Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

habari wakuu? nipo arusha na ninapenda sana ufugaji wa samaki.je ni wapi hapa arusha naweza pata muongozo na elimu juu ya ufugaji wa samaki?

asanteni
 
Kuna group la ufufaji samaki kibiashara omba wadau wakupe link humo utakutana na wataalamu na magwiji wa Arusha wenzio.
 
Tuwasiliane kupitia 0752022108,tupo arusha na tunatengeneza hizi liner kwa gharama nafuu.
DAMLINERR.jpg
 
Zipo pia boss,tuwasiliane ili uzione baadhi ya tulizo install
Mkuu samahani kwa hili swali, naskia samaki wasipobadilishiwa Maji kwa muda Fulani wanakufa kwa kukosa hewa. Sasa kwa Dodoma ambapo Maji ni ya shida nikifuga si nitatumia pesa nyingi kuliko mapato?
 
pata ushauri kuhusu ufugaji wa samaki kwa njia za kitaalamu
Huduma zetu ni
  1. Uchimbaji na ujenzi wa mabwawa
  2. Tunauza vifaranga wa samaki
  3. Tunaandika mpango kazi ( business plan) kwa watu wanaotaka kuwekeza kwenye secta ya ufugaji wa samaki
  4. Tunauza pond liner kwa ajili ya ujenzi wa mabwawa ya samaki
  5. Tunatembelea popote ulipo Tanzania kukupa ushauri wa kitaalamu
  6. Tupigie simu 0759678821 au baruapepe:lameckdeomedes@gmail.com
 

Similar Discussions

34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom