Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Ndugu yangu..mheshimiwa...
1.Nadhani hapa wengi wetu tuna speculate..nobody knows exactly the wisdom that went into picking Nehemia to be the CEO.....ukisoma my posts all along utaona hakuna niliposema he is the most qualified.Besides nikiangalia positions nyingi ambapo watu huteuliwa huwezi kusema those are the most qualified - kuna mtu anateuliwa unabaki unashangaa hivi kweli hata huyu kawa Director au head wa institution..! lakini mwisho wa siku ni appointing authority ndio inajua why. Pia nafasi hizi ziko chache huwezi kumfurahisha kila mtu.
2.On how to get new people? well i may not have the answer maana ukiangalia trend ya Watanzania kuchangamkia opportunities ( im talking from experience) wengi huona usumbufu kufanya application kwa sababu mbalimbali a. mtu tayari ana kazi/opportunity s/he is comfortable with b. mtu anadhani akiapply anasindikiza wengine kwa vile hatapata...matokeo yake ni wale ambao ama ni jobless au hawana experience ndio huapply! inapokuja shortlisting OMG! unajikuta una watu wenye sifa ama track record hafifu and therefore not fit for the job!
3. last part sikukuelewa maana naona kama kuna contraditions na your earlier allussions.
anyway binafsi sioni kama kwa kumchambua Nehemia au waliompa opportunity kutabatilisha... lets give him a chance to deliver.Akishindwa then hii discussion itakua na mashiko but for now.....sijui.

WoB.. unaweza kutusaidia ni sheria gani inaongoza uteuzi wa wakuu wa makampuni au wote wanafanya kazi at the pleasure of the president?
 
Wapambe wa huyu mtu wako wapi? Maana jana alipewa sifa kem kem utadhani ndio mwokozi...sasa leo watu wameleta upande mwingine wa habari...patamu hapa.

Swali: hivi hii NHC inajenga nyumba? Kama inajenga mara ya mwisho kujenga hizo nyumba ilikuwa lini na wapi na zinagharimu kiasi gani?

Kuna msemaji alisema wamejenga chalinze kwa kikwete na kwa magufuli.
 
I just hate it kuwa hatuna mfumo ambo ni FAIR

it really eats my heart..imaine Nehemia na uchapakazi wake wote ule kwa sababu tuu LUHANJO ni fisadi ameamua kupindisha mambo ili apate tuuu kwa sababu ni mtu wa kwao
 
hamkawii kusikia world bank/habitat wamesimamisha utoaji wa pesa zao mpaka apatikane mtu mwadilifu au mpaka wawaleteeni toka Ghana kama walivyo fanya Tanroads. mbona kuna watanzania wengi tu wenye qualifications na waadilifu, kuna Dr Assad pale university anaweza kupewa kama mnazungumzia head hunting, ikawa testing ground au kumpa exposure zaidi kabla ya kupewa madaraka makubwa zaidi kama bandari, tra nk . na hata hao ma-engineer, wasanifu majengo na blah blah kibao

Mh nilikua sijuhi kuwa Tanroads kuna WaGHANA.Kulikoni? au ndio mambo ya CITY WATER na yale ya TANESCO?
 
Ndugu yangu..mheshimiwa...
1.Nadhani hapa wengi wetu tuna speculate..nobody knows exactly the wisdom that went into picking Nehemia to be the CEO.....ukisoma my posts all along utaona hakuna niliposema he is the most qualified.Besides nikiangalia positions nyingi ambapo watu huteuliwa huwezi kusema those are the most qualified - kuna mtu anateuliwa unabaki unashangaa hivi kweli hata huyu kawa Director au head wa institution..! lakini mwisho wa siku ni appointing authority ndio inajua why. Pia nafasi hizi ziko chache huwezi kumfurahisha kila mtu.
2.On how to get new people? well i may not have the answer maana ukiangalia trend ya Watanzania kuchangamkia opportunities ( im talking from experience) wengi huona usumbufu kufanya application kwa sababu mbalimbali a. mtu tayari ana kazi/opportunity s/he is comfortable with b. mtu anadhani akiapply anasindikiza wengine kwa vile hatapata...matokeo yake ni wale ambao ama ni jobless au hawana experience ndio huapply! inapokuja shortlisting OMG! unajikuta una watu wenye sifa ama track record hafifu and therefore not fit for the job!
3. last part sikukuelewa maana naona kama kuna contraditions na your earlier allussions.
anyway binafsi sioni kama kwa kumchambua Nehemia au waliompa opportunity kutabatilisha... lets give him a chance to deliver.Akishindwa then hii discussion itakua na mashiko but for now.....sijui.

