juliuskwanga
Member
- Apr 5, 2016
- 11
- 3
Msaada ndugu zangu. Mim ni mfugaji mdogo wa samaki aina ya tilapia (sato) sema kwa mwezi mmoja sasa samaki hawana response nikiwapa chakula. Je, hili ni suala la kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app