Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Jamani lazima tupate data muhimu na kuona kama ni kweli ila sheria kama wamevunja hap hakuna mjadala kabisa

Ni kweli kabisa tunahitaji data kujua ukweli lakini cha kushangaza kuna watu wanaotaka tuamini kuwa jama is right regardless of MFUMO uliotumika kumpata.

Wanaosema Muhusika " is THE right Guy for the job" nawauliza who is not right guy or girl for the job?

Kama tunahoji MFUMO wa kuapta ajira za nafasi za kawaida BOT na ajira za vimemo ,kwa nn tusioji MFUMO wa kupata cheo kikubwa cha DG wa shirika la umma?

Hapa tunaona wengeine tayari tuna double standard. What if J. Kikwete anashindwa kuwashughulikia MAFISADI sababu ya DOUBLE STANDARDS? mtamuelewa kwa hilo kama mnavyojaribu kuelewa Uteuzi wa ajira ya huyu jamaa?

Kwa wale wanasema wanafahamu sana sijui wanamfahamu vipi . ni jirani ?, walicheza naye makopo ?au kurusha vishada?, kusoma naye primary , chuo kikuu au kufanya naye kazi ? Basi watusadie tupate taarifa ya upande mwingine wa shilingi.

Cha muhimu tujue UKWELI kabla ya kukubali tuu au kukataa

No wonder hilo linchi haliendelei yaani ni majungu majungu, ubinafsi, udaku kila kukicha. Kwa kifupi the guy if fit and proper for job. Has all the qualities na performing record. Sasa nyie mnaotaka the likes of Dr. or Profs ambao many of them have never led any organization, a company or just a small firm of their own kwa kweli mnanishangaza. How many drs and profs are there in the parliament, our ministries, public company boards?? What are they doing? What have they done?

It makes me sick kuona kwamba bado kuna lots of people wanaamini huwezi kupata a good job bila God father. I wonder which countries you guys are living. But the one I know pamoja na mapungufu yake yote in Tz you can be anybody kama unaperform consistently and with vision. Hivi watu hamjajua kwamba kuna upungufu wa proffessionals in many areas in TZ. I have been there done that and many of my friends too. Most of the middle and top management guys in Tz are just sons and daughters of common backgrounds including Nehemiah. Some just 10 years ago were desperately poor.This is rarely possible in Kenya.

Wake up guys ACHENI WIVU, actually did I tell you the name of the game is to move forward. Sasa kama unajikuta umestuck kwenye stereotyping, uvivu wa kufikiri na kutenda is up to you.

BIG UP NEHEMEIAH, GET GOING BUDDY!!!!!!
 
Kwanza.. GT alitutonya mapema juu ya suala hili na jinsi gani kuwa mtu fulani alikuwa anatakiwa no matter what.. this was almost a year ago. Sasa kama mtu aliyekuwa anatakiwa ndiye akafanyiwa mbinde hadi akapata (hata kama anauwezo wote toka mbinguni) bado haifanyi uteuzi wake uwe halali. Vinginevyo, tutatengeneza precedence mbaya sana kwamba yule anayetakiwa aombe tu kazi na wengine mtakuwa wasindikizaji!

Sasa, kama Ikulu walikuwa wanamtaka Mchechu.. na kuwa Rais ndiye mwenye uamuzi wa mwisho why waste time and resource to do a magic show.. (mazingaombwe)? Rais angemteua tu mara moja na haya yote tunayoyasikia leo wala yasingekuwepo.

Kama Chiligati alielekezwa toka mwanzo kuwa haijalishi EnY wanapendekeza nini tunachotaka ni jina la Mchechu.. so why pay EnY kupendekeza lolote?

This is the argument from GT's side and so far hakuna aliyeonesha kuwa siyo good argument.
 
No wonder hilo linchi haliendelei yaani ni majungu majungu, ubinafsi, udaku kila kukicha. Kwa kifupi the guy if fit and proper for job. Has all the qualities na performing record. Sasa nyie mnaotaka the likes of Dr. or Profs ambao many of them have never led any organization, a company or just a small firm of their own kwa kweli mnanishangaza. How many drs and profs are there in the parliament, our ministries, public company boards?? What are they doing? What have they done?
Haya yote yanatokea wapi?

Hivi hujakurupuka kweli weye?
 
No wonder hilo linchi haliendelei yaani ni majungu majungu, ubinafsi, udaku kila kukicha. Kwa kifupi the guy if fit and proper for job. Has all the qualities na performing record. Sasa nyie mnaotaka the likes of Dr. or Profs ambao many of them have never led any organization, a company or just a small firm of their own kwa kweli mnanishangaza. How many drs and profs are there in the parliament, our ministries, public company boards?? What are they doing? What have they done?

It makes me sick kuona kwamba bado kuna lots of people wanaamini huwezi kupata a good job bila God father. I wonder which countries you guys are living. But the one I know pamoja na mapungufu yake yote in Tz you can be anybody kama unaperform consistently and with vision. Hivi watu hamjajua kwamba kuna upungufu wa proffessionals in many areas in TZ. I have been there done that and many of my friends too. Most of the middle and top management guys in Tz are just sons and daughters of common backgrounds including Nehemiah. Some just 10 years ago were desperately poor.This is rarely possible in Kenya.

