Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Nyambala nasikia ni sawa na kusema malafyale kwa wanyaki watanisahihisha hapa.

Hii nchi ukiwaza sana unaona kumbe kuna raia wa kawaida wanabariki huu uchafu wa serikali. too bad!!

Sikujua hilo mkuu,hata hivyo kuna Malafyale as in Malafyale humu ndani,kwahiyo ina maana na yeye tunaweza kumwita Nyambala?
 

Mbona siioni tena ile post yako (number 285) yenye link 2-hazifunguki. Asante kwa hili tangazo.

Sikujua hilo mkuu,hata hivyo kuna Malafyale as in Malafyale humu ndani,kwahiyo ina maana na yeye tunaweza kumwita Nyambala?

Aha! asante kunikumbusha hilo mkuu, nilisahau kabisa tuna malafyale humu!, duh nitaacha kujifanya mtaalamu wa lugha za watu
 
Mbona siioni tena ile post yako (number 285) yenye link 2-hazifunguki. Asante kwa hili tangazo.



Aha! asante kunikumbusha hilo mkuu, nilisahau kabisa tuna malafyale humu!, duh nitaacha kujifanya mtaalamu wa lugha za watu

Rekebisha tu mkuu halafu uweke posti ya kushahihisha labda na kumwomba radhi hapo hapo,lakini si lazima ufungue thread mkuu Lol!
 
Kitu gani kimetokea MODS?

#285
post_new.gif
Today, 02:35 PM
911
user_online.gif

911 is wondering no more.
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Fri Aug 2008
Posts: 281
Thanks: 245
Thanked 65 Times in 37 Posts
Rep Power: 22
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif



icon1.gif
Re: UFISADI kwenye uteuzi wa NEHEMIA MCHECHU?
Kwa kuweka rekodi sawasawa lile la mwanzo ni hili hapa http://*************************/200...portunity.html na la pili ni hili http://*************************/200...r-general.html
​
The Following User Says Thank You to 911 For This Useful Post:





​
Hiyo post ilikuwa namba 285, kutoka kwa 911. haionekani tena humu, nilifikiri 911 kaifuta hamna alama kuwa amefanya hivyo.

Post yangu (inayoonekana) ya 281 imeweka reference kuwa post hii ya 911 ni ya 285! kuna post kati ya 5-9 zimeondolewa? I am jus curious to know what happened??
 
Rekebisha tu mkuu halafu uweke posti ya kushahihisha labda na kumwomba radhi hapo hapo,lakini si lazima ufungue thread mkuu Lol!

Si ni uamuze wake wa kuomba radhi kokote?watu kwa kuwapangia watu wengine bwana...anaweza asiombe radhi pia ama?
 
Sun Tzu,

Mbona umetuletea nyeti nzuri na umekuwa kama Ka-Nzi fulani? Nashukuru sana kwa kutuletea hizi sifa na kutufungua macho!

http://www.mutualdevelopers.com/index.asp

http://www.mutualdevelopers.com/profile.asp?sectionname=corporateprofile

Hivi wakili wa hii Mutual Developers ni nani vile tena?

Ohh by the way, kama Nehemia alitoa mkopo kwa Mutual Developers kujenga majumba, is he ready to compete against them huku akiwa GM wa NHC? Watagombea viwanja vya nani na ni nani atakamata lile fungu la affordable housing lilotoka WB/IMF/ADB ambalo liko BOT, Hazina na Wizara ya Ardhi?

This is now becoming interesting, very interesting!

Mkuu,

Wewe una macho ya mwewe!
 
Nyambala nasikia ni sawa na kusema malafyale kwa wanyaki watanisahihisha hapa.

