuchagua na kutambua ya kwamba 'hii ni tango na ile ni bamia' wakati mwingine mwanamke used unaeza kuta hajakutana na bamia lakini anaiita bamia kwa sababu ya ukubwa wa lango lake.

Wenzangu, oa msichana bikra, mbona bado wapo, hata kama ukimzidi umri sio shida tena ndio vizuri heshima inaongezeka.

Katika mahusiano unalalamika unachapiwa, ukiulizwa kama ulimkuta huyo mwanamke bikra utajibu nini?? Mwanamke yoyote aliye na Ex wake inamaana sio wako, ni wenu wewe na maex wake waliopita.

Kwa wale mnaoenda mbali zaidi na kuoa single maza, sina msaada na nyie, poleni sana, maisha ni popote!

Mwanamke bikra ana raha yake, mwanamke siku zote hawezi kumsahau aliemtoa bikra, na mapenzi ya mwanaume aliemtoa bikra hayaishi, kama wapo karibu yataendelea tuu hata kama kaolewa.

Ndio hivyo, unapooa mwanamke asie bikra ujue ya kwamba mpo wengi, upo wewe unaeishi nae, na wapo wale waliopita wanaochovya siku mojamoja.

Kwa maisha ya sasa, mwanamke asie bikra hata umnywee alkasusu,mundende au congo dust huwezi kumridhisha hata siku 1 cha zaidi ni kumuumiza tuu.

Wanaume wengi wanaochapiwa wake zao, wanachapiwa na wanaume waliowahi kua kimapenzi na wake zao "ma ex"
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli wenyewe sema tuu warembo wanajidai kichwa ngumu.
Ah mie ndio maana nilishajisemeaga sioi maana nilishakosa sifa so wacha nigegede wazinzi wezangu hao bikra wacha waolewe na wanaume wanaostahili hiyo zawadi.
 
hoja mufilisi kabisa,mwanamke anaweza kutolewa bikra katika mazingira tofauti tofauti mf kama binti alitolewa kwa kubakwa akiwa kwenye ndoa atakuwa anamuwaza aliyembaka akafanye nae mapenzi?, Kama aliyemtoa bikra kafariki mwanamke ataenda kabulini kudai penzi? ,ndoa zinahitaji wanaume haswa na sio wanaume wanaowaza upumbavu kama ww ,mwanaume wa shoka anamfumania mke wake anamshika mkono wanaenda home kuendeleleza life

Yeye anachosema hata kama kamfumania lakini awe alioa akiwa bikira basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hoja mufilisi kabisa,mwanamke anaweza kutolewa bikra katika mazingira tofauti tofauti mf kama binti alitolewa kwa kubakwa akiwa kwenye ndoa atakuwa anamuwaza aliyembaka akafanye nae mapenzi?, Kama aliyemtoa bikra kafariki mwanamke ataenda kabulini kudai penzi? ,ndoa zinahitaji wanaume haswa na sio wanaume wanaowaza upumbavu kama ww ,mwanaume wa shoka anamfumania mke wake anamshika mkono wanaenda home kuendeleleza life

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli umeongea point tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wamekua wakali zaidi ya pilipili humu
Used zinawatesa vibayaa jmn
 
Hii ni kweli kabisa, mimi mke wangu nilimkuta akiwa bikira, mwanzoni nilikuwa nahisi kuwa yawezekana alinidanganya, lakini kadiri siku zilivyozidi kwenda niliamini kabisa na historia yake aliyokulia na mazingira ya nyumbani yalinifanya niamini na ni hakika. Nilimuoa akiwa na miaka 27 lakini alikuwa bikira! Hii ilikuwa kwangu muujiza, na kwa sasa ndoa yangu naiona yenye furaha na uaminifu mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu, unapooa bikra, inamaana unakata utepe, unafungua sild, Wasichana wa kaliba hii wanaofunguliwa sild ni wazuri sana maana wao hawajawahi kufanya hicho kitendo, kwahiyo ni rahisi kurizika na mme wake, tofauti na wale ambao ni used ambao washapiga sana mechi mpaka inafikia hatua ya kuchagua na kutambua ya kwamba 'hii ni tango na ile ni bamia' wakati mwingine mwanamke used unaeza kuta hajakutana na bamia lakini anaiita bamia kwa sababu ya ukubwa wa lango lake.

Wenzangu, oa msichana bikra, mbona bado wapo, hata kama ukimzidi umri sio shida tena ndio vizuri heshima inaongezeka.

Katika mahusiano unalalamika unachapiwa, ukiulizwa kama ulimkuta huyo mwanamke bikra utajibu nini?? Mwanamke yoyote aliye na Ex wake inamaana sio wako, ni wenu wewe na maex wake waliopita.

Kwa wale mnaoenda mbali zaidi na kuoa single maza, sina msaada na nyie, poleni sana, maisha ni popote!

Mwanamke bikra ana raha yake, mwanamke siku zote hawezi kumsahau aliemtoa bikra, na mapenzi ya mwanaume aliemtoa bikra hayaishi, kama wapo karibu yataendelea tuu hata kama kaolewa.

Ndio hivyo, unapooa mwanamke asie bikra ujue ya kwamba mpo wengi, upo wewe unaeishi nae, na wapo wale waliopita wanaochovya siku mojamoja.

Kwa maisha ya sasa, mwanamke asie bikra hata umnywee alkasusu,mundende au congo dust huwezi kumridhisha hata siku 1 cha zaidi ni kumuumiza tuu.

Wanaume wengi wanaochapiwa wake zao, wanachapiwa na wanaume waliowahi kua kimapenzi na wake zao "ma ex"
Sent using Jamii Forums mobile app

Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote mkuu. Wale mabachela wenzangu tuendelee kutafuta mabikra kwa ajili ya kuwaoa.
 
Mkuu baada ya kusoma uzi wako wote msimamo wangu uko pale pale naenda kumuoa huyu manzi mliemchezea na kunitolea bikra yake na kumuumiza kisha mkamtema...nasema namuoa vere soon.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Wallahi
Do what suits you .
 
Du kweli huu uzi utavunja ndoa nyingi Sana za wadau humu jf
 
  • Thanks
Reactions: B51
Back
Top Bottom