Mwizi wa EPA unasema umpe chance! You must be kidding! Au ni ndugu yako?
 
Sasa kama ningekuwa JK ningempa huyu bwana powers to HIRE and FIRE lakini si unajua tena kwetu kila kitu ni politically sensitive!

GT Mbona kama unaanza kupindisha hoja. Ulisema kwa nn tuwe na double standards kwenye kuwapata watu kama hawa. Binafsi naamin na hata kama walimtaka NEHEMIA naamin System wana njia nzuri ya kuwezesha hili bila sisi kuona hivi viini macho. Sasa iweje GT umebadilisha mwelekeo wako unasema Waliomchagua wangempa mamlaka ya kuhire na kufire.

Pia katika hoja zako kuna hoja ya kusema waliiofanyiwa usaili hawakujulishwa kwa kwa nn wamekosa hiyo postion . Nadahni hili waanambiwa ukiona after specific period baada ya usaili kimya unajua nafasi umekosa.

Wanasheria nadhani wapo watupe mfumo wa sheria wa kuwapata watu hawa wa taasisi za umma tuelewe

Pamoja na yote hayo na hata kama ni ya kweli. Nehemia ni mzuri kikazi

  • Asiye kuwa mzuri ni nani?Hata BOT na taasisi nyinge wapo wengi wamepatakina hivi je kwa kuwa ni wazuri tuukubali huo utaratibu
  • Huoni kama ni kweli pamoja na uzuri wake MFUMO ulitumika tayari unamtia doa ambalo linaweza kutumika na limeshaanza kutumiak kumchafua. Hiyo style waliyotumia kumpata wataitumia kufanya maamuzi hata yeye asiyoridhia
.
Unadhani Utendaji wa mtu yeyote unakuwa nzuri kwa nafasi ya kuteuliwa tu ua kwenye nafasi ya kuteuliwa baada ya kusailiwa?
 
I just hate it kuwa hatuna mfumo ambo ni FAIR

it really eats my heart..imaine Nehemia na uchapakazi wake wote ule kwa sababu tuu LUHANJO ni fisadi ameamua kupindisha mambo ili apate tuuu kwa sababu ni mtu wa kwao

kwa hiyo unasema kuwa tatizo siyo sheria kufuata bali tatizo ni ukabila? Wale waombaji wengine unaweza kutudokeza makabila yao ni yepi?
 
WoB.. unaweza kutusaidia ni sheria gani inaongoza uteuzi wa wakuu wa makampuni au wote wanafanya kazi at the pleasure of the president?
WELL I DONT HAVE QUICK ANSWERS AT MY FINGER TIPS.... BUT WHAT I CAN SHARE BRIEFLY/QUICKLY IS THAT as part of Public Service Reform Programme- phase I ( we now have phase II ) the government passed the Human Resource Management Employment Policy in 1999 and Public Services Act 2002 which together with subsidiary legislation reinstated meritocracy in management of human resource in public service, which was almost non-existent due to corruption, nepotism and poor management. I also know that the President has the prerogative to appoint people ofcourse upon receiving recommendations ( who is doing that..i dont know).
NHC is a public entity japo its operating as a profit making business ..perhaps those who have access o the subsidiary legislations could share and shed some light into this issue.
Hata ukiangalia swala la meritocracy utaona linazingatiwa zaidi kwenye low and mid level positions zaidi.
 
Mimi huwaga nachoka kabisa na Watanzania. You never get a straight answer. Huyu anasema hivi na yule anasema hivi......nothing is ever clear....SMH!
 
Mwizi wa EPA unasema umpe chance! You must be kidding! Au ni ndugu yako?

you must be kidding..
Assuming kuwa ni ndugu yangu... ingenisaidia nini? I am an independent hard working woman..i depend on nobody for ANYTHING...
We shouldnt take things personal here... you have ur own opinion AND SO DO I...TUHESHIMIANE TU...
 