Hii nchi ukiwaza sana unaona kumbe kuna raia wa kawaida wanabariki huu uchafu wa serikali. too bad!!
Marekebishe kidogo tu mkuu, Nyambala ni mtu mzima mwanaume na Malafyale ni chifu. Naamini tupo pamoja.
 
mazingaombwe ni sanaa ya kuwafanya watu waamini kile wanachokiona kuwa ni kweli japo akili zao zinawashawishi kuwa kilichofanyika ni kiinimacho. Watu hawawezi kuelezea kile wanachokiona zaidi ya kukubali kwa imani kuwa kipo lakini wanashindwa kuelezea kimekuwaje kwa haraka bila kufuata sheria zijulikanazo za kisayansi?

Na katika siasa vile vile mazingaombwe hufanywa kuaminisha wananchi kuwa kitu kimefanyika kwa kuangalia kile wanachoona kimefanyika. Wanapojaribu kutafuta maelezo ya jinsi gani kimefanyika wanagundua kuwa hakuna maelezo ya kawaida yanayotosha kufafanua kilichofanyika isipokuwa kukubali tu kilichofanyika ndiyo kimefanyika.. a.k.a kiinimacho.

Wananchi hubakia kutoa pongezi na kushangilia; si kwa sababu wanafurahia kilichofanyika tu bali hawana maelezo ya kuelezea kimefanyika vipi!! Na wale ambao watajaribu kufunua kiinimacho na mazingaombwe hayo hujikuta wanakabiliwa na upinzani kama wakufichua siri kubwa. Mazingaombwe ya mwiko; na mwiko mkubwa ni kamwe usifunue jinsi gani kitu kinafanyika.

Hivyo, tunakabiliwa na uamuzi; kuamua kukubali kile tunachokiona na kukifurahia au kujaribu kuvunja mwiko.
Na hapo ndipo penye tatizo. Nehemia as a person, ni mtu mwenye uwezo. Lakini kama anatumiwa kwa malengo mabaya na wana siasa then hata credibility yake kwenye kazi anayokwenda kufanya itakuwa ina mashaka. Bado ni kijana mdogo na sioni busara ni kwanini anakubalii kujiingiza kwenye mambo kama haya ambayo yana gharama kubwa kwake kwenye ulimwengu huu wa leo unaodai credibility.
Anajisikiaje yeye kama CEO wa CBA amekubali kupitisha hela za EPA kwenye bank yake? Kwanini tuamini hata kwenda kufanya madudu mengine ili kukidhi matakwa ya wana siasa?
Au ndio ameenda mahsusi kwa ajiri ya fedha za miradi ya nyumba kama anavyosema Rev. Kishoka?
Kwenye hili suala la credibility na integrity yake mimi sioni kama kuna namna ya kumsaidia wala kumfikiria maana kama akishazoea michezo michafu basi ndio hivyo tena. Kadri anavyokwenda juu ndio uchafu anaoutengeneza unavyokuwa mwingi.
 
WASIFU WA MKUU MPYA WA NHC

Nehemiah is an inspirational and transformational leader with high level of liveliness in business management. He was born and grew in Tanzanian where he emerged as the youngest CEO in East Africa region within 7 years, particularly in the highly regulated financial sector. He is a B.com (Finance) of the University of Dar es salaam. He started his career (1999) as a junior banker at Citibank and thereafter briefly joined Barclays Bank Tanzania before joining Standard Chartered Bank Tanzania Limited as a Head of Trading – responsible for Bank’s balance sheet management, (assets and liabilities)(2001 – 2002).

In 2002 – 2004 he took further responsibility as a Head of Global market, before his promotion to the alternate director position – Head of Global Markets and Co – Head of Wholesale Banking where he served from 2004 – 2006.

His legacy has always been remarkable and his hand has always turned stones into gold, while at Standard Chartered Bank – he grew the business and at a later stage the business become a major contributor of revenue to the bank from 45% to 87% in 2005, whilst the number of products increased from 3 to 12.

In June 2006, he joined United Bank of Africa Tanzania which he managed to turn around from a loss making to profit making bank in less than a year.

