Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Kikwete mwenyewe kuna tuliomsifia wakati anaanza na tukageuka mbele ya safari kwa alivyogeuka kuwa siye tuliyemdhania..

Ahahahahahahaaaa......kumbe na wewe pamoja na uzee wako wote huo, pamoja na busara zako zote hizo...uliingia mkenge na kumwona Kikwete ndio mkombozi? Na wewe ulichenguka na lile tabasamu nini?
 
Maswali yako yanaweza kuwa genuine lakini kwa majibu ya Chiligati kwa mwandishi wa raia mwema kila kitu kinajionyesha kuwa huu uteuzi haukufuata taratibu bali business as usual. Haya mambo ya kila kitu lazima mtu aende mahakamani ni mwendelezo wa uhuni huo huo. Majaji wanaoteuliwa bila vetting unategemea wawe impartial kweli? Pia utaenda mahakamani kwani wapi imeandikwa kuwa ile kazi ilikuwa haki yako? Tunaoona kuwa kuna zengwe tuna haki kuliko hao walionyimwa kwani NHC inaendeshwa kwa kodi zetu.
Kama UN hawajatoa hizo pesa nadhani wapenyezewe ujumbe kuwa hizo pesa "they are about to throw it to the dogs."

Mkuu Monsignor,

Naamini kuna watu walio karibu na wazito wa UN humu, wasaidie kufikisha huo ujumbe lakini kabla ya kufanya hivyo, ni vizuri tukajiridhisha without doubt kwamba huyu jamaa amewekwa kwenye hiyo nafasi ili kuwa daraja la kucheza mchezo mchafu kama alivyofanya CBA.

Tiba
 
Watu wanasema wanashangaa imekuwaje mtu asiwe jana na leo atuhumiwe au kuchambulia upande mwingine. Binafsi ningeshangaa sana kama ingebakia yote yale ya jana.. maana hii ni JF.. hakuna jina la public servant katika Tanzania litaletwa na kubakia "halleluya" tupu. Shilingi ina pande mbili.. ukiona shilingi ina upande mmoja tu basi umeingizwa mjini wewe!!

Yesu mwenyewe alisifiwa na kutukuzwa lakini wakaja wengine wakampaka vile vile na kumuita 'kichaa'.. na hadi leo si wote wanakubaliana juu yake. Hata Muhammad ilikuwa ni hivyo hivyo wapo watu walimpinga wakati wake na wapo ambao walibakia kuwa maswahiba wake hadi mwisho, na hata leo si wote wanakubaliana juu yake.

It is the nature of the human condition. Natumaini Nehemia hatoumizwa na pande hizi mbili zinazomchambua au kujisikia hatendewi haki. Kikwete mwenyewe kuna tuliomsifia wakati anaanza na tukageuka mbele ya safari kwa alivyogeuka kuwa siye tuliyemdhania..

huo ndo ujuha wenyewe
 
Ahahahahahahaaaa......kumbe na wewe pamoja na uzee wako wote huo, pamoja na busara zako zote hizo...uliingia mkenge na kumwona Kikwete ndio mkombozi? Na wewe ulichenguka na lile tabasamu nini?

hapana sikumuona kuwa ni mkombozi.. nilimuona kama mtu ambaye angeweza kutumia popularity yake kuliiamsha taifa. NI kama watu waliomuona Obama hapa.. ndio maana baada ya kujifunza ya JK sikumuamini kabisa Obama na ajenda yake ya 'change'.. nimejifunza kutoka historia.
 
Oh nooo...I'm talkin' bout the net pay....not gross pay. Get what I'm sayin?

Nominal money - the amount of money you earn regardless of what the power it has on purchasing. If you earn what you are earning while living in Tanzania where the cost of living is LOW, I can agree. But if earning what you are earning where the cost and standard of living is HIGH probably your "Real income" will be less than his. kwani wewe una-dili zozote za kifisadi huko? kama hawa wa huku?
 
Right on!

