Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Wengine wanalinda bikra zile za kawaida ila wanafungua Wine hapo unasemaje? Unakuta ashazoea kuzibua kila siku

Heisenberg blue meth
 
Ingekua na thamani kiasi hicho basi wote tungeolewa bado bikra na kila mwanaume angeoa mwanamke aliemtoa bikra...ila sote tunajua uhalisia people move on
Na wengi actually ,asilimia 90 ya ndoa za kileo ni watu 'used' mwanamke na mwanaume na itaendelea kuwa hivo..kwani ndoa nyingi ni watu miaka 20+ ...ss kukuta bikra kwa mtu wa miaka 20+ ni shughuli .,zipo ila chache...
Na Nani atakubali bintiye aolewe na miaka 15!! kisa bikra?..watu wako busy na elimu na pesa kwanza
Huwezi kuwa busy na uzinzi afu bado utafte Mungu akupe bikra..ni used kwa kwenda mbele
Juu umesema haina thamani,


Afu chini ukaipa thamani ,yaan k used ni kwa ajili ya man aliye mzinzi...means ni kama ka adhabu flani hiviii,ha haa haaaa



Safii,bikra ina thamani kubwa sana kwa mwanaume,period

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli mtoa mada. Hii kitu kuchapiwa siku hizi ipo tu kwenye mfumo. Hata huyo bikra baada ya kumpitia wewe. 1. Anaweza pia akata kujua nyingine ikoje. 2. Mitandao imeenea kwa kasi ataona,atasoma kitu huko ambacho wewe labda humfanyii akataka kujua kutoka kwingine. 3. Mpaka kucheat mtu kuna mambo mengi,mfano mwingine huko ndani kila wakati hakuna amani,unafikiri yeye kichwa mbumbu abaki tu ametulia?. 4. Mazingira,yapo mazingira kama kusafiri,mahala mnapoishi,kazini,huko anaweza akawa anakutana na mabaharia unafiki wote atawakatalia kila wakati ksbb wewe umemtoa bikra?. Hii kitu kuoa bikra imewajaa sana vijana under 28 mnajidanganya tu. Oa bikra (japo Manila wenyewe wa kutafuta kwa tochi miaka hii)lakini kuchapiwa utachapiwa tu,hasa kufuatana na mazingira. Na kama ni mzuri mzuri,na mazingira ya kutoka toka yapo hesabu tu maumivu lazima uchapiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bora nichapiwe ambaye nimetoa sild mwenyewe,sasa nioe used afu bado nichapiwe,


Yaan ile kutoa tu bk kuna pride flan hivii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiskiaje kukuta mke wako kashatolewa utepe,ujue Kuna watu bado wapo waliomtafuna au labda wawe wamekufa ila kama wapo ni mtihani yani kama njia ilikuwa wazi jaribu kufikiria ilitolewaje, alibakwa alitoa mwenyewe au baiskeli kama wanavyosingizia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengiwao wanakua washachezea mashine mbaya, ni wazoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF sio sehemu ya kuonesha male dominance. Mtu akitoa comment kwenye uzi huu akienda against kama ni ID ya kiume anaambiwa OK, kama ya kike anaambiwa "pole kwa kutolewa bikra" as if ulimshikia kiuno. Toeni hoja na mpingane kwa facts sio kuattack.
Pole kwa kutolewa bikra darasa la nne B kwa chips mayai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki kawaida huwez kuwaza ushoga kirahisi hivyo..yaan msamiati kama huo kuwa karibu na maneno yako unayoyatoa inaonyesha una shida mahali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza kumtia show anayejishebedua mbele ya marijali. Ukitaka kujua mimi sio demu kama ulivocomment pale mwanzo njoo ukunje saba hapa. Mafuta nitagharamia.
 
Back
Top Bottom