Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Mzee Mwanakijiji,

Naomba umtafute Nehemia umuulize atawezaje kushindanana na hawa wafuatao

1. Chichi Enterprise
2. Proin Ltd http://prointz.com/
3. Mutual Developers http://www.mutualdevelopers.com/index.asp
4. Enterorise Homes Tanzania http://www.enterprisehomestanzania.com/index.html
5. Mybeach http://www.my-beach.com/
6. JR Real estate http://www.jrrealestatedealers.com/index.php
7. Skymark Realties http://www.skymark.co.tz/index.php
na utitiri mwingine wa Real state Tanzania ambao ukiangalia bei hapa http://estates.tzadverts.com/ utabaini kuwa Tanzania haipaswi kuwa nchi masikini?
 
Na wewe unaandika hapa kwa sababu unatuonea wivu tunaomwonea wivu Nehemia? au kuandika kwako hapa kutabadilisha misimamo ya sie baadhi? you are not serious?

Nyani Ngabu alisema jana yeye analipwa fedha nyingi zaidi ya huyo bosi, his statement still stand today, hata wengine hatuna shida na yeye wala mashahara wake wala lolote! we have money hata kizazi cha tatu na cha nne watazila tu! kwako kama kukosoa kitu ndio kijiba cha roho pole sana. unafanya nini humu? are you yes-yes or no-no! unamalizia kusema asipo deliver ndiyo alalamikiwe!! you are not in your senses let me assume this for now, labda ukija tena na senses na kuona ulichoandika mwanzoni ni makosa.

woote wanamkosoa JK, Gavana, akina EL, RA wana vijiba vya roho? why dont you declare that JF is closed?

Mkuu Waberoya katika hiyo list ongeza Hoseah, Mkapa, Manji, Jeetu, Mramba. Wote tunaowakosoa hawa tuna wivu wa kike. Sijui wivu wa kike una tofauti gani na wivu wa kiume. Mkapa labda kuna siku atatufahamisha tofauti iliyopo kati ya wivu wa kike na wa kiume.
 
Duuh, Kazi ipo Tanzania ya kizazi hiki. Aliyelala usimwamshe maana ukimwamsha utalala mwenyewe.
 
Kang,

Mamlaka ya uteuzi ina uhuru wa kupokea na kufuata ushauri unaotolewa Head Hunters, lakini hailazimishwi kisheria kufuata na kutekeleza kila inaloambiwa na "Recruiting Agencies" Descrition ya kufanya hivyo ipo chini ya mamlaka hiyo na kawaida inawajibika hata kumfukuza kazi mtu aliyependekezwa na Head Hunters pale anapoboronga, hautegemei Mamlaka hiyo kuja kuomba Head Hunters imfukuze kazi mtu iliye mpendekeza, wakikuletea candidates ambao unadhani na unaamini kuwa hawatakufaa, unatumia descrition na kuteua mwenyewe. Hi ndivyo inavyofanyika. Je umekwenda Kigamboni kwa kupitia Google Earth uone kazi zilizofanywa na akina Nehemia? kwa Marekani Gated Compounds kama hizo zipo kwenye Middle Class neighbourhood na matajiri. Kwasasa hata Bongo zimeanza kuingia. Tunahitaji mawazo mapya na damu mpya. Kwa hayo Nehemia na watu wa kada yake ni uteuzi sahihi kwa kazi na majukumu mapya aliyopewa.
Kila mamlaka ya mipaka yake pamoja na uhuru ambao wewe wapenda uwepo, yameshasemwa mengi sana hapa kuhusu hili lakini jambo la msingi sana ambalo wewe wapaswa kukumbuka ni kwamba huwezi kuendesha taasisi ya umma kama duka la mhindi, ni lazima public interest zizingatiwe. Kwa mawazo yako hayo uchifu ndani ya nchi utarudi hivi punde, je wahitaji hilo?

Game Theory
Nimethibitisha kutoka kwenye source ya uwakika,Nehemia aliingizwa kwenye mchakato baada ya deadline kuwa imemalizika. Kwa kifupi huyu jamaa ameteuliwa kama Rais anapoteuwa wakuu wa wilaya au Mkoa.Pamoja na Chiligati kuonywa na media kuhusu kuvugwa kwa mchakato bado alendelea kumkumbatia kijana wake-mwishowe amempa u-CEO kama walivyotaka.Siamini kama Chiligati ana kibuli kiasi icho bila ya kua na baraka kutoka Ikulu.Inawezekana ni kweli ni mchapakazi mzuri, lakini utaratibu haukufuatwa. Hapo ndipo kwenye shida.