Kinacholalamikiwa hapa ni process zilizotumika na hidden ajenda za Chiligati. kuwa jamaa ni msafi au mchafu we dont have proof, labda Mwikimba aliyegusia uhusiano wa Nehemia na CBA ajitokeze na kuleta proof.

ndio maana niliuliza kama kuna ushahidi wowote kuwa fedha za EPA zilipitia CBA.. kwa sababu kama ni kweli.. inanikumbusha uteuzi wa Peter Noni kwenda TIB..
 
Dada WoS, hatubishani hapa, tunaeleweshana. your earlier post na kuna watu walisem hata jana walikuwa wanaupa sifa utaratibu wa head hunting. Na my discussion na ww imeanzia hapo.

Nitajaribu kujibu sehemu nilizo bold

1. Hapa mimi binafsi speculate! niliposoma kwa mara ya kwanza kuwa Chiligati aliukataa ushauri wa E&Y nikashtuka, zilipokuja kuongezeka issue za EPA n.k zikanifanya niwe interested. issue ya EPA for me is speculation, nadhani Mwikimba angejitokeza akatoa ufafanuzi.

Hoja yangu ni kuwa democratic processes hazikufuatwa katika issue hii nzima, thats all from me. Sina elimu sihitaji sarakasi ila najua ila najua demoractic process should be;Transparency to the public, well structures decison-making criterias, fairness, equality (equal chance) and competence from applicant. Sarakasi zingine na maneno mengine hayafuti hizi facts.

Experince yako unayoisema ipo, na kwenye democratic process people are also encouraged to apply wala hatusemi kwa sababu watanzania wana tabia ya kuto apply basi tufanye hivi, by your very theory viongozi wanachukua madini yetu wakijua hatulalamiki, hatuwezi kufanya lolote lile, si wameishaamua bwana? yaani ni kama unasema mtoto akililia wembe mpe!

Kweli kumchambua Nehemia hakubatilishi uteuzi wake, nadhani JF has no teeth to bite, has no power over various issues , but me and you together we can change system, let them know that we know, let them hear our music, let them know we are awake. Tukikaa kimya kwa sababu wameshaamua, then our mission here in JF is futile.





Macho Mdiliko, I am totaly against those kind of conclusion kama unayomwambia Women of Substance kuwa kwa sababu anamtetea Nehemia basi ndugu yake , sorry I may differ on this, but not because I support WOS either.

Tulipoanza hii maada WoS alizungumzia issue ya Head hunting, this is state -of- art method ya ku-employ watu ambao unajua watakuwa injini katika shirika( wanaifanya sana kwenye private sector mafno ni tigo na zaid walivyoiba sana staff vodacom). I dont support this process in public sectors because it is not democratic. When I say democratic refer above explanations. Nilichoona aidha WoS ni HR manager au she is used to this process and because of that she think we can easily employ this technic to the public sector. Huu ndio majibishano haya yanaendelea. I think we better use hoja zaidi kuliko attack, waachie haya akina fulani.

Lastly dada WoS ebu lamba hizi quotes za democracy


“ The major contemporary justifications of democracy are that it serves numerous contrasting interests by bringing them into debate and decision procedures; that democratic participation enhances autonomy; that, in so doing, democracy is the best form of government for political equity; and that it is the natural form for consent through deliberation. Democracy is considered to serve welfare, autonomy, equity and agreement and it tends to diffuse power; as a consequence, the corruption of a highly concentrated power elite is inhibited” (Korac-Kakabadse & Korac-Kakabadse in Garson, 1999)

to hold other individuals, and those in these organizations who are responsible for making decisions and taking actions, fully accountable if their decisions or actions violate fundamental human rights, or are dishonest, unethical, unfair, secretive, inefficient, unrepresentative, unresponsive or irresponsible; so that all organizations in the society are citizen-owned, citizen-controlled, and citizen-driven, and all individuals and organizations are held accountable for wrongdoing-(reference sikumbuki)




