Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Na haya ndo yanatufanya tuone kwamba hatuna rais. NI kama mwakilishi wa Kikwete yuko Ikulu.

Hivi kwanini mpaka leo hii Nehemia hajawahi fikishwa mahakani kwa ufisadi wote alioufanya??? Kwa tuhuma zotee hiziii mbona mwendazake alimuacha aendelee na mishe zake???

Maana wengine kina Madabida ndo kwanza DPP anafuta kesi zao
 
Kwa mazingira ya TZ, huwezi kumfikisha mahakamani kwa kuendesha miradi na rais mstaafu. Au kwa kuteuliwa kwenye nafasi kwa ukabila. Kama unasoma thrd za nyuma, huo ni uteuzi wa Luhanjo aliyekuwa Ikulu.
 
Back
Top Bottom