GT anaweza kusema kweli lakini mhhhhh. Si ndiye huyu alileta ile thread ya Membe ikabidi white flag inyooshwe na Invisible mods? Pengine amepata sababu ya kuibuka na hili kwa sababu maumivu yalikuwa makali kwenye kambi yake ya EeeeLlll.

BTW how was the self imposed ban?

Mimi niliomba CV ya Nehemia bado naisubiri waswahili walisema subra huvuta kheri.

WASIFU WA MKUU MPYA WA NHC

Nehemiah is an inspirational and transformational leader with high level of liveliness in business management. He was born and grew in Tanzanian where he emerged as the youngest CEO in East Africa region within 7 years, particularly in the highly regulated financial sector. He is a B.com (Finance) of the University of Dar es salaam. He started his career (1999) as a junior banker at Citibank and thereafter briefly joined Barclays Bank Tanzania before joining Standard Chartered Bank Tanzania Limited as a Head of Trading – responsible for Bank’s balance sheet management, (assets and liabilities)(2001 – 2002).

In 2002 – 2004 he took further responsibility as a Head of Global market, before his promotion to the alternate director position – Head of Global Markets and Co – Head of Wholesale Banking where he served from 2004 – 2006.

His legacy has always been remarkable and his hand has always turned stones into gold, while at Standard Chartered Bank – he grew the business and at a later stage the business become a major contributor of revenue to the bank from 45% to 87% in 2005, whilst the number of products increased from 3 to 12.

In June 2006, he joined United Bank of Africa Tanzania which he managed to turn around from a loss making to profit making bank in less than a year.

Despite the aforementioned inspirational changes, Nehemiah has been a catalyst in various Financial and Economic reform activities; this includes working in various involvements in different capacities, as President of ACI- Financial Market Association – Tanzania Chapter and Chairperson of the Tanzania Financial Market Leadership Forum. He spent time to introduce global financial products while at Standard Chartered Bank this involved both BOT and Tanzania Bankers Association. Nehemiah, worked as a team Manager of the first successful Subordinated debt issue from a Commercial Banks in Tanzania and first one to be listed in the Dar Es Salaam Stock Exchange. This is the longest maturity corporate bond in East Africa to date.

He is currently the chairperson of the University Of Dar Es Salaam Faculty Of Commerce Alumnae (UDS-FCM Alumnae), A Board Chairman of the Rightways Schools, a board member of National Investment Company Limited (NICOL) and he is also a member of several country task forces.

copied from: http://www.africarecruit.com/Tanzania_Event/speakers_profile.php
 
And what exactly is the big deal with being the CEO of NHC? How much does he make? I bet I make more money than he does
 
...if anything nilimfahamisha what to expect alipopewa taarifa ya uteuzi huu

Kama ulijua moyoni kabisa kwamba uteuzi haukufata mstari nyoofu, si wa haki, kwa nini ulimtafuta kumshauri juu ya “what to expect,” ni kumpongeza au kujishaua kwa mteule? Tukueleweje mleta shutuma?

Ulijuaje cha kumshauri juu ya "what to expect," ulisha kalia kiti hicho, au mamlaka yako kujua joto la kitimoto cha u-CEO wa NHC ni yepi? Tuanzie hapo, ya upendeleo na ufisadi wa Luhanjo badae, japo hujayathibisha.

1.Nehemia HAKUOMBA kazi hii kama ambayo sheria ilitaka afanye

2. Nehemia hakuitwa kwenye USAILI kama ambavyo sheria ilitaka ifuatwe

Tusaidie vipengele Mkuu, sheria ipi? Inasemaje? Nijuavyo, sheria imetumia lugha huria sana kueleza mamlaka ya waziri kuteua, haiongei ya usaili; labda anaweza kufanya “headhunting” kama alivyosema Mkuu mwingine juu.

THE NATIONAL HOUSING CORPORATION ACT, 1990, Section 18 (1)
The Minister shall, upon the advice of the Board, appoint Appoint a Director-General of the Corporation who shall be the chief executive officer of the Corporation on such terms and conditions as shall be specified in the instrument of his appointment.
 