Ahsante sana mkuu, hapa pia ni pa kujiuliza hata kama ametumwa (Chiligati) naye ni muadilifu kiasi gani ili kila chaguo lake liwe chaguo la taifa kwa kigezo cha uadilifu wake. Swali ni je ni msafi? Kama yeye binafsi sio msafi hawezi kutuchagulia mtu msafi hata siku moja! Uliona wapi fagio la zizi la ng'ombe likatumika kusafisha zulia la seating room. Tuna haki ya kupata majibu, na kifupi sana kijana wameshamchafua tayari kama alikuwa bado hajachafuka huko alikotoka.
 
Waberoya,

NHC si shirika la umma tena, si kwa masilahi ya umma wala Taifa, ni kwa masilahi ya Wateule wachache!

Imagine kuwa wewe ni mjumbe wa NEC unakwenda NHC kuomba nyumba, halafu Masanilo Mkulima naye anakuja kuomba kununua nyumba.

NHC kwa kutumia fedha za wananchi imejenga nyumba hii kwa kutumia Dola Elfu kumi ($10,000.00), wanakuuzia nyumba wewe Wabeyora kwa kuwa unafahamika na ni mkubwa kwa Dola elfu kumi na tano ($15,000.00), tena mbaya zaidi kwa kuwa una mamlaka na uzito wa kisisasa na kichama, wanakuuzia hata nyumba tano, kutegemea na mfuko wako na uzito wako.

Masanilo anaambiwa "hatuna nyumba tena, lakini kamwone Waberoya anauza nyumba tuliyomuuzia". Masanilo anakwenda kwa Waberoya anamwambia naipenda nyumba hii naomba kuinunua, Wabeyora anatoa bei, anadai nyumba ile ni Dola laki moja ($100,000.00) na tayari zile nyumba nyingine tano kaziweka kwa bei hiyohiyo na zile nyumba nyingine jirani zimenunuliwa na kina Nyani, Rev. Kiranga na GT nao ni wajumbe wa NEC, sijui Wabunge au ni ndugu wa Rais na Waziri fulani. Kila mmoja wao ana nyumba si chini ya tano ambazo wamezinunua kwa hiyo dola $10,000.00 na wanaziuza kwa dola $100,000.00.

Sasa ni lini NHC iwe shirika la kumjengea nyumba Muuguzi au Njagu?

Mfano wa pili, sakata la kujenga hizi nyumba bora na nafuu, Serikali inadai Manzese na Tandika watu wamejijengea holela, wanavunjiwa nyumba na kupewa fidia kiduchu. Serikali inaipa NHC 60% ya ardhi ya bomoa bomoa ijenge na sehemu iliyobakia wanapewa kina Sailesh Vithlani.

NHC wanajenga nyumba kwa dola $10,000.00 ambazo ni kodi ya mwananchi, na kumuuzia Mama Chiligati kwa dola $ !5,000.00 na yeye Mama Chiligati anaiuza ka Ubalozi wa Kuwait kwa dola $150,000.00!

Ni shirika la nyumba la Taifa hilo ambalo tumeridhia Wizara Mama na Rais waliongoze.

Kama mazao yao yatawanufaisha wengine, kwa nini Watanzania wasinufaike kama umma na wanufaike watu mmoja mmoja?

Ume-describe vizuri kaka ila inauma!, halafu mafedha ya project wanatukata kwenye mishahara au kupata World bank, uko kwa donors wanaandika proposala wanataka kuwajengea nyumba wasio na uwezo, zikifika nchini wanwajengea matajiri na vizazi vyao!

naah...najua huwaga wanatupiga fiksi tu.....sana sana huwaga nashangaa jinsi ambavyo watu hufurahia hayo mazingaombwe huku wakijua kuwa ni mazingaombwe!! Do you see any similarities here?