Haihitaji elimu ya chuo kikuu kujua hii process haikufuata mlolongo unaotakiwa, unless proven otherwise, haihitaji elimu ya secondary kujua kuwa Chiligati ame-ficha jambo, haihitaji elimu ya msingi kujua kuwa process zilikuwa za siri.

if democratic processes in our country is like this, then let is be known that our democratic process have slight different from others
Kula 5x5!
Nimependa sana uchambuzi wako.... very objective and this is the route we should take when discussing serious issues with public interest at heart and not personal hatred or kijicho/roho za kwanini ( some are exhibiting this and hence it explains why some contributors are bringing innuendoes to the forum.)
I particulalrly liked the aspect on democracy - ( i could discuss more on this subject as it its close to my heart but would be polluting the thread if i indulge into it....tutaongelea kwenye jukwaa husika next time panapo majaaliwa.)
 
Nominal money - the amount of money you earn regardless of what the power it has on purchasing. If you earn what you are earning while living in Tanzania where the cost of living is LOW, I can agree. But if earning what you are earning where the cost and standard of living is HIGH probably your "Real income" will be less than his. kwani wewe una-dili zozote za kifisadi huko? kama hawa wa huku?

Who said the cost of living is high where I reside?
 
Embu tupeni huo uGodfather wa Luhanjo kwa Nehemia,kwani wana mahusiano gani hadi hapa mwana JF kasema Luhanjo kambeba Nehemia,mwenye data atumwagie

Kama nimeelewa vizuri yaliyochangiwa hapa, Luhanjo hakumbeba Nehemia kwa kuwa ni ndugu au mtoto wa ndugu yake bali alimbeba ili kulinda maslahi ya "CHAMA"

Tiba
 
And what exactly is the big deal with being the CEO of NHC? How much does he make? I bet I make more money than he does

If you are making more money than him so what is wheel? We shouldn't be discussing this because we all make money than him. I bet in JF some people are making money even more than ministers, directors …name it. Whether we are making money more or less than them, what drive us here to discuss this is for the betterment of our country not otherwise. Kindly, you need to think again before you post, there are so many threads in this house.
 
Mkuu Monsignor,

Naamini kuna watu walio karibu na wazito wa UN humu, wasaidie kufikisha huo ujumbe lakini kabla ya kufanya hivyo, ni vizuri tukajiridhisha without doubt kwamba huyu jamaa amewekwa kwenye hiyo nafasi ili kuwa daraja la kucheza mchezo mchafu kama alivyofanya ACB.

Tiba

Unfortunately UN have no teeth to bite katika situations kama hizi...kumbuka Tz is a contributor to the UN... UN hata siku moja hawaweki conditionalities na siku zote wao ni trusted partners wa serikali popote walipo! It explains why kwa mfano chaguzi zote husimamiwa na UN maana ni wao tu huaminiwa na serikali.Bilaterals wote kwa mfano hata TZ hupitishia pesa zao za support for elections huko maana serikali inajua kuwa UN haitawachagulia wala kuwawekea vikwazo.
Kukiwa na fundamental issue UN can play mediatimg role tu....na sioni ni vipi issue ya uteuzi wa Mchechu ita escalate to that level.
 
hapana sikumuona kuwa ni mkombozi.. nilimuona kama mtu ambaye angeweza kutumia popularity yake kuliiamsha taifa. NI kama watu waliomuona Obama hapa.. ndio maana baada ya kujifunza ya JK sikumuamini kabisa Obama na ajenda yake ya 'change'.. nimejifunza kutoka historia.

Kwani unafikiri ni nini congruence kati ya Obama na JK?
 
ndio maana niliuliza kama kuna ushahidi wowote kuwa fedha za EPA zilipitia CBA.. kwa sababu kama ni kweli.. inanikumbusha uteuzi wa Peter Noni kwenda TIB..

Umegusia kwenyewe!! Nadhani wakulu washatuona wajinga kupita kiasi...kule naona watu walipotezea kabisaaaaaa bila maswali!!
 
you must be kidding..
Assuming kuwa ni ndugu yangu... ingenisaidia nini? I am an independent hard working woman..i depend on nobody for ANYTHING...
We shouldnt take things personal here... you have ur own opinion AND SO DO I...TUHESHIMIANE TU...