Ndugu yangu..mheshimiwa...
1.Nadhani hapa wengi wetu tuna speculate..nobody knows exactly the wisdom that went into picking Nehemia to be the CEO.....ukisoma my posts all along utaona hakuna niliposema he is the most qualified.Besides nikiangalia positions nyingi ambapo watu huteuliwa huwezi kusema those are the most qualified - kuna mtu anateuliwa unabaki unashangaa hivi kweli hata huyu kawa Director au head wa institution..! lakini mwisho wa siku ni appointing authority ndio inajua why. Pia nafasi hizi ziko chache huwezi kumfurahisha kila mtu.
2.On how to get new people? well i may not have the answer maana ukiangalia trend ya Watanzania kuchangamkia opportunities ( im talking from experience) wengi huona usumbufu kufanya application kwa sababu mbalimbali a. mtu tayari ana kazi/opportunity s/he is comfortable with b. mtu anadhani akiapply anasindikiza wengine kwa vile hatapata...matokeo yake ni wale ambao ama ni jobless au hawana experience ndio huapply! inapokuja shortlisting OMG! unajikuta una watu wenye sifa ama track record hafifu and therefore not fit for the job!
3. last part sikukuelewa maana naona kama kuna contraditions na your earlier allussions.
anyway binafsi sioni kama kwa kumchambua Nehemia au waliompa opportunity kutabatilisha... lets give him a chance to deliver.Akishindwa then hii discussion itakua na mashiko but for now.....sijui.

Dada WoS, hatubishani hapa, tunaeleweshana. your earlier post na kuna watu walisem hata jana walikuwa wanaupa sifa utaratibu wa head hunting. Na my discussion na ww imeanzia hapo.

Nitajaribu kujibu sehemu nilizo bold

1. Hapa mimi binafsi speculate! niliposoma kwa mara ya kwanza kuwa Chiligati aliukataa ushauri wa E&Y nikashtuka, zilipokuja kuongezeka issue za EPA n.k zikanifanya niwe interested. issue ya EPA for me is speculation, nadhani Mwikimba angejitokeza akatoa ufafanuzi.

Hoja yangu ni kuwa democratic processes hazikufuatwa katika issue hii nzima, thats all from me. Sina elimu sihitaji sarakasi ila najua ila najua demoractic process should be;Transparency to the public, well structures decison-making criterias, fairness, equality (equal chance) and competence from applicant. Sarakasi zingine na maneno mengine hayafuti hizi facts.

Experince yako unayoisema ipo, na kwenye democratic process people are also encouraged to apply wala hatusemi kwa sababu watanzania wana tabia ya kuto apply basi tufanye hivi, by your very theory viongozi wanachukua madini yetu wakijua hatulalamiki, hatuwezi kufanya lolote lile, si wameishaamua bwana? yaani ni kama unasema mtoto akililia wembe mpe!

Kweli kumchambua Nehemia hakubatilishi uteuzi wake, nadhani JF has no teeth to bite, has no power over various issues , but me and you together we can change system, let them know that we know, let them hear our music, let them know we are awake. Tukikaa kimya kwa sababu wameshaamua, then our mission here in JF is futile.

Mwizi wa EPA unasema umpe chance! You must be kidding! Au ni ndugu yako?

Macho Mdiliko, I am totaly against those kind of conclusion kama unayomwambia Women of Substance kuwa kwa sababu anamtetea Nehemia basi ndugu yake , sorry I may differ on this, but not because I support WOS either.

Tulipoanza hii maada WoS alizungumzia issue ya Head hunting, this is state -of- art method ya ku-employ watu ambao unajua watakuwa injini katika shirika( wanaifanya sana kwenye private sector mafno ni tigo na zaid walivyoiba sana staff vodacom). I dont support this process in public sectors because it is not democratic. When I say democratic refer above explanations. Nilichoona aidha WoS ni HR manager au she is used to this process and because of that she think we can easily employ this technic to the public sector. Huu ndio majibishano haya yanaendelea. I think we better use hoja zaidi kuliko attack, waachie haya akina fulani.