Tena mazingaombwe yanafurahisha zaidi kama wanakuja wanamazingaombwe tofauti tofauti na kwa style tofauti tofauti, kama performer aliyepita alibadilisha karatasi kuwa leso, mwingine akibadilisha karatsi kuwa chupi anaweza akasifiwa zaidi! LOL!

............................

Umepotea mkuu!
 
Kuna msemo wa kiswahili na unakwenda hivi

Mti wenye matunda mema ndio unaongoza kwa kupondwa mawe. Na mti usio na matunda mema unapondwa mawe mara chache ama usipondwe kabisa? Je huu msemo ni appilcable ktk nchi yetu?

wait, one moment
Napenda kuuliza hivi.
Kwanini mti unapomea humea taratibu wala huwezi sikia mshindo, lakini mti huohuo unapoanguka huanguka kwa mshindo mkuu?
 
Jamani lazima tupate data muhimu na kuona kama ni kweli ila sheria kama wamevunja hap hakuna mjadala kabisa

Mzee Mwanakijiji kauliza maswali mazuri lakini mpaka sasa hakuna majibu.
Mleta hoja anamwambia mwanakijiji ampigie simu Nehemia hapo hapo anakataa kutoa namba yake ya simu
 
To the best of my knowledge, mpaka hapa hakuna ambaye ame-question credibility, credentials au uwezo wa muungwana Nehemia kuwa CEO wa NHC! Not to my knowledge mpaka hapa nilipo. Ndo maana wengi jana walimsifia kwenye ile thread ya mwanzo maana wengi walimsifia kwa uwezo wake binafsi na wanavyomfahamu.

Wengi hapa, including na mleta mada GT I suppose, wanalalamikia PROCEDURES zilizotumika kumpata mkurugenzi wa NHC. Why are people complaining? precisely because NHC ni shirika la umma. Si shirika la Muhindi au tajiri mwingine yeyote. Ni shirika la umma ambalo..Mwanakijiji, Waberoya, Masanja, Masanilo, Shida, Sikuzani, Tumsifu, Asifiwe, Maisha, Wema na wengineo..tuna haki sawa (atleast theoretically). So we expect that we will be given hata nominal decency ya uwazi kwa wanaotaka kujaza hizi nafasi.

Kwa hiyo watu wasitake kupoteza lengo la thread kwa kumtetea Nehemia personally. Hapa swala wananchi/walipa kodi tuna maswali legit. Iweje shirika la umma watu wapeane nafasi kama wana ukoo wanaogawana mali za marehemu? Ikiwa kweli Chiligati na wenzake..wamefanya hiki kitendo cha kugawa nafasi kwenye shirika la umma kama mali za marehemu, history will catch up with them. Its indefeasible, kwa kiongozi mwenye dhamana ya umma..kufikiri kwamba anaweza akacheza na vichwa vya watanzania million 40 the way he/she wants.

Kwa ujinga kama huu wa akina Chiligati ndo maana nchi yetu tunazidi kuwa frustrated lot bila lolote la maana. Maana wengi wanakata tamaa kwa sababu merit imekuwa replaced na technical know who. We cant allow this to go on.

ITS HIGH TIME VIONGOZI WETU WAWAJIBIKE KWA MANUFAA YA WALIOWAWEKA MADARAKANI.
 
Sure Msanja umeelewa somo, kula 100%

Hatuna tatizo na Nehemia hapa kama watu fulani wanavyotaka ioonekane, shida yetu ni procedure zilizotumika, kumpata huyu mkubwa wa kumweka kwenye shirika tunaloamini ni la umma! thats all!

Mbali ya procedure hizi ambazo hazihitaji elimu ya form four kujua shirika la umma linatakiwa liajiri vipi, pia kuna vimaswali vidogp vidogo ambayo havijapata majibu bado, na hivi vimaswali vidogo vikiwa majibu yake ni ndiyo, basi issue itahamia upande wa pili. I believe JF hakuna litakaloharibika kama kila kitu kiko Ok, ndiyo furaha yetu sisi.

I think is high time kulilia serikali ya mseto, haya mambo ya katibu mwenezi wa CCM kateua huyu, kesho mwenyekiti wa CCM kateua jaji etc, inabidi iishe
 
.........Mhhh kumbe imekuwa issue kubwa hivi.
Mie hapa sioni ajabu maana wengi tu wanapata kazi za umma tena za maana bila ya kuomba wala kufanya huo usaili.
Muhimu wanachofanya ni kukuuliza kama unataka hicho cheo, kama ukikubali wanakupa kazi tu bila wasi wasi.
 