Despite the aforementioned inspirational changes, Nehemiah has been a catalyst in various Financial and Economic reform activities; this includes working in various involvements in different capacities, as President of ACI- Financial Market Association – Tanzania Chapter and Chairperson of the Tanzania Financial Market Leadership Forum. He spent time to introduce global financial products while at Standard Chartered Bank this involved both BOT and Tanzania Bankers Association. Nehemiah, worked as a team Manager of the first successful Subordinated debt issue from a Commercial Banks in Tanzania and first one to be listed in the Dar Es Salaam Stock Exchange. This is the longest maturity corporate bond in East Africa to date.

He is currently the chairperson of the University Of Dar Es Salaam Faculty Of Commerce Alumnae (UDS-FCM Alumnae), A Board Chairman of the Rightways Schools, a board member of National Investment Company Limited (NICOL) and he is also a member of several country task forces.

copied from: http://www.africarecruit.com/Tanzania_Event/speakers_profile.php

I am curious about couple of things that are stated as Nehemia's accomplishments.

1. In period less than 8 years after he graduated, he perfomance is extra ordinary and not typical for any body to accomplish in such short period of time.

I may overlook his employment record bearing the fact tha he worked for 4 financial firms in less than 7 years.

However my true concerns and something alarming is the year 2005 wher it is stated he was the force behind the massive profit gains by Standard Chartered bank. An increase of almost 100% in profit (an increase from 45% to 87% in income) and 400% increase on products offered and succesfully turm around to yield such out standing profit margin, makes me wonder where was our Government and head hunters to hand Nehemia a corporation such as Tanesco, ATCL, TRC or even now NHC to have a leader who is driven in positive results?

On the other hand why did Standard Chartered allow Nehemia to leave and join another bank after generating such high numbers in income and products?
 
Marekebishe kidogo tu mkuu, Nyambala ni mtu mzima mwanaume na Malafyale ni chifu. Naamini tupo pamoja.

aha ha aha ha!!! asante mkuu iwe siri yako wakwe zangu wakijua watanirudishia ng'ombe bure.
 
Unajua, mara nyingine Wakili wa Utetezi hutoa hoja ambazo ni tata na hata hufikia hatua ya kuwapa waendesha mashitaka kaupenyo ka kuitazama kesi upya na kuangalia kila kitu.

Wale wote waliokuja kumtetea Nehemia, hata kwa nia nzuri, wameteleza katika tope la hisia zao binafsi(emotions) ambazo zimewafanya watoe kauli nyingine za ziada ambazo zinaongeza UTATA wa mchakato mzima na jinsi ulivyokuwa.

Ndugu TV, anadai kuwa kwenye mchakato wa kwanza wa E & Y, Nehemia hakuwa kwenye vinara (the way I understood TV's argument) lakini walipopewa kampuni ya Wazawa, basi mafanikio yake yakaonekana na ndio maana kapewa hiyo kazi.

Nilichojifunza kwa kuishi ughaibuni na UKIHIYO na UKILAZA wangu ni kuwa CV ya Nehemia pamoja na kuonyesha kuwa alipata kazi nono, lakini inaonyesha hana stability na ni mtu kiguru na njia hivyo ni high risk ya kuwa flight risk, akipata kazi pengine penye njuluku nono na madaraka zaidi, yupo tayari kubwaga manyanga na kutimka. I will strongly assume this is the conclusion that E & Y came with on Nehemia if it true that he applied of the job and per Ndugu TV, the E &Y screening did not rank Nehemia high enough.

Sasa kwa kumsoma Ndugu TV na Ndugu Sun Tzu, tunabaini mengine mengi kuhusiana na process nzima ambacho ndio kitu kikuu kinachozungumziwa hapa na si Nehemia as a person.

Ndio kuna allegetions za CBA na EPA na hilo tusilifumbie macho kwa maana Uhujumu wa EPA haukuisaha mpaka karibu mid 2007!

Then kumtetea sana kuwa yeye ni bora, sijui mchapa kazi na mwngine mengi ni kufungua Sanduku lililoja nyoka koboko 20!

Binafsi, kilichonivutia kumwangalia Nehemia kama mtu binafsi ni hiyo CV yake hasa miaka yake 8 ya kwanza na asilimia ya mafanikio inayodaiwa aliyaleta!
 
