Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
1,310
Reaction score
1,633
Ndugu zangu, unapooa bikra, inamaana unakata utepe, unafungua sild, Wasichana wa kaliba hii wanaofunguliwa sild ni wazuri sana maana wao hawajawahi kufanya hicho kitendo, kwahiyo ni rahisi kurizika na mme wake, tofauti na wale ambao ni used ambao washapiga sana mechi mpaka inafikia hatua ya kuchagua na kutambua ya kwamba 'hii ni tango na ile ni bamia' wakati mwingine mwanamke used unaeza kuta hajakutana na bamia lakini anaiita bamia kwa sababu ya ukubwa wa lango lake.

Wenzangu, oa msichana bikra, mbona bado wapo, hata kama ukimzidi umri sio shida tena ndio vizuri heshima inaongezeka.

Katika mahusiano unalalamika unachapiwa, ukiulizwa kama ulimkuta huyo mwanamke bikra utajibu nini?? Mwanamke yoyote aliye na Ex wake inamaana sio wako, ni wenu wewe na maex wake waliopita.

Kwa wale mnaoenda mbali zaidi na kuoa single maza, sina msaada na nyie, poleni sana, maisha ni popote!

Mwanamke bikra ana raha yake, mwanamke siku zote hawezi kumsahau aliemtoa bikra, na mapenzi ya mwanaume aliemtoa bikra hayaishi, kama wapo karibu yataendelea tuu hata kama kaolewa.

Ndio hivyo, unapooa mwanamke asie bikra ujue ya kwamba mpo wengi, upo wewe unaeishi nae, na wapo wale waliopita wanaochovya siku mojamoja.

Kwa maisha ya sasa, mwanamke asie bikra hata umnywee alkasusu,mundende au congo dust huwezi kumridhisha hata siku 1 cha zaidi ni kumuumiza tuu.

Wanaume wengi wanaochapiwa wake zao, wanachapiwa na wanaume waliowahi kua kimapenzi na wake zao "ma ex"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom