Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Unajua, mara nyingine Wakili wa Utetezi hutoa hoja ambazo ni tata na hata hufikia hatua ya kuwapa waendesha mashitaka kaupenyo ka kuitazama kesi upya na kuangalia kila kitu.

Wale wote waliokuja kumtetea Nehemia, hata kwa nia nzuri, wameteleza katika tope la hisia zao binafsi(emotions) ambazo zimewafanya watoe kauli nyingine za ziada ambazo zinaongeza UTATA wa mchakato mzima na jinsi ulivyokuwa.

Ndugu TV, anadai kuwa kwenye mchakato wa kwanza wa E & Y, Nehemia hakuwa kwenye vinara (the way I understood TV's argument) lakini walipopewa kampuni ya Wazawa, basi mafanikio yake yakaonekana na ndio maana kapewa hiyo kazi.

Nilichojifunza kwa kuishi ughaibuni na UKIHIYO na UKILAZA wangu ni kuwa CV ya Nehemia pamoja na kuonyesha kuwa alipata kazi nono, lakini inaonyesha hana stability na ni mtu kiguru na njia hivyo ni high risk ya kuwa flight risk, akipata kazi pengine penye njuluku nono na madaraka zaidi, yupo tayari kubwaga manyanga na kutimka. I will strongly assume this is the conclusion that E & Y came with on Nehemia if it true that he applied of the job and per Ndugu TV, the E &Y screening did not rank Nehemia high enough.

Sasa kwa kumsoma Ndugu TV na Ndugu Sun Tzu, tunabaini mengine mengi kuhusiana na process nzima ambacho ndio kitu kikuu kinachozungumziwa hapa na si Nehemia as a person.

Ndio kuna allegetions za CBA na EPA na hilo tusilifumbie macho kwa maana Uhujumu wa EPA haukuisaha mpaka karibu mid 2007!

Then kumtetea sana kuwa yeye ni bora, sijui mchapa kazi na mwngine mengi ni kufungua Sanduku lililoja nyoka koboko 20!

Binafsi, kilichonivutia kumwangalia Nehemia kama mtu binafsi ni hiyo CV yake hasa miaka yake 8 ya kwanza na asilimia ya mafanikio inayodaiwa aliyaleta!

Hiyo ni pointi muhimu sana labda bongo its a noneissue,ukweli ni kwamba alitakiwa awe amefanya kazi sehemeu moja si chini ya miaka mitano...Na ni kweli inawezekana kabisa E&Y waliconsider hiyo fact.
 
GT, nilikuona twice last week ukiingia kwenye ofisi za rafiki yako, why didnt you tell him not to take this position as a good advise kama wewe ni rafiki yake kweli?

Teh teh teh teh....Mbavu sina!
Tusubiri GT aje kujibu hili,ila sidhani kama alikuwa na uwezo wa kumzuia ama kumu advise asichukue position hiyo,ama pengine alikuwa na uwezo huo,GT mwenyewe ndiye atakayeweze kutufahamisha hilo.
 
Everybody accepts that this guy gonna make a change in NHC and it is now very clear that the guy didnt apply for the job based on GT and further clarification from TV. And it is now clear that the guy was a target by the President himself as a person who can transform the corporation abnd bring more houses in Tanzania.

So if the President by constitutional has the power to pick the Executives on his wish then lets blame our good constituional. And if the president picks the wrong person then we should blame him. It doesnt make a sense at this point to keep on debating the matter which is very clearly known that the guy was handpicked.

However, I warn Nehemia that if he was picked to drive the interest of the few corrupt people then he is done, but I have no doubt with the perfomance that he has done in every place he has worked and especially on transforming the loss making Bank into a profit making within one year.

As a person I was impressed with his journey on career growth which I saw on the MAN magazine of February 2010, its inspiring and we need few people who can be our good ambassador especially to the youth. Within the Banking Industry he has done all of us Young Tanzanians proud and he can do a lot of things out there, Go boyyyyyyyyyyyy go!!!!!!!!!!!!!
 
Mhhh!!!???

Njaazetu
Join Date: Sun Mar 2010
Posts: 1
Thanks: 2
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
 
Well GT you had the right informantion, as I have confirmed from the most realiable source, na hii inaendana na informnation za GT espcially item 1&2.