WoS, heshima mbele,

I beg to respectifully disagree. Head hunting inafanyika katika juhudi za ku-widen pool ya applicants. Huwezi amua kumchukua Masanja from Nowhere, bila kumshindanisha na wengine ukasema kwamba hiyo ni head hunting. What happened to merit? Unless hiyo inafanyika hapa TZ tuu. Assume you go by what you say "head hunting". This will set a VERY dangerous precedent, maana you no longer subscribe to merit na utakuwa huna haja ya kuinvite applications. Yes applicants wanaweza wasiwe na vigezo, its precisely because of that....you will ask specific people to submit their applications for consideration. Otherwise, you kill the whole thing of merit na credibility ya eventual winner.

Kama NEHEMIA aliomba hi kazi, akashindanishwa na wengine, akaibuka mshindi. I will buy your argument ya head hunting. Maana siku hizi hata mashirika makubwa iwe UN, WB au kwingineko, head hunting inafanyika, lakini inaishia "kukuomba" uwasilishe maombi yako kama wengine. Hii inasaidia kuwa na strong pool ya applicants. Lakini hii kwamba mtu atoke from nowhere, umkabidhi kitengo...harafu useme ni head hunting, we miss a point.

In all, naamini kama mkuu Waberoya alivyoshusha maswali legit hapo juu, as we move forward ukweli utafahamika. Trust my word. Na kama kweli itakuwa hivyo, hata credibility ya Nehemia itashuka maana hata wenzake waliokuwa wanamuona kijana hardworking..well..watamuona sasa kama ni mtu wa kubebwa which is a bad fit kwa kijana mwenzetu.

In anything you do especially when it involves public resources/interest, you ignore procedures at your own peril. Because, at some point, it will come to HAUNT YOU.

Masanja
Sikubaliani na Head hunting hata kidogo. Sheria za Utumishi wa Umma haziruhusu kupewa nafasi ya Uongozi katika ngazi za juu bila ya "Interview" na kutangaza nafasi hiyo openly.

Lakini tusishangae, tangu wanamtandao waingie madarakani, Wamekuwa wakigawana vyeo bila kufuata taratibu za Utumishi wa Umma.

Mfano Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), aliyepewa cheo cha CE hakuwa na taaluma iliyohitajika kwa mujibu wa Tangazo lililotolewa ili kuomba kazi hiyo.

Nchi hii kuna siku Wanyonge wataamua kutafuta Haki yao kwa Nguvu.
 
hapana sikumuona kuwa ni mkombozi.. nilimuona kama mtu ambaye angeweza kutumia popularity yake kuliiamsha taifa. NI kama watu waliomuona Obama hapa.. ndio maana baada ya kujifunza ya JK sikumuamini kabisa Obama na ajenda yake ya 'change'.. nimejifunza kutoka historia.

Voongozi wengi wanaiongia kwa mbwembwe za kura za sunami wanawalakini, anagalia hata Jacob Zuma hapo SA!!
 
Uteuzi wa Nehemia kulisimamia shirika la umma kama NHC natumai ni hatua nzuri kwa upande wa serikali katika kuwa na kiu ya mabadiliko katika utendaji wa mashirika yake.

Nilifarijika kusikia uteuzi huo tukitilia maanani kuwa Nehemia anatokea sekta binafsi ambako amepata mafanikio makubwa kwa kipindi kifupi. Tumpe nafasi tuone juhudi zake katika kulibadili shirika hilo kutoka utendaji wa mazoea na kuwa la kisasa lenye kujali maendeleo ya watu zaidi katika kuwa na makazi bora.

Kuna mambo ambayo kwa kuanziaa atalifanya shirika hilosasa lionekane zaidi kiutendaji na kuvutia wawekezaji ambao ni watu na taasisi mbali mbali kama mabenki na mashirika wahisani ya kitaifa na kimataifa. Kwa mfano toka uteuzi wake amefanya kujulikana zaidi kwa shirika hilo (positive image towards change) na hii itasaidiaa sana masuala ya kukopesheka na parterships katika utendaji wake.

