LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,511
Sikupoteza kwa chips kavu.,niliitoa kwa hiari kwa mtu A na kuwekwa ndani na mtu B...upo nyonyooo.?Pole sana kwa kupoteza bikra kwa chips kavu
Sikupoteza kwa chips kavu.,niliitoa kwa hiari kwa mtu A na kuwekwa ndani na mtu B...upo nyonyooo.?Pole sana kwa kupoteza bikra kwa chips kavu
pole sana I'd yangu inasomeka Pancho boy.Sikupoteza kwa chips kavu.,niliitoa kwa hiari kwa mtu A na kuwekwa ndani na mtu B...upo nyonyooo.?
Ni kweli ni maumbile
Ila si kigezo sana ktk ndoa za sikuhizi
wanaume mngezithamini sana basi ukimtoa tu bikra mtu ungemuoa...ila hali haiko hivyo
Watu wanaoleana wake na waume za watu heheheh...Ni Mungu tu wa kusaidia
Hiyo ndio habariIla bikra inathamani kwa mwanamke anaeolewa tuacheni utani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijapanic walaa...ila nyonyo anaweza kuwa wewe🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀Sina hakika lakinpole sana I'd yangu inasomeka Pancho boy.
Huyo nyonyo ndo nani??
Acha panic nimekupa pole tu kwa kuipoteza kwa kiepe kikavu
Hii thread iishie hapa.Mnapotaka kuoa mwanamke bikra vipi kwa upande wa mwanaume ambaye si bikra? Apite ajaribu kila kona akichoka amchukue bikra mmoja akae naye awe anamfananisha na mademu zake waliopita. Lakini kwa kuwa mwanamke ni limbukeni wa hiyo mambo, basi mwanaume anaenjoy!
Hilo swala la mwanamke kumkumbuka mwanaume aliyemtoa bikra, kichekesho ni kwamba, wanaume ndio wanaokazana sana kutoa matamko hayo. Wadada wenyewe tumepiga kimya hahaha.
Kutolewa bikra sidhani kama ni jambo kubwa ambalo mtu unaliweka kichwani to the extent. Sisi wadada uwa hatuwezi kumsahau mtu ambaye ameonyesha mapenzi ya dhati, kutuheshimu na kututhamini kama mwanamke. Hayo ya kutoana bikra unakuta mkaka mwenyewe haoni thamani ya mwanamke au mwingine anauliza 'Sa mbona damu?' Hahahaa mtu arudi kufanya nini?
Ndoa ni zaidi ya bikra. Ndoa ni zaidi ya pesa na vitu vingi. Imagine mtu mnayejuana ukubwani muishi maisha yote mpaka kifo chenu, suluhisho ni bikra?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maagano yapi?Nami nilishajiapiza kula demu bikra, nilikutana nae one time nilipojiridhisha kuwa ni bikra nilitemana naye. Kula demu bikra ni kuingia maagano yasiyo na maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii mada ingewekwa hadharani watu wange tupiana Mawe na chupa pasingetosha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mada zikiwekwa hewani lazima watu wachapane ngumi, hii ni mojawapo.
Wejidanganya tuu kama alioa bikraKuna mtu namjua kaoa bikra, vituko vya mkewe vimemfika shingoni anawaza kumpa talaka, we jidanganye tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwendo huo bikra lazma itokeSijapanic walaa...ila nyonyo anaweza kuwa wewe[emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2440]Sina hakika lakin
Ahsante but no need of medicines, I'm just comfortable with my ganzi mkuu[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] duh pole sana ila kuna jama angu ana dawa ya hiyo Ganzi yaani inarudi freshi milage zero kama hutajali nitafute nikupe number yake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] eti single maza, acha kuoa wake za watu broSio kweli kabisa kwa.vigezo vifuatavyo
1. Bikra hajaonja pengine. Siku akionja sio wako
2. Bikra ni mdadisi bado atatembea tu
3.inaweEkana ulimpata bikra kwa kumfumania...bikra sawa...lakini mnaweza msiwe na kuendana so kila siku ugomvi...
4.bikra anadhani maisha na mtaji wake ni bikra yake...atakunyanyasa sana....
5.bikra anaweza asiwe mwanamke sahihi kwako...atakutesa sana...
Chukuwa tu mjane au singo.maza aliyekuelewa na uliemuelewa...utaishi maisha marwfu mnoooo
Sex japo ndio muanzilishi wa mahusiano lakini ana sehemu ndogo sana katika kufurahiana mapenzi...pia maisha.....iwe bahati yako tu bikra wako awe soul mate wako unless otherwise ni matezo hadi mwisho wa maisha yako au muachane
Mie hapa nina wanawake wawili wote ni wake.zangu...wa kwanza mkubwa wa umri wangu walishatumia tumia na wa pili nilimkuta almost new nimempita kumi na kitu.....still kwa point za amani na raha bado mzee mwenzangu ananipa maisha marefu...
Ninawaza kutafuta mwanamke wa tatu. Zam hii sitaki kukosea...na nahisi atakuwa ni mjane anayejielewa na kunipenda
Tafakari...chukua hatua
You will thank me.later