kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,190
- 1,729
Huna, sijui ilipasuliwa ukiwa na miaka mingap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio lazima ujue..we umba wako na we umwekee bikra ya udongo...siku akikauka kata utepe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Marahaba Baby, umenikumbusha Mama yangu anavyomwamkia Baba yangu "Shikamoo Baba G" ..ingawa Umri wao umewakimbia lkn Mama hajawahi acha kumpa iyo heshima.
Haha kwa hiyo unataka niwe nakuamkia babyMarahaba Baby, umenikumbusha Mama yangu anavyomwamkia Baba yangu "Shikamoo Baba G" ..ingawa Umri wao umewakimbia lkn Mama hajawahi acha kumpa iyo heshima.
Your wish is my command
Kuna Trucksuit nimekuchukulia kwaajili ya kwenda kijijin tukasimamie na kushiriki zoezi zima la uvunaji wa Mahindi...hahahaha. Hapa ni kazi-bata-Kazi.
Babe mahindi gani yanavunwa masika?Kuna Trucksuit nimekuchukulia kwaajili ya kwenda kijijin tukasimamie na kushiriki zoezi zima la uvunaji wa Mahindi...hahahaha. Hapa ni kazi-bata-Kazi.
Masika ya wapi?? Kule ndo wanavuna sasa Babe !!
Sikupoteza kwa chips kavu.,niliitoa kwa hiari kwa mtu A na kuwekwa ndani na mtu B...upo nyonyooo.?
Pancho Umetisha sana.pole sana I'd yangu inasomeka Pancho boy.
Huyo nyonyo ndo nani??
Acha panic nimekupa pole tu kwa kuipoteza kwa kiepe kikavu
Ndo ufanye urudi sasa