Natoa rai kwa serikali iendeelee kuwapatia vijana wazawa aina ya Nehemia nafasi katika utendaji wa mashirika ya umma ili yaweze kujiendeshaa na kutoa ajira zaidi na faida katika maendeleo ya taifa letu. ATCL, TRL, TANESCO, TPA, yanaweza kuwa kianzioo kwa kuweka mgt za kisasa zenye vijana wenye ari ya kufanya kazi na kupata mafanikiooo..Vijana wana kiu ya mafanikio muhimu WAPEWE NAFASI.
 
And what exactly is the big deal with being the CEO of NHC? How much does he make? I bet I make more money than he does
Mkuu nafikiri tunaongelea kuendeleza taifa na siyo mtu mmoja. kumbuka watanzania maskini ambao hawana bahati uliyonayo wanaomtegemea (leaders) ku-deliver some thing kwa maendeleo yao.Hizi ni nafasi zao na mali zao ingekuwa ni busara kuwapa equal opportunity ya kuongoza.
 
Wakati mwingine head hunting hufanyika pia... for a good reason na siyo lazima ufisadi...

I have participated in recruitment processes... wakati mwingine kazi inatangazwa.. wanaoomba unakuta ni watu wa viwango vya chini mno... hata ukiwashindanisha wenyewe kwa wenyewe utaishia kupata mtu asiye stahili.In such circumstance u may be forced to resort to head hunting.

Nehemia as I know him is a material for the position.... tunaweza kulaumu na kusema mengi lakini anabakia THE CEO FOR NHC for the time being..tukubali na tumpe nafasi jamani. It could have been you or me..ila haikuwa.

duh! The fact remains....he did not apply for the job! Why shld he be given the job?Kama umeweka sheria ya jinsi ya kufanya vitu...IFUATWE! It's that simple!!
 
Well GT you had the right informantion, as I have confirmed from the most realiable source, na hii inaendana na informnation za GT espcially item 1&2.

  1. Ni kweli jamaa hakuomba kazi wala kufanya interview!
  2. Previous DG alimaliza kazi yake toka mwaka jana mwezi February 2009 and since then the Government was looking mtu atayeweza kubadili shirika hilo from a non perfoming to a perfoming Corporation with the view of providing more house kwa watanzania kama Tangazo la appointment lilivyotoka.
  3. Kwa hiyo katika search za muda mrefu sana Nehemia alionekana the right candidate to transform kampuni na ukizingatia kuwa JK ameamua kudeal na vijana watakaoweza kuleta mageuzi kwenye uongozi wa taasisi za serikali na historia ya jamaa ya utendaji kazi inajieleza wazi!!!
  4. Na kwa taarifa kuna orodha ndefu ya vijana watendaji wazuri watakao ingizwa serikali kuchukua nafasi kubwa kutoka private sector ndani ya mwaka huu na hii ya jamaa ni mwanzo tu. Nafikiri ni mwanzo mzuri wa serikali kubadili nchi na tuige Singapore, Malaysia na Dubai, hizi ni nchi zilizopiga hatua kubwa na mtu anakuwa handpicked for the good perfomance and the good vision kwenye taasisi fulani ya Umma.
  5. NAFIKIRI NI VIZURI TUKATUMIA THREADS HII KUELEZA MTIZAMO WETU WA NHC GANI TUNGEPENDA JAMAA HUYU AIJENGE, NA HII NDIYO MIJADALA YENYE TIJA!!!!
  6. NAOMBA SERIKALI IENDELEZE LIBENEKE LA KUTUPATIA WACHAPAKAZI, TUNAHITAJI MAENDELEO NA WATU WATAKAOSAIDIA MAENDELEO NA SIYO SIASA. JK ONGEZA KAZI KWENYE HAYA MABADILIKO UNAYOLETA AMBAYO TULIYAHITAJI SANA!
 
Back
Top Bottom