Wake up guys ACHENI WIVU, actually did I tell you the name of the game is to move forward. Sasa kama unajikuta umestuck kwenye stereotyping, uvivu wa kufikiri na kutenda is up to you.

BIG UP NEHEMEIAH, GET GOING BUDDY!!!!!!

Nyambala 'hoja zako za wivu' wameshajibiwa wenzako humu ndani,. soma thread vizuri, uone tuliwapa majibu gani!

I wonder mkuu tangu 2007 mpaka leo umeweza kuwa member wa forums ya wana majungu??

Nani aliyesema humu Nehemia ana matatizo/ tuna hoji utaratibu, na kama utaratibu mbovu, Nehemia anabaki mtu safi kabisa ila nafasi ile pale NHC inabakia ya mtu ambaye si halali kuwepo pale!!

mkuu mvumilivu sana, nimependa uvumilivu wako, miaka 3, unajadili majungu!

Wenzako tulimpa big up kabla yako, kwenye thread nyingine, mbona haukulaumu?
 
NI sifa zipi hizo GT.. unaanzisha maswali mengine.. mwaga data zote ili tulikabili hili jambo kwa utimilifu wake wote.

What is a "normal degree" in contrast to "abnormal degree"? tunaomba hivyo vigezo vilivyotofautiana katika tangazo la kwanza na hilo la pili.

Hili swali twaweza kulijibu vizuri baada ya kupata all the information.

I remember baadhi ya maswali niliyouliza kule bado ninayauliza.

Mkulu kama unavyojua sina access to online adverts ya hii kazi lakini nilihifadhi copy ya haya matangazo yote mawili so stay tuned nikipata copy nitaweza attachment humu

lakini matangazo yalitolewa kwenye Daily News

in short Tangazo la kwanza lilisema mwombaji awe na masters degree na experience ya miaka 8

tangazo la pili ambalo lilikuwa dumbed down lilisema awe na first degree na experience ya miaka 5 tuu

mind you i still believe kuwa kwa huyu bwana angepita hands down kwa vigezo hivyo sasa what was the use ya kupindisha utaratibu?
 
No wonder hilo linchi haliendelei yaani ni majungu majungu, ubinafsi, udaku kila kukicha. Kwa kifupi the guy if fit and proper for job. Has all the qualities na performing record. Sasa nyie mnaotaka the likes of Dr. or Profs ambao many of them have never led any organization, a company or just a small firm of their own kwa kweli mnanishangaza. How many drs and profs are there in the parliament, our ministries, public company boards?? What are they doing? What have they done?

It makes me sick kuona kwamba bado kuna lots of people wanaamini huwezi kupata a good job bila God father. I wonder which countries you guys are living. But the one I know pamoja na mapungufu yake yote in Tz you can be anybody kama unaperform consistently and with vision. Hivi watu hamjajua kwamba kuna upungufu wa proffessionals in many areas in TZ. I have been there done that and many of my friends too. Most of the middle and top management guys in Tz are just sons and daughters of common backgrounds including Nehemiah. Some just 10 years ago were desperately poor.This is rarely possible in Kenya.

Wake up guys ACHENI WIVU, actually did I tell you the name of the game is to move forward. Sasa kama unajikuta umestuck kwenye stereotyping, uvivu wa kufikiri na kutenda is up to you.

BIG UP NEHEMEIAH, GET GOING BUDDY!!!!!!

issue as most have repeated in here ni role ya Chilingati and the whole E&Y saga!! Mkuu unasema u have seen it all?? Really? Mkoani au Dar-es-salaam???..coz God Fathers do exist kila kona, hiyo issue inaweza HITAJI its own thread! Hope your intention is not to open pandoras box!! Waziri kukataa recomendation from an Internationaly competent company pay them then appoint another one to do the 'right' job= Wivu??
 
Hivi lile sakata la vitambulisho la kijana Masha huyu mzee Luhanjo hakuna mkono wake kweli?

Ahhh sasa tusiende kule maana utaambiwa ohhh wana USALAMA WA TAIFA wametoa amri thread ifungwe

lets stick to this kwanza...
 
issue as most have repeated in here ni role ya Chilingati and the whole E&Y saga!! Mkuu unasema u have seen it all?? Really? Mkoani au Dar-es-salaam???..coz God Fathers do exist kila kona, hiyo issue inaweza HITAJI its own thread! Hope your intention is not to open pandoras box!! Waziri kukataa recomendation from an Internationaly competent company pay them then appoint another one to do the 'right' job= Wivu??

lakini usisahau kuwa Chiligati naye inawezekana alikuwa anafuata instructions from LUHANJO!
 
