Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
- Thread starter
- #81
Yaan bikra ya baiskeli ndo iwe ya mwanaume, jamani..Si kila msichana hutolewa bikra kwa kulala na mwanaume,wengine zilitoka kwa kufanya mazoezi,kubeba vitu vizito,kuendesha baiskel n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
jasiri haachi asiliEnd of the day mwanamke wa kuoa ni yule aliyeamua kumaliza mambo yake, aliyekupenda na kuridhika na wewe baaaaaaaaaaaaaaaaasii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamakovu au imeshakua sugu husikii chochote kwasasa.....
Mnapotaka kuoa mwanamke bikra vipi kwa upande wa mwanaume ambaye si bikra? Apite ajaribu kila kona akichoka amchukue bikra mmoja akae naye awe anamfananisha na mademu zake waliopita. Lakini kwa kuwa mwanamke ni limbukeni wa hiyo mambo, basi mwanaume anaenjoy!
Hilo swala la mwanamke kumkumbuka mwanaume aliyemtoa bikra, kichekesho ni kwamba, wanaume ndio wanaokazana sana kutoa matamko hayo. Wadada wenyewe tumepiga kimya hahaha.
Kutolewa bikra sidhani kama ni jambo kubwa ambalo mtu unaliweka kichwani to the extent. Sisi wadada uwa hatuwezi kumsahau mtu ambaye ameonyesha mapenzi ya dhati, kutuheshimu na kututhamini kama mwanamke. Hayo ya kutoana bikra unakuta mkaka mwenyewe haoni thamani ya mwanamke au mwingine anauliza 'Sa mbona damu?' Hahahaa mtu arudi kufanya nini?
Ndoa ni zaidi ya bikra. Ndoa ni zaidi ya pesa na vitu vingi. Imagine mtu mnayejuana ukubwani muishi maisha yote mpaka kifo chenu, suluhisho ni bikra?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamakovu au imeshakua sugu husikii chochote kwasasa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano hapa nini kimeenda kwa mganga?
Ganzi[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamakovu au imeshakua sugu husikii chochote kwasasa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaforce mawazo yao yawe facts. Bf aliekata utepe hata simuwazagi. Ila yule Ex alienipenda vzr na kunijali. Huyo ndo siwezi kumsahau.Mnapotaka kuoa mwanamke bikra vipi kwa upande wa mwanaume ambaye si bikra? Apite ajaribu kila kona akichoka amchukue bikra mmoja akae naye awe anamfananisha na mademu zake waliopita. Lakini kwa kuwa mwanamke ni limbukeni wa hiyo mambo, basi mwanaume anaenjoy!
Hilo swala la mwanamke kumkumbuka mwanaume aliyemtoa bikra, kichekesho ni kwamba, wanaume ndio wanaokazana sana kutoa matamko hayo. Wadada wenyewe tumepiga kimya hahaha.
Kutolewa bikra sidhani kama ni jambo kubwa ambalo mtu unaliweka kichwani to the extent. Sisi wadada uwa hatuwezi kumsahau mtu ambaye ameonyesha mapenzi ya dhati, kutuheshimu na kututhamini kama mwanamke. Hayo ya kutoana bikra unakuta mkaka mwenyewe haoni thamani ya mwanamke au mwingine anauliza 'Sa mbona damu?' Hahahaa mtu arudi kufanya nini?
Ndoa ni zaidi ya bikra. Ndoa ni zaidi ya pesa na vitu vingi. Imagine mtu mnayejuana ukubwani muishi maisha yote mpaka kifo chenu, suluhisho ni bikra?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumpata mwanamke ukubwanj ambae ametulia ni ngumu sana, tofauti na ukimpata mdogo mdogo alie bikra
Sent using Jamii Forums mobile app
OkEndekea kufanya utafiti boss tumewaona hao mabinti ambavyo hawajatulia.
[emoji16][emoji16][emoji16] duh pole sana ila kuna jama angu ana dawa ya hiyo Ganzi yaani inarudi freshi milage zero kama hutajali nitafute nikupe number yake
Ulipooa ukakuta hamna bikra ulijisikiaje ?