  1. Ni kweli jamaa hakuomba kazi wala kufanya interview!
  2. Previous DG alimaliza kazi yake toka mwaka jana mwezi February 2009 and since then the Government was looking mtu atayeweza kubadili shirika hilo from a non perfoming to a perfoming Corporation with the view of providing more house kwa watanzania kama Tangazo la appointment lilivyotoka.
  3. Kwa hiyo katika search za muda mrefu sana Nehemia alionekana the right candidate to transform kampuni na ukizingatia kuwa JK ameamua kudeal na vijana watakaoweza kuleta mageuzi kwenye uongozi wa taasisi za serikali na historia ya jamaa ya utendaji kazi inajieleza wazi!!!
  4. Na kwa taarifa kuna orodha ndefu ya vijana watendaji wazuri watakao ingizwa serikali kuchukua nafasi kubwa kutoka private sector ndani ya mwaka huu na hii ya jamaa ni mwanzo tu. Nafikiri ni mwanzo mzuri wa serikali kubadili nchi na tuige Singapore, Malaysia na Dubai, hizi ni nchi zilizopiga hatua kubwa na mtu anakuwa handpicked for the good perfomance and the good vision kwenye taasisi fulani ya Umma.
  5. NAFIKIRI NI VIZURI TUKATUMIA THREADS HII KUELEZA MTIZAMO WETU WA NHC GANI TUNGEPENDA JAMAA HUYU AIJENGE, NA HII NDIYO MIJADALA YENYE TIJA!!!!
  6. NAOMBA SERIKALI IENDELEZE LIBENEKE LA KUTUPATIA WACHAPAKAZI, TUNAHITAJI MAENDELEO NA WATU WATAKAOSAIDIA MAENDELEO NA SIYO SIASA. JK ONGEZA KAZI KWENYE HAYA MABADILIKO UNAYOLETA AMBAYO TULIYAHITAJI SANA!

bado humo tu humu, wewe unasema uliapply kazi hiyo, haukujibu ulizipata vipi taarifa hizo za kazi.

ukasema mliapply watu 100 na wakapunguzwa mpaka 26.

majina ya waliokuwa shortlisted (kwanza 100 na pili 26) yalitolewa chombo gani cha habari? na ni kampuni gani ya pili iliyoendesha mchakato?

Tatu; si kweli katika watanzania millioni 40 hakupatikana mtu wa kuliongoza shirika. Kumbuka mwaka mmoja kabla GT alishaweka angalizo kuwa kuna ufisadi unatokea pale, tulivyorise hoja ukana na maneno mengi , kuwa tunaona wivu, vilaza, GT akupe CV, na maneno mengi kem kem. Unless hauijui Tanzania, watu wamesoma na wana uwezo, let this be known to you from this day!!!!

Leo unakuja na post ambayo imevaa ngozi ya kondoo ili hali post yenyewe ni mbwa mwitu

Ulichoandika hapo bado hakina uzalendo wala tija katika hili taifa, tunataka procedure zifuatwe, siyo watu wawe picked kutokana na wanavyofahamika, hili linakuingia akalini? we need equal chances kwa kila mtanzania!

Kusema tuige dubai, malaysia n.k ni siasa hakuna anayekataa kutaka damu changa serikalini, katika hizo damu changa tuna vijana waliosoma nje wamerudi nchini hawana kazi au wako kwenye makampuni mengine na wana uwezo, kuna waliosoma vyuo vya ndani hawana kazi au wanazo na wana uwezo.

Sidhani kama hauelewi ninamaanisha nini, wewe ni msomi unaelewa tunayosema 'nafasi sawa kwa wote' !!

ulishasema vilaza sisi leo hii naona uko tayari kujadili na vilaza weye kipanga jibu hoja!

Hizo kwenye red ni politics, na funika kombe mwanaharamu apite.

Hukujibu maswali ya msingi, umerudi na kujifanya unauma na kupulizia
 
Everybody accepts that this guy gonna make a change in NHC and it is now very clear that the guy didnt apply for the job based on GT and further clarification from TV. And it is now clear that the guy was a target by the President himself as a person who can transform the corporation abnd bring more houses in Tanzania.

So if the President by constitutional has the power to pick the Executives on his wish then lets blame our good constituional. And if the president picks the wrong person then we should blame him. It doesnt make a sense at this point to keep on debating the matter which is very clearly known that the guy was handpicked.

However, I warn Nehemia that if he was picked to drive the interest of the few corrupt people then he is done, but I have no doubt with the perfomance that he has done in every place he has worked and especially on transforming the loss making Bank into a profit making within one year.

As a person I was impressed with his journey on career growth which I saw on the MAN magazine of February 2010, its inspiring and we need few people who can be our good ambassador especially to the youth. Within the Banking Industry he has done all of us Young Tanzanians proud and he can do a lot of things out there, Go boyyyyyyyyyyyy go!!!!!!!!!!!!!