Lastly dada WoS ebu lamba hizi quotes za democracy

" The major contemporary justifications of democracy are that it serves numerous contrasting interests by bringing them into debate and decision procedures; that democratic participation enhances autonomy; that, in so doing, democracy is the best form of government for political equity; and that it is the natural form for consent through deliberation. Democracy is considered to serve welfare, autonomy, equity and agreement and it tends to diffuse power; as a consequence, the corruption of a highly concentrated power elite is inhibited" (Korac-Kakabadse & Korac-Kakabadse in Garson, 1999)

to hold other individuals, and those in these organizations who are responsible for making decisions and taking actions, fully accountable if their decisions or actions violate fundamental human rights, or are dishonest, unethical, unfair, secretive, inefficient, unrepresentative, unresponsive or irresponsible; so that all organizations in the society are citizen-owned, citizen-controlled, and citizen-driven, and all individuals and organizations are held accountable for wrongdoing-(reference sikumbuki)

Haihitaji elimu ya chuo kikuu kujua hii process haikufuata mlolongo unaotakiwa, unless proven otherwise, haihitaji elimu ya secondary kujua kuwa Chiligati ame-ficha jambo, haihitaji elimu ya msingi kujua kuwa process zilikuwa za siri.

if democratic processes in our country is like this, then let is be known that our democratic process have slight different from others
 
Isije kesho ukagundua kuwa na leo pia umeingia mkenge, dont be too quick to trust..

Ni kweli kaka ata hivyo ilinichukua mda kupost comment jana na sikumsifia ila nilitoa angalizo tu kuwa afanye kazi kwa kujituma kama alivyokuwa huko CBA na pia asijihusishe na SIASA, Kumbe jamaa anauhusiano na mtandao tokea EPA.
 
Watu wanasema wanashangaa imekuwaje mtu asiwe jana na leo atuhumiwe au kuchambulia upande mwingine. Binafsi ningeshangaa sana kama ingebakia yote yale ya jana.. maana hii ni JF.. hakuna jina la public servant katika Tanzania litaletwa na kubakia "halleluya" tupu. Shilingi ina pande mbili.. ukiona shilingi ina upande mmoja tu basi umeingizwa mjini wewe!!

Yesu mwenyewe alisifiwa na kutukuzwa lakini wakaja wengine wakampaka vile vile na kumuita 'kichaa'.. na hadi leo si wote wanakubaliana juu yake. Hata Muhammad ilikuwa ni hivyo hivyo wapo watu walimpinga wakati wake na wapo ambao walibakia kuwa maswahiba wake hadi mwisho, na hata leo si wote wanakubaliana juu yake.

It is the nature of the human condition. Natumaini Nehemia hatoumizwa na pande hizi mbili zinazomchambua au kujisikia hatendewi haki. Kikwete mwenyewe kuna tuliomsifia wakati anaanza na tukageuka mbele ya safari kwa alivyogeuka kuwa siye tuliyemdhania..
 
And what exactly is the big deal with being the CEO of NHC? How much does he make? I bet I make more money than he does

Yes but "Nominal money"- your tax there will go to their pockets here as foreign Aid
 
Watu wanasema wanashangaa imekuwaje mtu asiwe jana na leo atuhumiwe au kuchambulia upande mwingine. Binafsi ningeshangaa sana kama ingebakia yote yale ya jana.. maana hii ni JF.. hakuna jina la public servant katika Tanzania litaletwa na kubakia "halleluya" tupu. Shilingi ina pande mbili.. ukiona shilingi ina upande mmoja tu basi umeingizwa mjini wewe!!

Yesu mwenyewe alisifiwa na kutukuzwa lakini wakaja wengine wakampaka vile vile na kumuita 'kichaa'.. na hadi leo si wote wanakubaliana juu yake. Hata Muhammad ilikuwa ni hivyo hivyo wapo watu walimpinga wakati wake na wapo ambao walibakia kuwa maswahiba wake hadi mwisho, na hata leo si wote wanakubaliana juu yake.

It is the nature of the human condition. Natumaini Nehemia hatoumizwa na pande hizi mbili zinazomchambua au kujisikia hatendewi haki. Kikwete mwenyewe kuna tuliomsifia wakati anaanza na tukageuka mbele ya safari kwa alivyogeuka kuwa siye tuliyemdhania..

Right on!

Kinacholalamikiwa hapa ni process zilizotumika na hidden ajenda za Chiligati. kuwa jamaa ni msafi au mchafu we dont have proof, labda Mwikimba aliyegusia uhusiano wa Nehemia na CBA ajitokeze na kuleta proof.
 
Back
Top Bottom