We seem to be discusing people instead of being objective on this matter. My main interest is to get the people who will help to transform this country ahead. hizi habari za kuishia kuchangia kwa kuchambua watu sidhani kama zitaisaidia Tanzania kusonga mbele! So what if you go through the right process and get the weaker people? Tafakari vizuri!!!!
 
Mkuu tafakari vizuri posti yako ya kwanza tu imekuwa nongwa?Nadhani ni upotoshaji kudai discussion hapa ni kuhusu personal issue,ofcourse issue hapa inahusiana na public office,mkuu karibu JF ila ukiona kuna mtu pahala amekwenda nje ya topic ama hukubaliani na pointi yake na uko certain kwamba the person is wrong,basi unabonyeza kitufye cha quote halafu unamwelewesha kwanini hukubaliani naye etc etc,kwa hiyo badala ya kusema "we seem to be disscussing people" na wakati si kweli,ni bora ukapitia mjadala utafute posting iliyoenda personal ama ambayo inamjadili ndugu Mchefu personaly,then uijibu accordingly,once again karibu JF na utafakari vizuri.
 
We seem to be discusing people instead of being objective on this matter. My main interest is to get the people who will help to transform this country ahead. hizi habari za kuishia kuchangia kwa kuchambua watu sidhani kama zitaisaidia Tanzania kusonga mbele! So what if you go through the right process and get the weaker people? Tafakari vizuri!!!!

how can you get to the right person if you don't follow the right process..?
 
Mimi namfahamu huyu na kwa kweli CV yake ni nzito, ni mtu msafi na mchapa kazi na uteuzi haukuwa na mizengwe isipokuwa wale waliokosa kazi hii ndyiyo wanataka kila mtu aamini kuwa kulikuwa na mizengwe.

Nimefuatilia kwenye source muhimu ndani ya E&Y na hii ndo hadithi kamili. Jamaa aliomba hiyo kazi na ni kati ya watu 26 waliokuwa shortlisted na E&Y kuwa wanafaa kwa kazi hiyo. Lakini badala yake E&Y walisaili majina kumi na moja tu kati ya 26 na baada ya waiziri kutoridhika na mapendekezo alichagua kampuni nyingine iliyofanya usaili kwenye majina yaleyale ishirini na sita na mshikaji aliwapiga watu mbali vibaya sana. Na ukweli uko wazi hakuna aliyekuwa na CV inayokaribiana na yake na jamma ana track record nzuri kwa yale aliyofanya akiwa stanchart kwa miaka mitano kwenye nafasi za juu na pia CBA akiwa CEO kwa miaka mine. Hizi ni kelele za kukosa kazi na tunataka tuambiwe ni nani anajihisi alikuwa bora kuliko yeye katika wale 26 na tujadili. Mimi nilikuwa ni mmojawapo wa waliokuwa kwenye mchakato na nilipojua kuwa jamaa yupo kwenye mchuano nilijua basi nipo nje ya game. Na mwisho Bodi waliajiri E&Y iliwaweze kumshauri waziri na kisheria waziri na wajibu ndiye mwenye wa kuteua na si lazima afuate mapendekezo.

Pia nimefuatili pale CBA kujua jamaa alianza kazi na uhusiano wake na hizo EPA, jamaa alijiunga na CBA mwaka 2006 na EPA ilipita mwaka 2004 sasa uhusiano na ufisadi uko wapi. Jamani inabidi watu tufanye utafiti kabla ya kuandika andika na kuchangia habari zisizo na utafiti wala kichwa!

Huyu jamaa ni mtu wa Tanga na sasa hayo mambo ya kusini yanatoka wapi na tatizo liko wapi if he is a perfomer?

GT wewe unasema unamfahamu huyu jamaa na rafiki yako, hebu tuambie credentials zako na achievement zako ili tuweze kukuchambua na kukujua, vipi uwe na rafiki halafu unajificha na kutuletea habari hapa au na wewe ulikuwa kwenye mchakato huo na ukakosa hiyo kazi.