Mkuu , you need to read the thread and connect dots.

Kama JK alikuwa na uwezo huo, kwa nini walitoa tangazo la kutafuta huyu bossi? na kwa nini waliitumia E&Y kufanya mchakato na ambao baadae chiligati aliukataa? na hakuna sehemu inayoonyesha ulifanyika tena mchakato mwingine, wala kampuni ingine haijulikani. pesa yako na yangu zilitumika kuilipa E &Y! kwa nini basi asingepick tu mtu na fdha tulizowapa hao jamaa zingenunua japo vitanda kadhaa hospitali ya temeke??

You guys this is our country! dont forget the rest of Tanzanian kwa sababu mmefanikiwa kidogo please jamani, comment zenu ziwe za kizalendo jamani , I beg , I beg...

Not Nehemia here, procedures!!!
 
GT, nilikuona twice last week ukiingia kwenye ofisi za rafiki yako, why didnt you tell him not to take this position as a good advise kama wewe ni rafiki yake kweli?

Usitishe watu humu, ulisema GT akupe CV leo unasema unamfahamu! who are you?? usitukimbizie member wa JF bure, kama unamjua na yeye alikuambia ni member wa JF na anatumia jina la GT is ok, lakini kama ni hivyo, basi usingeomba CV yake humu, na kudai anaona wivu wa Nehemia kupata ile nafasi.ungemfuata na kumuomba CV yake!

Na hana ulazima wa kumwambia Nehemia lolote, yeye hana na hakuna humu ndani ambaye ana uwezo wa kumgusa au kumshauri lolote Nehemia ( let me put in this way the guy is innocent) tuna question procedures zilizopatikana! ambazo umeshaprove kuwa ni kweli kabisa haku-apply wala hakufanyiwa interview!

Japo wewe ulisema hapo awali mli-apply 100, mkapunguzwa na kubaki 26!!!

Haueleweki!!!

unaweza kufuta zile kauli zako za awali, hakuna tatizo kabisa ni ustaarabu, kutuita watu vilaza, tuna vijiba vya roho,n.k
 
Education and Professional Expertise?
Experience?

Inanichanganya kidogo, kama CEO wa NHC kisheria (as per NHC Act Sect 18) anateuliwa na Waziri....applications zilikuwa za nini?

​
​
​

18​
​
.-(1) The Minister shall, upon the advice of the Board, appoint a
Director-General of the Corporation who shall be the chief executive
​

officer of the Corporation on such terms and conditions as shall be
specified in the instrument of his appointment.​
​

(2) Subject to this Act, the Board may from time to time appoint
such number of other staff of the Corporation, at such salaries and upon
such terms and conditions as it may deem necessary for the proper and
efficient conduct of the business and the activities of the Corporation.​
 
bado humo tu humu, wewe unasema uliapply kazi hiyo, haukujibu ulizipata vipi taarifa hizo za kazi.

ukasema mliapply watu 100 na wakapunguzwa mpaka 26.

majina ya waliokuwa shortlisted (kwanza 100 na pili 26) yalitolewa chombo gani cha habari? na ni kampuni gani ya pili iliyoendesha mchakato?

Tatu; si kweli katika watanzania millioni 40 hakupatikana mtu wa kuliongoza shirika. Kumbuka mwaka mmoja kabla GT alishaweka angalizo kuwa kuna ufisadi unatokea pale, tulivyorise hoja ukana na maneno mengi , kuwa tunaona wivu, vilaza, GT akupe CV, na maneno mengi kem kem. Unless hauijui Tanzania, watu wamesoma na wana uwezo, let this be known to you from this day!!!!

Leo unakuja na post ambayo imevaa ngozi ya kondoo ili hali post yenyewe ni mbwa mwitu

Ulichoandika hapo bado hakina uzalendo wala tija katika hili taifa, tunataka procedure zifuatwe, siyo watu wawe picked kutokana na wanavyofahamika, hili linakuingia akalini? we need equal chances kwa kila mtanzania!

Kusema tuige dubai, malaysia n.k ni siasa hakuna anayekataa kutaka damu changa serikalini, katika hizo damu changa tuna vijana waliosoma nje wamerudi nchini hawana kazi au wako kwenye makampuni mengine na wana uwezo, kuna waliosoma vyuo vya ndani hawana kazi au wanazo na wana uwezo.

Sidhani kama hauelewi ninamaanisha nini, wewe ni msomi unaelewa tunayosema 'nafasi sawa kwa wote' !!

ulishasema vilaza sisi leo hii naona uko tayari kujadili na vilaza weye kipanga jibu hoja!

