Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,624
- 2,880
wakutaga na ambao tayariUna kuku wakubwa kiasi ,nahitaji was kutugae kienyeji
wakutaga na ambao tayariUna kuku wakubwa kiasi ,nahitaji was kutugae kienyeji
Je, ni tofauti gan kati ya kuku hawa na Kuchi?View attachment 1489822
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc.
By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila natarajia kuongeza kuku within a week, projections ni kuwa na kuku 1,000, hapo ndio nianze kuuza, matarajio yangu ni kuuza via interent - hapa nalenga watu wa DAR, ambao wako bize, I can do delivery maofisini within city center, na baadae kuweka vituo vya kufanya pickup wakati watu wanarudi home jioni, e.g Mwenge Junction, Morocco Petrol Station, etc. Malipo via M-Pesa, SMS banking pia na mahoteli.
Sitarajii faida ya haraka, naomba ushauri kwa wale walifanya biashara hii, au wanajua mtu wa karibu aliyeifanya.
MICHANGO YA BAADHI YA WADAU
PIA SOMA MADA HIZI
1. Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko
2. Ufugaji kuku sio mwanzo wa utajiri pekee, unaweza ukawa mwanzo wa umaskini wa uhakika. Zingatia yafuatayo ili upate mema kupitia kuku
Una kuku Aina gani na was umri gani nahitajiwakutaga na ambao tayari
Being gani was Kama wk 2au zaidi na jogooo lakeUna kuku wakubwa kiasi ,nahitaji was kutugae kienyeji
Saso ndo kuku ganiAkishindwa layers afuge saso...atapata kipato kuanzia miezi miwili hadi mitatu kama yupo dar lakini wakienyeji atapata shida kwenye kupata kipato cha kila sku atasubiri kwa muda mrefu
Kaka naomb unisaidie plan ya biashar ya kukuIInate
Mhh
Kuku gani? Unataka kuuza au kununua?Masoko ya kuku jamni kwa Arusha kwa anaefahamu naomba msaada tafadhali
Kuku CHOTARA Kama Walivyo KroilerSaso ndo kuku gani
Sida zao ni zipi?Kuku sasso wanauzwa
Umri miezi3 na wiki3.
Wako120,
Bei ni 12000,
Location Ushirombo.
Kama mteja ni wa mbali atapunguziwa bei ili abakie na nauli ya kusafirishia. 0629306194 karibuniView attachment 2023321
Ahsante kwa kutupa tofauti kati ya kuku wa kishua na wa uswazi.Ndio