Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki


heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,429
Points
2,000
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,429 2,000
mkiu naomba unieleweshe hapo juu umesema cp ya soya ni 30% ila kwenye mfano inaonyesha cp ya soya ni 47% ( value ya x)
Hii 47 imetoka wapi huku mwanzoni umeandika 30%?
Ni mechanganya. Soya meal ina CP kati ya 47% had 49%. Ilichanganya ya soya ya karanga.

Asante kwa marekebisho. Umeonesha upo makini mkuu. Vzuri sana
 
Mr coffee

Mr coffee

Member
Joined
Mar 12, 2018
Messages
72
Points
125
Mr coffee

Mr coffee

Member
Joined Mar 12, 2018
72 125
Naomba utufahamishe njia ya kutengeneza hiyo pellet kienyeji Mkuu.
 
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
4,581
Points
2,000
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
4,581 2,000
Kuna wauzaji wa vifaranga Arusha?
 
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
4,581
Points
2,000
Jackal

Jackal

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
4,581 2,000
Kwenye thread mwanzoni nimeelezea rasilimali zinazohitajika
1.Ardhi
2.Nguvu kazi
3.Maji
4.Fedha

Sasa nashindwa kuweka monetary value ya hizo rasilimali sababu zinabadilika badilika kulingana na eneo husika.kwa mfano maeneo ya arusha ardhi iko juu kwa ekari moja unaweza gharamia 14m na hapo ni kijijini.

Uchimbaji nao pia inategemea unachimba na mashine au watu,ila uchimbaji na mashine ndio mzuri lakini gharama zake ziko juu kidogo kama nilivosema nimekodisha mashine kuchimba 43m*15m kwa 700,000 kina cha meter 3.

Maji nayo nategemea maji ya mferejeni nimejiunga na wana kijiji,ila haya maji sio reliable nikipata hela ntachimba kisima changu mwenyewe.

Vibarua wa kufanya kazi hawa ndio hawana gharama ni maelewano tu.
Arusha sehemu gani mkuu?
 
cuthbert sezari

cuthbert sezari

Member
Joined
Sep 5, 2014
Messages
41
Points
125
cuthbert sezari

cuthbert sezari

Member
Joined Sep 5, 2014
41 125
Wakuu msaada vipimo vya bwawa la samaki 5000,upana,kina na urefu.
Naomba kujua aina ya samaki unaotaka kufuga na hali ya bwawa lako laweza kua 20&40,15&30, mfano hiro la 20&40litakua na mita square 800 kil mita kwa sato weka watano watakua samaki 4000 kwa kambale utaweka kumi kwa mita 800×10 =8000 Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cuthbert sezari

cuthbert sezari

Member
Joined
Sep 5, 2014
Messages
41
Points
125
cuthbert sezari

cuthbert sezari

Member
Joined Sep 5, 2014
41 125
SEZARI AQUACULTURE SERVICES iliyopo ndani ya jiji la MWANZA, inakuletea Huduma bora za ufugaji Samaki( viumbe hai Wa majini), tunatoa Huduma zifuatazo: uchaguzi Wa eneo la kuchimba bwawa, uchimbaji Wa mabwawa, ujenz Wa mabwawa Na kuweka plastic sheet kama n lazima, urutubishaji wa bwawa Na kukinga magonjwa ya Samak, kupima ubora Wa Maji ya kufugia Samaki, Vifaranga bora Vya Samaki aina ya sato Na kambale, Vyakula bora Vya Samaki, utengenezaji Wa Cage( ufugaji kwenye vizimba), uzalishaji wa vifaranga bora vya samaki, utengenezaj Wa Aquariums, usafirishaji, Pamoja Na Huduma zote za ufugaji Samaki piga simu namba: 0769752665 au 0786688200Huduma zetu zinamfikia Mteja popote alipo bila shda yoyote, nyote mnakaribishwa.
img_20190115_123742-jpeg.995268


Sent using Jamii Forums mobile app
 
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Messages
9,429
Points
2,000
heradius12

heradius12

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2011
9,429 2,000
K

kamwamu

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,869
Points
2,000
K

kamwamu

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,869 2,000
jambo moja Rahisi sana kwako juu ya mabwawa ya Uvuvi ni kwa wewe kuwasiliana na Idara ya Uvuvi kitengo cha ufugaji viumbe kwenye maji pale Vertinary Temeke, Wizara ya maendeleo ya Uvuvi na Mifugo watakuelimisha vyema maana wao wamesome hayo mambo kwa kina, wanauzoefu wa miaka mingi, watakushauri na mbegu ya kupanda .....kama upo Morogoro nenda kule Kingorwila wanakituo chao pia.

Hesabu inaonesha kibiashara unahitaji eneo kubwa kufanikisha ufugaji. Kwa mjini 2000 sq m ni kiwanja kikubwa, ambamo wanaweza kaa samaki 4000. Kwa bei ya sh 8000 kwa kilo na uvunaji wa mara 2 kwa mwaka ni pato ghafi 32m. Kwa vijana wana anza maisha kutokea chuo bila mkopo, japo sijui gharama za ujenzi, nahisi inakuwa ngumu.
 
M

Minael Masasi

New Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
4
Points
95
M

Minael Masasi

New Member
Joined Jan 10, 2019
4 95
SURA YA KWANZA


UCHAGUZI WA ENEO KWAAJILI YA UJENZI WA BWAWA LA SAMAKI

*sifa za kuzingatia katika kuchagua eneo zuri la ufugaji wa samaki

1.maji
kwanza kabisa yatupasa kujua chanzo cha maji utakayo tumia katika bwawa lako je eneo unaloenda kuchagua katika ujenzi wa bwawa je maji yanapatikana, maji yakiwa yanapatikana basi kwa hatua hiyo sehemu hiyo inafaa

2.samaki unaotaka kufuga
pia ichi ni kitu cha kuzingatia sababu ya kupasa ujue samak unaohtaji kufuga wanapatikana pia je chakula kinapatikana muda wote na hali ya hewa inaruhuxu kuwa fuga

3.miundo mbinu
pia ichi ni kitu cha kuzingatia wakati wa uchaguzi wa eneo la kabla ya kujenga bwawa inatakiwa uzingatie huduma za kijamii zipo karibu ili kusudi uweze kufanikisha katika ukulima

4.usalama
pia hiki ni kitu muhimu ili ufanikishe katika ufugaji inatakiwa uchague sehemu iliyo salama

5.aina ya bwawa unalotaka kujenga
pia hiki ni kitu muhimu maana aina ya bwawa unalo taka kujenga ndio litakuambia kuwa ni eneo gani kupasa kuchagua


6.masuala ya sheria
hili pia ni suala muhimu maana yatupasa kufuata sheria zote za mazingira kabla ya kufanya maamuzi hayo ya kufuga.

wasiliana nasi kwa uchimbaji wa bwawa la kufugia samaki, vifaranga vyote sato, sangara na kambare.

call us ;: 0745478823, 0657570212
20181129_115159-jpeg.1023577
20180921_134425-jpeg.1023578


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,293,776
Members 497,735
Posts 31,153,158
Top