Hizo kwenye red ni politics, na funika kombe mwanaharamu apite.

Hukujibu maswali ya msingi, umerudi na kujifanya unauma na kupulizia

Mkuu , you need to read the thread and connect dots.

Kama JK alikuwa na uwezo huo, kwa nini walitoa tangazo la kutafuta huyu bossi? na kwa nini waliitumia E&Y kufanya mchakato na ambao baadae chiligati aliukataa? na hakuna sehemu inayoonyesha ulifanyika tena mchakato mwingine, wala kampuni ingine haijulikani. pesa yako na yangu zilitumika kuilipa E &Y! kwa nini basi asingepick tu mtu na fdha tulizowapa hao jamaa zingenunua japo vitanda kadhaa hospitali ya temeke??

You guys this is our country! dont forget the rest of Tanzanian kwa sababu mmefanikiwa kidogo please jamani, comment zenu ziwe za kizalendo jamani , I beg , I beg...

Not Nehemia here, procedures!!!

Usitishe watu humu, ulisema GT akupe CV leo unasema unamfahamu! who are you?? usitukimbizie member wa JF bure, kama unamjua na yeye alikuambia ni member wa JF na anatumia jina la GT is ok, lakini kama ni hivyo, basi usingeomba CV yake humu, na kudai anaona wivu wa Nehemia kupata ile nafasi.ungemfuata na kumuomba CV yake!

Na hana ulazima wa kumwambia Nehemia lolote, yeye hana na hakuna humu ndani ambaye ana uwezo wa kumgusa au kumshauri lolote Nehemia ( let me put in this way the guy is innocent) tuna question procedures zilizopatikana! ambazo umeshaprove kuwa ni kweli kabisa haku-apply wala hakufanyiwa interview!

Japo wewe ulisema hapo awali mli-apply 100, mkapunguzwa na kubaki 26!!!

Haueleweki!!!

unaweza kufuta zile kauli zako za awali, hakuna tatizo kabisa ni ustaarabu, kutuita watu vilaza, tuna vijiba vya roho,n.k

Kudos Mkuu Webby............haangaliwi nyani hapa ni mawe tu..........
 
[SIZE=4 said:
If anything hata kama Luhanjo alikuwa anamtaka kijana wake what was so difficult or worong UTARATIBU ukafuatwa?[/SIZE]
kwani wako ndugu hawa?
 
Kitu gani kimetokea MODS?

#285
post_new.gif
Today, 02:35 PM
911
user_online.gif

911 is wondering no more.
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Fri Aug 2008
Posts: 281
Thanks: 245
Thanked 65 Times in 37 Posts
Rep Power: 22
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: UFISADI kwenye uteuzi wa NEHEMIA MCHECHU?
Kwa kuweka rekodi sawasawa lile la mwanzo ni hili hapa http://*************************/200...portunity.html na la pili ni hili http://*************************/200...r-general.html
​
The Following User Says Thank You to 911 For This Useful Post:


​
Hiyo post ilikuwa namba 285, kutoka kwa 911. haionekani tena humu, nilifikiri 911 kaifuta hamna alama kuwa amefanya hivyo.

