kimbilio la wengi
Member
- Dec 5, 2012
- 35
- 8
Naomba Na Mimi nipitie nitumie ckaitaba@gmail.com
ni aina gani hiyo ya kuku mkuu unaofuga???Kiini cha njano hakina uhusiano wa moja kwa moja na uzururaji wa kuku bali hutokana na majani au mbogamboga (za kijani) anazokula kuku. Unaweza kumfuga kuku "zero grazing" na akawa na mayai ya njano na matamu kuliko huyo anayezurura.
Mradi wangu kwa mfano, kuku wanafugwa ndani ila kuna bustani maalum kwa ajili yao. Hayo mayai ukianza tu kutumia hautoki!View attachment 1658855View attachment 1658856
Mkuu kama una uhakika inalipa mwachie ndugu yako kwa makubaliano akulipe huku anaiendesha na Mungu atakubalikiNAUZA BIASHARA YA CAR WASH:
LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
NAMBA YA SIMU: 0717 26 33 77
MAELEZO:
MACHINE ZOTE, UJENZI, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k JUMLA: TZS 7,000,000
NIMEBAHATIKA KUPATA KAZI SERIKALINI NA KITUO CHANGU KIKO MKOANI, SO NIMEAMUA KUUZA HII BIASHARA.
Ukipata majibu unishtue mkuuNaomba kujua nimeambiwa na mtu kuwa Muheza Tanga huwa kunakua na gulio la kuku wa kienyeji Kila jumapili, ni kweli ?
mana nataka kuchukua wengi kwa ajili ya biashara
Sasa mkuu hapo kuna hela ya ujenzi na hela ya kodi tena??NAUZA BIASHARA YA CAR WASH:
LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
NAMBA YA SIMU: 0717 26 33 77
MAELEZO:
MACHINE ZOTE, UJENZI, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k JUMLA: TZS 7,000,000
NIMEBAHATIKA KUPATA KAZI SERIKALINI NA KITUO CHANGU KIKO MKOANI, SO NIMEAMUA KUUZA HII BIASHARA.
Umejipangaje na changamoto ya ugonjwa wa kideri? Wakati mwingine kuku wanaopelekwa midani wanakua wameugua kideri ila syo wote hivyo kua makini.Naomba kujua nimeambiwa na mtu kuwa Muheza Tanga huwa kunakua na gulio la kuku wa kienyeji Kila jumapili, ni kweli ?
mana nataka kuchukua wengi kwa ajili ya biashara
Asante kwa ushauri nitauzingatiaUmejipangaje na changamoto ya ugonjwa wa kideri? Wakati mwingine kuku wanaopelekwa midani wanakua wameugua kideri ila syo wote hivyo kua makini.
Ni vyema ukanunua majira ya baridi kwani kuna hatari ndogo ya kideriNaomba kujua nimeambiwa na mtu kuwa Muheza Tanga huwa kunakua na gulio la kuku wa kienyeji Kila jumapili, ni kweli ?
mana nataka kuchukua wengi kwa ajili ya biashara
Habari nimevutiwa na uzi huu, ila ningependa kujua gharama ya uendeshaji kutoka vifaranga mpaka kuanza kutaga (kununua vifaranga+chakula na madawa) na pia gharama za maandalizi ya banda?Nakushauri ufuge wa kisasa - Layers. wa kienyeji it takes time na faida si kubwa vile unavyodhani - nitafute nikupe ushauri wa bure - meanwhile angalia kazi hii hapa
Hawa wako 900, wanatoa Tray 24 kila siku kila Tray 5000- Chakula chao ni kilo 125 approx Tshs 55,000/-
Mtaji wa kuanzia unahitaji kuwa na not less than 6m before you start production. Kama unataka mchakato mzima sema nitakutumia database yangu.
IInateNakushauri ufuge wa kisasa - Layers. wa kienyeji it takes time na faida si kubwa vile unavyodhani - nitafute nikupe ushauri wa bure - meanwhile angalia kazi hii hapa
Hawa wako 900, wanatoa Tray 24 kila siku kila Tray 5000- Chakula chao ni kilo 125 approx Tshs 55,000/-
Mtaji wa kuanzia unahitaji kuwa na not less than 6m before you start production. Kama unataka mchakato mzima sema nitakutumia database yangu.
MhhHutakosa wateja tena ukitegemea ni kuku wa kienyeji,,,mie nnafanya biashara iyo ila sio Dar.
Nilianza kutafuta wafanyabiashara asa masokoni ili nipate angalizo na soko la jumla au rejareja,pia mahotelini unaweza pitia nk nk. Unajua biashara hii kweli ujue tu kujieleza na ukidhi haja ya wateja kwa uzuri,me ilinsaidia hasa ya masokoni na mnaingia mkataba kabisa.
Pia ukiwa na plani ya biashara (sijui niitaje business plan/profile??) ambayo umeiandika unaweza onyesha wateja asa big customers nk haaa si haba.
Keep it up ndugu
Mkuu naomba kuuliza hiv kuku wa kienyeji baada ya kutaga uchukua muda gani kuanza kulaliaNimekua mfugaji wa kuku wa kienyeji na katika upande wanamna ya kuwafuga nimeona kuwafuga kwa kuwaachia ni nzuri zaidi na in matokeo mazuri sana kuliko kuwa kuwafungia muda wote kama wakisasa na nimefanya aina zote za ufugaji lakini iliyo leta matokeo chanya ni ile ya kuwaachia huru wakajitafutie.
Ni mara baada ya kumaliza kutaga huingia kwenye joto ambalo humpelekea kuatamiaMkuu naomba kuuliza hiv kuku wa kienyeji baada ya kutaga uchukua muda gani kuanza kulalia
unataka kuku kias gan na unanunua bei gan?Ukipata majibu unishtue mkuu
Una kuku wakubwa kiasi ,nahitaji was kutugae kienyejiMimi ninayo mengi mkuu.
Na hata kuku wa kienyeji wapo.
Free derivery