Haahaaa Macho_Mdudinko umechemka ulifikiri dada yetu ni wale

AKIWEZESHWA ANAWEZA!
 
Wakati mwingine head hunting hufanyika pia... for a good reason na siyo lazima ufisadi...

I have participated in recruitment processes... wakati mwingine kazi inatangazwa.. wanaoomba unakuta ni watu wa viwango vya chini mno... hata ukiwashindanisha wenyewe kwa wenyewe utaishia kupata mtu asiye stahili.In such circumstance u may be forced to resort to head hunting.

Nehemia as I know him is a material for the position.... tunaweza kulaumu na kusema mengi lakini anabakia THE CEO FOR NHC for the time being..tukubali na tumpe nafasi jamani. It could have been you or me..ila haikuwa.
Amani kwako mama, pia nazingatia kwamba wanawake wakiwezeshwa wanaweza, congrats.
Ila hapo nilipo quote kwa kijani, inapaswa kama mambo yanafanywa kwa nia njema na hatima tabirifu ya taifa letu kwanini mechi isirudiwe? Mbona sehemu nyingine huwa kuna re advatised why not NHC? Au nayo ni funika kombe mwanaharamu (uchaguzi) apite?
 
Amani kwako mama, pia nazingatia kwamba wanawake wakiwezeshwa wanaweza, congrats.
Ila hapo nilipo quote kwa kijani, inapaswa kama mambo yanafanywa kwa nia njema na hatima tabirifu ya taifa letu kwanini mechi isirudiwe? Mbona sehemu nyingine huwa kuna re advatised why not NHC? Au nayo ni funika kombe mwanaharamu (uchaguzi) apite?
Amani ikurudie na wewe pia MKUU..
kwenye kijani ulipoquote my post... nilikuwa na share uzoefu wangu ..ila haihusiani na hili la Mchechu - naomba niweke wazi ndugu yangu maana si ajabu akaja mtu akatafsiri kuwa vinahusiana lol!
Nadhani wahusika wamekusikia na watafanya the needful.Asante.
 
Hizi mada ni nzuri maana zinaonyesha wazi kuwa watu wanaona na wanajua nini kinafanyika. Huyu bwana uwezo wa kufanya kazi anao. Kama integrity yake ni ya mashaka mashaka especially katika kutumiwa na wanasiasa kutekeleza azma zao hapo litakuwa ni tatizo lake binafsi na ni yeye wa kujilaumu. Mimi bado namshauri aachane na wana siasa. Watampeleka chini hata kabla ya kufika juu kama anataka kuwa salama. Tanzania hii tunayoiangalia ni imeanza kubadilika na taratibu tunaona hakuna jiwe linaloachwa bila kugeuzwa geuzwa. Watamdanganya lakini yakitokea matatizo yatakuwa ni ya kwake. Bado ni kijana mdogo anayeweza kufundwa.
 
huo ndo ujuha wenyewe

Umeniangusha mtu wangu, whatever we do here lengo letu ni change! whether in JF au serikalini , kwenye vyama n.k

Life is always at some turning point. To exist is to change, to change is to grow, to grow is to go on creating oneself endlessly.

waliosema jana na leo wamebadilika ni kwa sababu ya knowledge kuongezeka, na bado kinachoongelewa hapa kiko subject to change!!knowledge always influence decisions. Our mission is that one day government will change, people will change me and you we will lways be changing.

I believe in quotes lamba hii

He that never changes his opinions, never corrects his mistakes, and will never be wiser on the morrow than he is today. ~Tryon Edwards~

Any change, even a change for the better, is always accompanied by drawbacks and discomforts.
~Arnold Bennett~
 
Haya wajameni...imetosha sasa. Furahieni weekend.....

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=dqGv3BWLqqs"]YouTube- American Idol - Pants On The Ground[/ame]
 
Back
Top Bottom