Post yangu (inayoonekana) ya 281 imeweka reference kuwa post hii ya 911 ni ya 285! kuna post kati ya 5-9 zimeondolewa? I am jus curious to know what happened??
mkuu wangu,nilikuwa nimeweka link kwenda kwenye page yenye tangazo la hiyo kazi.Msisitizo ni katika kiwango cha elimu kilichotakiwa na pia working experience.Linasomeka kama ifuatavyo;
Position: Director General
Appointing Authority: Minister of Lands and Human Settlements Development
Reports To: Board of Directors
Supervises: The Heads of all Directorates, Corporation Secretary, Chief Internal Auditor & Chief Public Relations Officer
National Housing Corporation (NHC) is under the Ministry of Lands, Housing and Settlements Development. The Ministry is represented by the Board of Directors which is responsible for the corporate policies and strategies. The day to day management of NHC'sbusiness is overseen by the Director General who is responsible to the Board of Directors.
NHC undertakes an array of businesses which include but not limited to:
Construction of houses for sale and letting
Renting and managing houses or properties built by the corporation and those acquired by the Government
Supervise building, contractors, planners and consultants
Carrying out other activities related to construction of houses or other buildings built or acquired by the Corporation
Provision or facilitating the provision of buildings materials, components, concrete articles and other related articles
Construction of buildings as part of approved Housing Scheme
BASIC FUNCTION FOR THE DIRECTOR GENERAL:
Responsible for the implementation of the Mission and Vision of the National Housing Corporation (NHC) as well as its strategic direction, operations and overall functions, as stipulated in the Act of Parliament.
MAJOR DUTIES AND RESPONSIBILITIES OF THE POSITION:
Chief Executive Officer of the Corporation
Responsible to the Board of Directors for the organization, Planning, Coordination and Control of all operational activities of the Corporation including initiation and implementation of approved programmes and plans.
Responsible for the implementation and execution of the policy laid down by the Board of Directors and Management
Providing leadership to achieve the NHC Mission and directs the workforce towards that end
Ensuring that adequate means and arrangements are made in regard to safe custody of the NHC physical assets
Forecasting, organizing and maintaining the NHC development activities
Formulating and recommending overall staff policies to the Board
Chief adviser to the Board of Directors and keeps it informed of all aspects of the organization es achievements and challenges
Chief executor of all the organizationis contracts, agreements, leases, deeds, taxes and litigation to which the organization islegally subject
Developing and recommending to the Board of Directors, short and long term plans and strategies to achieve the organizationi's objectives
Accounting officer of the organization responsible for budget preparation and submission to the Board for approval, authorization of all disbursements and internal audit
Developing and reviewing the organizationi's structure and agreements and recommending to the Board of Directors
To do such acts as may be necessary to uphold and promote good relationship with the Government and other organizations and obtain and justify public/client confidence and favorable reputation in Tanzania and outside Tanzania
Chief spokesman of the organization
Undertake any other task which may from time to time be assigned to him/her by the Board of Directors.
MINIMUM EDUCATIONAL REQUIREMENTS
Masters Degree in Estate Management, Business Administration, Engineering, Planning, Economics, Law and Human Resources Management or Equivalent
Must be computer literate
MINIMUM EXPERIENCE
The candidates should have a minimum of eighteen years (18) professional working experience with at least five (5) to eight (8) years in senior management.
Interested candidates should send their application and detailed CVs by email to info.tanzania @ tz.ey.corn or hand delivery to Utalii House, 36 Laibon Road, Oysterbay, Dar es Salaam. Tel: +255 22 2666853/2667484.
Closing date for receipt of applications is March 6th 2009 at noon local time.
Only short listed candidates will be contacted.
 
On average a Tanzanian in Tanzania graduates the University Education from the age of 24years at best, and plus 18 years working experience it means the minimum age for this job was for someone with 42years, Duuuh! I think this was not fair at all unless it was crafted for someone for GODS sake! At a DG level what is needed is the experience in the management roles and not a working experience!
 
welll.....


Mimi namfahamu huyu na kwa kweli CV yake ni nzito, ni mtu msafi na mchapa kazi na uteuzi haukuwa na mizengwe isipokuwa wale waliokosa kazi hii ndyiyo wanataka kila mtu aamini kuwa kulikuwa na mizengwe.
Nimefuatilia kwenye source muhimu ndani ya E&Y na hii ndo hadithi kamili. Jamaa aliomba hiyo kazi na ni kati ya watu 26 waliokuwa shortlisted na E&Y kuwa wanafaa kwa kazi hiyo. Lakini badala yake E&Y walisaili majina kumi na moja tu kati ya 26 na baada ya waiziri kutoridhika na mapendekezo alichagua kampuni nyingine iliyofanya usaili kwenye majina yaleyale ishirini na sita na mshikaji aliwapiga watu mbali vibaya sana. Na ukweli uko wazi hakuna aliyekuwa na CV inayokaribiana na yake na jamma ana track record nzuri kwa yale aliyofanya akiwa stanchart kwa miaka mitano kwenye nafasi za juu na pia CBA akiwa CEO kwa miaka mine. Hizi ni kelele za kukosa kazi na tunataka tuambiwe ni nani anajihisi alikuwa bora kuliko yeye katika wale 26 na tujadili. Mimi nilikuwa ni mmojawapo wa waliokuwa kwenye mchakato na nilipojua kuwa jamaa yupo kwenye mchuano nilijua basi nipo nje ya game. Na mwisho Bodi waliajiri E&Y iliwaweze kumshauri waziri na kisheria waziri na wajibu ndiye mwenye wa kuteua na si lazima afuate mapendekezo.
Pia nimefuatili pale CBA kujua jamaa alianza kazi na uhusiano wake na hizo EPA, jamaa alijiunga na CBA mwaka 2006 na EPA ilipita mwaka 2004 sasa uhusiano na ufisadi uko wapi. Jamani inabidi watu tufanye utafiti kabla ya kuandika andika na kuchangia habari zisizo na utafiti wala kichwa!
Huyu jamaa ni mtu wa Tanga na sasa hayo mambo ya kusini yanatoka wapi na tatizo liko wapi if he is a perfomer?
GT wewe unasema unamfahamu huyu jamaa na rafiki yako, hebu tuambie credentials zako na achievement zako ili tuweze kukuchambua na kukujua, vipi uwe na rafiki halafu unajificha na kutuletea habari hapa au na wewe ulikuwa kwenye mchakato huo na ukakosa hiyo kazi.
Jamaa anaheshimika na resource nzuri na kwenye CV nimeona yuko kwenye Bodi nafikiri kwasababu ya ubora wake, huyu jamaa ni Board member Ardhi University Real Estate School, pia ni Bodi Member na mwenyekiti wa Audit Committee wa Tumaini University (TURDACO), Ni mwenyekiti wa Bodi wa Rightway Schools, Ni Board Member na mwenyekiti wa Audit Committee wa PTF, Ni Board member wa CEOrt, CEO roundtable of Tanzania, kwa uchache tu! GT hivi kwakuleta hoja hii inasaidia vipi watanzania leo?
Wakichagua wazee malalamiko, vijana malalamiko, wakiletwa watu waliotoka nje ya system ilikuleta ufanisi wao malalamiko, wakichaguliwa wa ndani mnasema ni walewale, wakija wakenya mnalalamika, mghana mnalalamika, wahindi mnalalamika n.k. hivi watanzania tunataka lipi. Serikali taratibu imeanza kuvutia watu wa private sector basi tuwaunge mkono maana na wewe watakufikia as long as your competent.
Mchechu kachape kazi tunakuaminia kijana acha hawa watu wenye njaa zao wanaoshinda kujadili watu na matukio!!!!!