Yaani wewe hujaona majibu, lazima ni kilaza kweli,

1) Jamaa aliaply
2)alikuwa shorlisted
3)alifanyiwa interview

umeambiwa mwaka aliojiunga CBA ambao hauhusiani na EPA, sasa unataka data gani. Na kazi imekwenda na mimi walau nilikuwa kwenye mchakato wa kupata kazi. Sasa machozi yako ya mamba ni ya nini? Ahaa vilaza kweli mnatabu!!!!!!!!!!

Maskini resorting to Matusi..Clearly u came here jus for this thread..nenda jukwaaa la mapenzi, udaku kama huku siasa haujakupenda...karibu JF!!
 
Ama kweli, kwanza sikuamini kwamba haya ya kupindapinda yangewezekana kwa nafasi kubwa kama ya DG NHC! Kumbe nilikuwa sio sahihi. Na sasa naelewa mengi zaidi, asanteni kwa kushtua bongo lala yangu!!!

Kumekuwepo na shinikizo nyingi NHC iuze nyumba zake kwa vigogo na hasa baada ya lile sakata la kuwauzia civil servants nyumba. Mle ndani kuna ubishi mkubwa kati ya idara mbili, moja ya miliki(Property Management) na nyingine ya ujenzi(Property Development). Property Management haitakiwi kwa kisingizio kwamba NHC inatakiwa ijenge nyumba za kuuza(tena kuna hela nyingi, Magufuli aliwahi kusema serikali imetenga Shs 50 billion, sasa sijui hizo kama zilitoka kweli au la, na hata Balozi yule mweusi wa Marekani 2005/6 aliahidi kutoka mihela kibao, nadhani around same figure) na kuachana na rental housing. Dhana hii ikifanyikiwa basi ardhi ile yenye kutamaniwa katikati ya miji itakuwa imepatikana kwa wenye kuzitaka.

Bila shaka sio rahisi wale mle NHC wakashawishika kuuza ardhi waliyonayo(wewe sema nyumba) maeneo prime. Ni mtu anayetoka nje tu asiyekuwa na taaluma ya ardhi (property management and valuation)! Na huyu Nehemia anaonekana mchapa kazi, anaweza asijue kwa nini amepelekwa kule. Pengine ni mtiifu na mchapa kazi, akipewa amri atatenda na hapooooooooooo

Ni hadi lini!!!

Asante GT
 
Maskini resorting to Matusi..Clearly u came here jus for this thread..nenda jukwaaa la mapenzi, udaku kama huku siasa haujakupenda...karibu JF!!

Join Date: Sun Mar 2010
icon6.gif

Posts: 10
Thanks: 0
Thanked 12 Times in 7 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
 
Ahhh sasa tusiende kule maana utaambiwa ohhh wana USALAMA WA TAIFA wametoa amri thread ifungwe

lets stick to this kwanza...

Nashukuru kujua kuwa tukiona thread imekuwa "TRASHED" kumbe huwa pana shinikizo toka USALAMA WA TAIFA, lakini wakumbuke kuwa ukipiga ngumi maji yenyewe yatapisha ila tatizo ni wakati maji yakikusanyika kwa wingi na kuanza safari itwaayo mafuriko basi ballaaa hilo haliangalii nyumba wala ngumi yako wala takataka, vyote ni safari isiyojulikana mwisho wake
 
Malafyale hoja zako za wivu wameshajibiwa wenzako humu ndani,. soma thread vizuri, uone tuliwapa majibu gani!

I wonder mkuu tangu 2007 mpaka leo umeweza kuwa member wa forums ya wana majungu??

Nani aliyesema humu Nehemia ana matatizo/ tuna hoji utaratibu, na kama utaratibu mbovu, Nehemia anabaki mtu safi kabisa ila nafasi ile pale NHC inabakia ya mtu ambaye si halali kuwepo pale!!

mkuu mvumilivu sana, nimependa uvumilivu wako, miaka 3, unajadili majungu!

Wenzako tulimpa big up kabla yako, kwenye thread nyingine, mbona haukulaumu?

Mkuu did you mean Nyambala?

Pia nimejiuliza kwenye posting hii hapo chini kuhusiana na uendeshwaji wa NHC....Yani mwananchi is a looser aall the way,kwanza anaporwa nyumba,then $ 10,000.00+(10,000-5,000)=$ 15,000.00 + $ 150,000=$175,000.00 kama niko sahihi.....Hii inaonyesha mwananchi at the end gets nothing,ukiwauliza wanaweza kusema wanalipa kodi...Mimi najiuliza hata hivyo,hivi ni ya kweli haya?Kama kweli then "The facts speaks for themselves"
Rev Kishoka said:
NHC wanajenga nyumba kwa dola $10,000.00 ambazo ni kodi ya mwananchi, na kumuuzia Mama Chiligati kwa dola $ !5,000.00 na yeye Mama Chiligati anaiuza ka Ubalozi wa Kuwait kwa dola $150,000.00!
 
Mkuu did you mean Nyambala?

"

Nyambala nasikia ni sawa na kusema malafyale kwa wanyaki watanisahihisha hapa.

Hii nchi ukiwaza sana unaona kumbe kuna raia wa kawaida wanabariki huu uchafu wa serikali. too bad!!
 
Back
Top Bottom