Jamaa anaheshimika na resource nzuri na kwenye CV nimeona yuko kwenye Bodi nafikiri kwasababu ya ubora wake, huyu jamaa ni Board member Ardhi University Real Estate School, pia ni Bodi Member na mwenyekiti wa Audit Committee wa Tumaini University (TURDACO), Ni mwenyekiti wa Bodi wa Rightway Schools, Ni Board Member na mwenyekiti wa Audit Committee wa PTF, Ni Board member wa CEOrt, CEO roundtable of Tanzania, kwa uchache tu! GT hivi kwakuleta hoja hii inasaidia vipi watanzania leo?

Wakichagua wazee malalamiko, vijana malalamiko, wakiletwa watu waliotoka nje ya system ilikuleta ufanisi wao malalamiko, wakichaguliwa wa ndani mnasema ni walewale, wakija wakenya mnalalamika, mghana mnalalamika, wahindi mnalalamika n.k. hivi watanzania tunataka lipi. Serikali taratibu imeanza kuvutia watu wa private sector basi tuwaunge mkono maana na wewe watakufikia as long as your competent.

Mchechu kachape kazi tunakuaminia kijana acha hawa watu wenye njaa zao wanaoshinda kujadili watu na matukio!!!!!
 
MM, come on grow up men, what is so difficult about getting the right person on this case, when you judge that this person is bad what process do you foloow in your mind? Let us encourage this guy on the difficult task that is lying ahead, na akiweza tutaweza kupiga kelele nyingi kama vijana!
 
Mkuu nakupata...Ila taratibu mkuu...Hilo la EPA ni kweli?If so ni hatua moja mbele,tusubiri kwa uhakika,makabrasha yote yamo humu.
 
MM, come on grow up men, what is so difficult about getting the right person on this case, when you judge that this person is bad what process do you foloow in your mind? Let us encourage this guy on the difficult task that is lying ahead, na akiweza tutaweza kupiga kelele nyingi kama vijana!

Hakuna shida,tusubiri kwanza kama ni kweli hakuhusika kwenye hiyo issue ya EPA ndo tu move forward,usiconclude bado...Difficult task inaweza ikawa ni uchaguzi mkuu,kwani Kagoda si ilisemekana ni pesa za Kilimo?Wapi bana...Ukidungwa na nyoka hata unyasi unatosha kukurusha roho mkuu...Tafakari.
 
GT nafikiri ni vema na haki nikakupatia data nyingine za ziada

1.Nehemia HAKUOMBA kazi hii kama ambayo sheria ilitaka afanye
Nasikia aliomba kwa hiyo wakeleketwa waulize E&Y
2. Nehemia hakuitwa kwenye USAILI kama ambavyo sheria ilitaka ifuatwe. Alishiriki kwenye usaili na mimi nilikuwa kwenye mpambano na nikashindwa

3. Nehemia kamapata kwa sababu ya presha na ufisadi wa hali ya juu uliyofanywa na Katibu Mkuu wa Ikulu bwana LUHANJO
Hili silijui lakini kama majibu ya moja na mbili ni sahihi basi inabidi wasahili watuambie!
4. Ambao walioomba na wakaitwa kwenye usaili hawajaandikiwa barua ni sababu zipi walikosa halafu kazi akaewa ambaye hakuomba hiyo kazi in the first place.

Sio lazima uandikiwe barua bwana GT, how many interview have you done personaly and how many rejection letter do you have, where did you get this law kwamba lazima ujibiwe ukikosa kazi na sababu, huu sasa in upambafu kabisa na mtu mwenye akili kiasi hawezi kuuliza huu upuuzi na kutoa hoja filisi kama hii. Ahaa lakini ndo GT huyu!
 
Sasa rafiki yangu si basi uamue kuwa mganga wa kienyeji basi, kuwa wewe ulikuwa unaleta utabiri wako wa uchaguzi wa 2010, kama ni kwa misingi si itabidi kazi zote ambazo inabidi watu wachaguliwe mwaka huu zisimamishwe kwasababu kila atayechaguliwa mtalink na election??!! inabidi kuwa na atleast average mind kuzungumzia vitu vingine otherwise hatutafika kabisa tuendako. Kuna TPB, TTCL, TANESCO, etc. ma hawa wote tutasema election, sasa tuwape nani haya mashirika au wahindi wa RITES???
 
Back
Top Bottom