MM, come on grow up men, what is so difficult about getting the right person on this case, when you judge that this person is bad what process do you foloow in your mind? Let us encourage this guy on the difficult task that is lying ahead, na akiweza tutaweza kupiga kelele nyingi kama vijana!

then....


GT nafikiri ni vema na haki nikakupatia data nyingine za ziada

1.Nehemia HAKUOMBA kazi hii kama ambayo sheria ilitaka afanye
Nasikia aliomba kwa hiyo wakeleketwa waulize E&Y
2. Nehemia hakuitwa kwenye USAILI kama ambavyo sheria ilitaka ifuatwe. Alishiriki kwenye usaili na mimi nilikuwa kwenye mpambano na nikashindwa

3. Nehemia kamapata kwa sababu ya presha na ufisadi wa hali ya juu uliyofanywa na Katibu Mkuu wa Ikulu bwana LUHANJO
Hili silijui lakini kama majibu ya moja na mbili ni sahihi basi inabidi wasahili watuambie!
4. Ambao walioomba na wakaitwa kwenye usaili hawajaandikiwa barua ni sababu zipi walikosa halafu kazi akaewa ambaye hakuomba hiyo kazi in the first place.


Sio lazima uandikiwe barua bwana GT, how many interview have you done personaly and how many rejection letter do you have, where did you get this law kwamba lazima ujibiwe ukikosa kazi na sababu, huu sasa in upambafu kabisa na mtu mwenye akili kiasi hawezi kuuliza huu upuuzi na kutoa hoja filisi kama hii. Ahaa lakini ndo GT huyu!


kisha......



Sasa rafiki yangu si basi uamue kuwa mganga wa kienyeji basi, kuwa wewe ulikuwa unaleta utabiri wako wa uchaguzi wa 2010, kama ni kwa misingi si itabidi kazi zote ambazo inabidi watu wachaguliwe mwaka huu zisimamishwe kwasababu kila atayechaguliwa mtalink na election??!! inabidi kuwa na atleast average mind kuzungumzia vitu vingine otherwise hatutafika kabisa tuendako. Kuna TPB, TTCL, TANESCO, etc. ma hawa wote tutasema election, sasa tuwape nani haya mashirika au wahindi wa RITES???



tukaambiwa watu hawana data....


Masanja; watu hawana data, mimi nimepata habari za ndani, application zaidi ya 100 na shortlisted ni 26 tu ambao walikidhi vigezo na jamaa alikuwa ndani ya lisit, na hii ni habari ya kutoka ndani na usisahau na mimi niligombea hicho kinyang'anyiro. lakini kushiriki kwangu kulinifanya niwe karibu na huo mchakato mzima na hvyo kama watu tunatoka nje ya msitari kupotosha hoja lazima tuzungumze. The process was right, kama jamaa alikuwa pia ni prefered candidate then its well. Lakini tunapaswa kuelewa ni nani mwenye madaraka ya kuteua before complining about the process, the whole process is made to help to the appointing officer to reach a good decision, and if in the decision maker the process was right then there shouldnt be a complain. If you want to practise the decision making go and run the show, but you cant expect to be making the decisions while your just a spectator!!!!!! Huu ni ukweli ambao unapaswa kukubalika hata kama unamaumivu.

