Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Sio kweli mtoa mada. Hii kitu kuchapiwa siku hizi ipo tu kwenye mfumo. Hata huyo bikra baada ya kumpitia wewe.

1. Anaweza pia akata kujua nyingine ikoje.

2. Mitandao imeenea kwa kasi ataona,atasoma kitu huko ambacho wewe labda humfanyii akataka kujua kutoka kwingine.

3. Mpaka kucheat mtu kuna mambo mengi,mfano mwingine huko ndani kila wakati hakuna amani,unafikiri yeye kichwa mbumbu abaki tu ametulia?.

4. Mazingira,yapo mazingira kama kusafiri,mahala mnapoishi,kazini,huko anaweza akawa anakutana na mabaharia unafiki wote atawakatalia kila wakati ksbb wewe umemtoa bikra?.

Hii kitu kuoa bikra imewajaa sana vijana under 28 mnajidanganya tu. Oa bikra (japo Manila wenyewe wa kutafuta kwa tochi miaka hii)lakini kuchapiwa utachapiwa tu,hasa kufuatana na mazingira.

Na kama ni mzuri mzuri,na mazingira ya kutoka toka yapo hesabu tu maumivu lazima uchapiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kugongewa imekuwa hofu kuu kwenye jamii
huwezi kuelewa kama na wewe ni wale wale mliochukua wapenzi wa watu alafu mnawaita wake zenu
Pambana na hali yako na hizo bikra, mm sina stress za kugongewa katika nchi iliyojaa wanawake wa kila aina.
 
Kwa hiyo Wewe Ndiyo una akili??
Ungekuwa na akili usinge vuliwa chupi ovyo Wanaume
Jipime uone nan asiye kuwa na akili
Umekua dustbin ya sperm za Wanaume

Mimi nikiwa mmoja wapo nmekumwagia

Ok all is well, unatusaidia Sana ukipata nafas Leo nishtue nikutoe hata hela ya weekend usife njaa Wakati Mabaharia tupo

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kumpata bikira ni kazi ! Hakika ukimpata ni mke wa kweli kwani hajui mwanaume mwingine zaidi yako . Wengi tuliooa tumeoa wake za watu . Aliyemfungua ndie angekuwa mme wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazingira aliyokuwa anaweza kuwa bado hajapitiwa na mtu mwingine..alienda A-Level 2017 na sasa hivi yupo first year..kuna possibility za yeye kutokuguswa,japo i'm not 100pc sure
Ana afadhali
Fanya umuoe labda vinginevyo.....
 
Ina thamani ndio maana imekuwa sehemu ya umbile la mwanamke.

Suala la uzinzi ni jambo kando na umuhimu wa Bikra ni jambo kando.
Ni kweli ni maumbile
Ila si kigezo sana ktk ndoa za sikuhizi

wanaume mngezithamini sana basi ukimtoa tu bikra mtu ungemuoa...ila hali haiko hivyo
Watu wanaoleana wake na waume za watu heheheh...Ni Mungu tu wa kusaidia
 
Bikra ingekua dili kiasi hicho basi mabinti wadogo wote/mabikra wote wangekua na ndoa...

Bikra haitopata thamani kama zamani kwani inatafutwa upande mmoja tu.,

ndoa ni zaidi ya bikra.,
Na mtaendelea kuoa 'used' kama ambavyo na nyie ni 'used'....tafuta tu ahueni au anaejificha ficha...
**panic/toa povu at ur own risk**
Pole sana kwa kupoteza bikra kwa chips kavu
 
Back
Top Bottom