Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

E

EMI

Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
16
Points
45
E

EMI

Member
Joined Sep 19, 2011
16 45
New development......in Fish Farming
Watu wengi wamekimbilia kufanya ufugaji wa samaki jambo ambalo ni zuri. Changamoto kubwa ambazo wamekutana nazo ni upatikanaji wa chakula bora cha samaki kilichoko katika mfumo unaorahisisha samaki kula vizuri (pellets) na upatikanaji wa mbegu bora zinazotoa guarantee ya kuvuna katika muda unatajwa kwenye theories (kilo moja katika miezi 6 kwa kambale na nusu kilo katika miezi sita kwa sato).
Utatuzi wake:
1. Pata mashine ya kutengeneza floating pellets fish feeds (Check Alibaba);
2. Kuwa makini kupata vifaranga vya mbegu hasa kambale hatujafanikiwa sana kupata mbegu za quality hiyo niliyotaja. Mafanikio haya nimeyaona Nigeria na Kenya. Be connected na watu waliofanikiwa.
3. Ingredients za vyakula zipo nyingi hata wakenya wengi wana import kutoka Tanzania ila kuweza kutengeneza chakula bora bado shida, jifunze Peason Square ujue uchanganyaji wa ingredients na CP zinazotakiwa kwa kila stage ya kukua kwa samaki wako (Growout na Finishing)

Kama utaweza kutatua changmoto hizo mgodi wa ufugaji samaki utatema dhahabu kwako, trust me, samaki wana ready market na guarantee ya price nzuri.

Untill next time, tupeane mengi
 
ipyax

ipyax

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,834
Points
2,000
ipyax

ipyax

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,834 2,000
Wapi naweza pata elimu ya utengenezaji wa chakula cha samaki kwa vitendo mkuu?
New development......in Fish Farming
Watu wengi wamekimbilia kufanya ufugaji wa samaki jambo ambalo ni zuri. Changamoto kubwa ambazo wamekutana nazo ni upatikanaji wa chakula bora cha samaki kilichoko katika mfumo unaorahisisha samaki kula vizuri (pellets) na upatikanaji wa mbegu bora zinazotoa guarantee ya kuvuna katika muda unatajwa kwenye theories (kilo moja katika miezi 6 kwa kambale na nusu kilo katika miezi sita kwa sato).
Utatuzi wake:
1. Pata mashine ya kutengeneza floating pellets fish feeds (Check Alibaba);
2. Kuwa makini kupata vifaranga vya mbegu hasa kambale hatujafanikiwa sana kupata mbegu za quality hiyo niliyotaja. Mafanikio haya nimeyaona Nigeria na Kenya. Be connected na watu waliofanikiwa.
3. Ingredients za vyakula zipo nyingi hata wakenya wengi wana import kutoka Tanzania ila kuweza kutengeneza chakula bora bado shida, jifunze Peason Square ujue uchanganyaji wa ingredients na CP zinazotakiwa kwa kila stage ya kukua kwa samaki wako (Growout na Finishing)

Kama utaweza kutatua changmoto hizo mgodi wa ufugaji samaki utatema dhahabu kwako, trust me, samaki wana ready market na guarantee ya price nzuri.

Untill next time, tupeane mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
J

juliuskwanga

Member
Joined
Apr 5, 2016
Messages
11
Points
45
J

juliuskwanga

Member
Joined Apr 5, 2016
11 45
Msaada ndugu zangu. Mim ni mfugaji mdogo wa samaki aina ya tilapia(sato) sema kwa mwez mmoja sasa samaki hawana response nikiwapa chakula...je hili ni suala la kawaida..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Mhaja

Member
Joined
Feb 23, 2017
Messages
62
Points
125
Age
32
M

Mhaja

Member
Joined Feb 23, 2017
62 125
Hiko chakula kinatosha kwa samaki wangapi ? Nanikwamuda gani kitatumika
 
machiaveli

machiaveli

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
576
Points
1,000
machiaveli

machiaveli

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
576 1,000
habari wakuu? nipo arusha na ninapenda sana ufugaji wa samaki.je ni wapi hapa arusha naweza pata muongozo na elimu juu ya ufugaji wa samaki?

asanteni
 
Fiati

Fiati

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Messages
855
Points
500
Fiati

Fiati

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2013
855 500
Kuna group la ufufaji samaki kibiashara omba wadau wakupe link humo utakutana na wataalamu na magwiji wa Arusha wenzio.
 
machiaveli

machiaveli

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
576
Points
1,000
machiaveli

machiaveli

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
576 1,000
Kuna group la ufufaji samaki kibiashara omba wadau wakupe link humo utakutana na wataalamu na magwiji wa Arusha wenzio.
..
mkuu nisaidie group gani,?
 