This country is behind because of peoples inability to make decision and not the appointment process. Dubai inapendeza na kukua kwa kasi, uliambiwa Makhtoom ana hizo process au anapick the best brains?

baada ya hapo.....

MM, well written na kweli nakubaliana na wewe kwa hoja zako ambazo ninazinukuu tena hapa chini!!

Hoja zilizotolewa hapa kubwa ni kwamba (according to GT):

a. Mchechu aliteuliwa bila kuonesha interest (umetupa upande ambao GT hakutupa kuwa kweli aliomba, I'm giving you the benefit of the doubt)
b. Waziri katika kufanya uteuzi hakufuata mapendekezo ya E&Y (japo hadi sasa sijasikia jina lililopendekezwa ni lipi na likakataliwa - njia pekee ya kupima CV kwa CV ni kujua wale wengine ni kina nani)
c. Kwamba Sheria haikufuatwa (nimetoa changamoto huko nyuma mtu anioneshe sheria gani haikufuatwa hakuna aliyefanya hivyo).



My hats off MM, na sasa watu wajadili kama kuna majibu yenye data ya hoja hizo na mimi nimetoa data zangu, Otherwise tupumzike na JF itafanya kazi kufuatilia kama kijana huyu atafanya mageuzi kusaidia nchi hii na hii ndiyo kiu ya watanzania kuona mabadiliko ya vitendo!!

baada ya kuambiwa tupumzike....ikaja BOMBSHELL!!!



Well GT you had the right informantion, as I have confirmed from the most realiable source, na hii inaendana na informnation za GT espcially item 1&2.

  1. Ni kweli jamaa hakuomba kazi wala kufanya interview!
  2. Previous DG alimaliza kazi yake toka mwaka jana mwezi February 2009 and since then the Government was looking mtu atayeweza kubadili shirika hilo from a non perfoming to a perfoming Corporation with the view of providing more house kwa watanzania kama Tangazo la appointment lilivyotoka.
  3. Kwa hiyo katika search za muda mrefu sana Nehemia alionekana the right candidate to transform kampuni na ukizingatia kuwa JK ameamua kudeal na vijana watakaoweza kuleta mageuzi kwenye uongozi wa taasisi za serikali na historia ya jamaa ya utendaji kazi inajieleza wazi!!!
  4. Na kwa taarifa kuna orodha ndefu ya vijana watendaji wazuri watakao ingizwa serikali kuchukua nafasi kubwa kutoka private sector ndani ya mwaka huu na hii ya jamaa ni mwanzo tu. Nafikiri ni mwanzo mzuri wa serikali kubadili nchi na tuige Singapore, Malaysia na Dubai, hizi ni nchi zilizopiga hatua kubwa na mtu anakuwa handpicked for the good perfomance and the good vision kwenye taasisi fulani ya Umma.
  5. NAFIKIRI NI VIZURI TUKATUMIA THREADS HII KUELEZA MTIZAMO WETU WA NHC GANI TUNGEPENDA JAMAA HUYU AIJENGE, NA HII NDIYO MIJADALA YENYE TIJA!!!![/B]
    [*]NAOMBA SERIKALI IENDELEZE LIBENEKE LA KUTUPATIA WACHAPAKAZI, TUNAHITAJI MAENDELEO NA WATU WATAKAOSAIDIA MAENDELEO NA SIYO SIASA. JK ONGEZA KAZI KWENYE HAYA MABADILIKO UNAYOLETA AMBAYO TULIYAHITAJI SANA!

51N.jpg


Baada ya hayo...

GT, nilikuona twice last week ukiingia kwenye ofisi za rafiki yako, why didnt you tell him not to take this position as a good advise kama wewe ni rafiki yake kweli?



Last week nilikuwa Uzbekistan...leo unasema nilikuwa kwenye ofisi za rafiki zangu je na wewe ulikuwa Baku ama if so do you mean ofisi ya Gaga Ashkenazi? mbona sikuona mtu mweusi pale ofisini?
 
Safi sana Nehemia Kyando

sasa umeanza kuonyesha kweli wewe ni mchapa kazi,ingawaje mafisadi wanataka kukuhonga hizo milioni 500 waeleze katu haitowezekana moto ni uleule uliomnyoa kanga manyoya

tunaona mabadiliko NHC nyumba zote umepaka rangi sasa tunazitambuwa zipi ni nyumba za NHC na zipi si nyumba za NHC, na yote yanayotokea ndani ya NHC lengo ni kulifanya shilika letu NHC kujiendesha kama lilivyokuwa zamani

kazi njema Nehemia
 
Leo nimesikia kwenye magazeti eti wanatanga kumhonga milioni 500 mama Tiba ambadilishe cheo huyu Nehemia kutokana na kazi nzuri anayo ifanya
 
JF members i know well Nehemia he is very patriotic citizen and is one of the youngest DG in history of Tanzania leading the public parastral organization. For a few months since he was appointed as DG he has done a lot to NHC. Recently there was a move by Tanzanians of Indian origin to buy the national housing properties located in strategic areas like Upanga for reason that they have been living there for more than 20yrs and they have the right ot buy those houses. Nehemia assisted by members of body directors rejected the deal and i attended the meeting . The information was leaked before the meeting that the indian community has already managed to lobby the minister of housing to accept the deal. Nehemia invited other people who are not NHC tenants to counteract their argument by reasoning. At the end the Indians were the losers. At the end of the meeting i was having informal talk with Deputy minister of housing about the endings of the matter. After i left the minister, one Indian men called me and told me that NHC DG is very bad person,he is the major obstacle for us to buy NHC houses, i think he is discriminating us. You know these houses are ours, Nyerere nationalized them.

However, i am not in the position to say anything about Nehemia's personal life, but he is patriotic and has a sense of liberty in his vision. I hope he is the right person to transform NHC. This country is in the worse situation if looking for someone to save in such a senior position, you need man hunt! Nehema is a men of outcome and he can deliver the required service.
 
Wanajamii endapo uteuzi huu ungekuwa unafanyika kimyakimya na kuwapata watu 10 kama akina Nehemia Msechu,Mungu ibariki Tanzania!!!! sina mashaka na uwezo wa Msechu, Ana sifa zote za kiuongozi,Kwanza ni wakuu wangapi wa wilaya,mikoa,idara na taasisi wameteuliwa kwa taratibu lakini hawamzidi uwezo Mr Mchechu kiutendaji na kimsimamo,Kumpata Mchechu Nhc Kunakwenda kufufua Shirika lililokuwa linakufa,Pia najua haya mambo yanaibuka wakati Nehemia Anapambana na mafisadi wa Nyumba za Shirika,wahujumu na walanguzi wa ummah.Ninamashaka na uletwaji wa hoja hii katika kipindi cha usafishaji wa Shirika ambapo bwana Msechu yupo moto,Binafsi hata Profile yake toka akiwa Udsm DARUSO inatia matumaini,kama walimpendelea NHC walimpendelea mtu ambaye ni muda muafaka wa kumhitaji.Hata Mwl Nyerere alipendelewa kwenye LEGCO wakati wa Ukoloni lakini walikuja kumfukuza,Nehemia tumuhukum kwa utendaji wake na elimu yake,si kwa ameteuliwaje?????kwani hata huyu aliyeleta hoja Profile yake yote ni ya kubebwa na nina mashaka na uwezo wake kimsingi.
 
Wakati mwingine head hunting hufanyika pia... for a good reason na siyo lazima ufisadi...

I have participated in recruitment processes... wakati mwingine kazi inatangazwa.. wanaoomba unakuta ni watu wa viwango vya chini mno... hata ukiwashindanisha wenyewe kwa wenyewe utaishia kupata mtu asiye stahili.In such circumstance u may be forced to resort to head hunting.

Nehemia as I know him is a material for the position.... tunaweza kulaumu na kusema mengi lakini anabakia THE CEO FOR NHC for the time being..tukubali na tumpe nafasi jamani. It could have been you or me..ila haikuwa.

WomanOfSubstance head hunting ipo hata serikalini. Richmond, Dowans, Kagoda, Meremeta, Rada, na Kashfa nyingine zinazofanana na hizo ni matokeo ya head hunting ya kiserikali. Yaani viongozi wa serikali wana head hunt mfanyabiashara ambaye wanadhani anakidhi vigezo vyao kisha wanampa fursa ya kuchukua pesa za umma ili hatimaye wagawane.
 
Pamoja na hayo yote uwezo anao au hana, tija imeongezeka NHC au imepungua, NHC inajiendesha kwa faida au inazidi kupata hasara. Isije ikiwa umefukuzwa kwenye nyumba ya NHC kwa kutolipa pango au ulikuwa una sublet.
 
Back
Top Bottom