kinusikwetu

kinusikwetu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
692
Points
500
kinusikwetu

kinusikwetu

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
692 500
Nami siti ya mbele nataka fuga samaki
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
6,321
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
6,321 2,000
Naonaga hii ni biashara ya uhakika hasa soko.
New development......in Fish Farming
Watu wengi wamekimbilia kufanya ufugaji wa samaki jambo ambalo ni zuri. Changamoto kubwa ambazo wamekutana nazo ni upatikanaji wa chakula bora cha samaki kilichoko katika mfumo unaorahisisha samaki kula vizuri (pellets) na upatikanaji wa mbegu bora zinazotoa guarantee ya kuvuna katika muda unatajwa kwenye theories (kilo moja katika miezi 6 kwa kambale na nusu kilo katika miezi sita kwa sato).
Utatuzi wake:
1. Pata mashine ya kutengeneza floating pellets fish feeds (Check Alibaba);
2. Kuwa makini kupata vifaranga vya mbegu hasa kambale hatujafanikiwa sana kupata mbegu za quality hiyo niliyotaja. Mafanikio haya nimeyaona Nigeria na Kenya. Be connected na watu waliofanikiwa.
3. Ingredients za vyakula zipo nyingi hata wakenya wengi wana import kutoka Tanzania ila kuweza kutengeneza chakula bora bado shida, jifunze Peason Square ujue uchanganyaji wa ingredients na CP zinazotakiwa kwa kila stage ya kukua kwa samaki wako (Growout na Finishing)

Kama utaweza kutatua changmoto hizo mgodi wa ufugaji samaki utatema dhahabu kwako, trust me, samaki wana ready market na guarantee ya price nzuri.

Untill next time, tupeane mengi
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
6,321
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
6,321 2,000
Nasikia wanahifadhigi mayai mdononi majike. Hupelekea kutokula vizuri.

Zaidi endelea kusubiri wajuzi.
Msaada ndugu zangu. Mim ni mfugaji mdogo wa samaki aina ya tilapia(sato) sema kwa mwez mmoja sasa samaki hawana response nikiwapa chakula...je hili ni suala la kawaida..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm_2019

Ccm_2019

Member
Joined
May 9, 2019
Messages
17
Points
45
Ccm_2019

Ccm_2019

Member
Joined May 9, 2019
17 45
Boss kuunganisha hizo liners ni sh ngapi nipo arusha
Liner ni nzuri sana katika mabwawa kwani hupunguza upotevu wa maji katika mabwawa ,huwa zipo zenye thickness ya 0.5 mm na 1mm,liner huuzwa kwa square meter ,Liner huunganishwa kwa mashine maalum kama blower,extrusion machine na plastic welder na pia machine hizi zipo na kusema ununue kwa ajili ya kuunganishia liner kwa bwawa lako tu ni hasara maana machine hizi huuzwa ghali sana hasa hiyo extrusion machine, sisi tunajishughulisha na kudisign,kuchimba na ku install dam liners na machine zote pia tunazo pamoja na extrusion material.Pia tuna design na kufunga irrigation system,tunatengeneza greenhouses pamoja na kuuza vifaranga vya kambale (African catfish fingerlings) na Tunapatikana Arusha...kwa mawasiliano tupigie 0752022108
 
K

Kagi Rasta

Senior Member
Joined
Oct 20, 2016
Messages
193
Points
500
K

Kagi Rasta

Senior Member
Joined Oct 20, 2016
193 500
Kambale ni bottom feeder tofauti na sato wao ni surface feeder, kwaio ukiwa unalisha hakikisha unatumia chakula ambacho kitazama chini ili kambale waweze hula mfano ukiwa unawalisha walishe pellets ziwe na uwezo wa kuzama chini na sio chakula cha powder form ambacho kinaelea juu, pia unaweza kuwachanganya sato na kambale hii system inaitwa polyculture lakin kambale anakula sato kwaio tegemea idadi ya sato kwenye bwawa kupungua tofauti na hivi unaweza kutengeneza Earthen pond kwa ajili ya kufuga hao kambale, mashine za oxygen zinaitwa Aerators machine ila gharama yake siifahamu.
Note: Chakula ulichokuwa unawalisha kimesababisha maji kunuka kwa sababu kilikuwa hakiliki na hao kambale ikapelekea maji kuwa machafu ambapo ikapelekea dissolved water oxygen kuwa ndogo, kambale ni wavumilivu wa oxygen kuliko sato ndomana wana uwezo wa kukaa kwenye matope kwa muda.
Umejibu vzur sana
 
Ccm_2019

Ccm_2019

Member
Joined
May 9, 2019
Messages
17
Points
45
Ccm_2019

Ccm_2019

Member
Joined May 9, 2019
17 45
Je PVC za pond za kuamishika mna uza...!?

Kama yes? Naweza ona sample zake na bei
 
Forum statistics

Threads 1,293,761
Members 497,728
Posts 31,152,646
Top