Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

WomanOfSubstance head hunting ipo hata serikalini. Richmond, Dowans, Kagoda, Meremeta, Rada, na Kashfa nyingine zinazofanana na hizo ni matokeo ya head hunting ya kiserikali. Yaani viongozi wa serikali wana head hunt mfanyabiashara ambaye wanadhani anakidhi vigezo vyao kisha wanampa fursa ya kuchukua pesa za umma ili hatimaye wagawane.

Mkuu nimependa mtazamo wako juu ya serikali kufanya head hunting kwa wafanyabiashara hasa kwenye hizi deal kubwa kubwa kama ulivyozitaja.

Na kwa namna serikali yetu inavyochakata head hunting, hakuna sababu ya kuendelea na utaratibu huo, bora wateuane tu tujue moja.
 
No wonder hilo linchi haliendelei yaani ni majungu majungu, ubinafsi, udaku kila kukicha. Kwa kifupi the guy if fit and proper for job. Has all the qualities na performing record. Sasa nyie mnaotaka the likes of Dr. or Profs ambao many of them have never led any organization, a company or just a small firm of their own kwa kweli mnanishangaza. How many drs and profs are there in the parliament, our ministries, public company boards?? What are they doing? What have they done?

It makes me sick kuona kwamba bado kuna lots of people wanaamini huwezi kupata a good job bila God father. I wonder which countries you guys are living. But the one I know pamoja na mapungufu yake yote in Tz you can be anybody kama unaperform consistently and with vision. Hivi watu hamjajua kwamba kuna upungufu wa proffessionals in many areas in TZ. I have been there done that and many of my friends too. Most of the middle and top management guys in Tz are just sons and daughters of common backgrounds including Nehemiah. Some just 10 years ago were desperately poor.This is rarely possible in Kenya.

Wake up guys ACHENI WIVU, actually did I tell you the name of the game is to move forward. Sasa kama unajikuta umestuck kwenye stereotyping, uvivu wa kufikiri na kutenda is up to you.

BIG UP NEHEMEIAH, GET GOING BUDDY!!!!!!



Thank you very much kwa kutueleza ukweli
Watanzania tunalalamika sana na majumgu mengi.
if you work hard trust me it pays
Tuache uvivu na kulalamika tuuuuuuuuuuuu
 
kijana ni mchapakazi
very talented,
tatizo watanzania mmezoea macv page mia oooh x alikuwa mkurugenzi mara trc akaenda tpc akaenda trl sijui wapi amesoma chuo sijui wapi na wapi ana phd sasa mambo yamebadilika onyesha uwezo wako upewe kazi
 
bado humo tu humu, wewe unasema uliapply kazi hiyo, haukujibu ulizipata vipi taarifa hizo za kazi.

ukasema mliapply watu 100 na wakapunguzwa mpaka 26.

majina ya waliokuwa shortlisted (kwanza 100 na pili 26) yalitolewa chombo gani cha habari? na ni kampuni gani ya pili iliyoendesha mchakato?

Tatu; si kweli katika watanzania millioni 40 hakupatikana mtu wa kuliongoza shirika. Kumbuka mwaka mmoja kabla GT alishaweka angalizo kuwa kuna ufisadi unatokea pale, tulivyorise hoja ukana na maneno mengi , kuwa tunaona wivu, vilaza, GT akupe CV, na maneno mengi kem kem. Unless hauijui Tanzania, watu wamesoma na wana uwezo, let this be known to you from this day!!!!

Leo unakuja na post ambayo imevaa ngozi ya kondoo ili hali post yenyewe ni mbwa mwitu

Ulichoandika hapo bado hakina uzalendo wala tija katika hili taifa, tunataka procedure zifuatwe, siyo watu wawe picked kutokana na wanavyofahamika, hili linakuingia akalini? we need equal chances kwa kila mtanzania!

Kusema tuige dubai, malaysia n.k ni siasa hakuna anayekataa kutaka damu changa serikalini, katika hizo damu changa tuna vijana waliosoma nje wamerudi nchini hawana kazi au wako kwenye makampuni mengine na wana uwezo, kuna waliosoma vyuo vya ndani hawana kazi au wanazo na wana uwezo.

Sidhani kama hauelewi ninamaanisha nini, wewe ni msomi unaelewa tunayosema 'nafasi sawa kwa wote' !!

ulishasema vilaza sisi leo hii naona uko tayari kujadili na vilaza weye kipanga jibu hoja!

Hizo kwenye red ni politics, na funika kombe mwanaharamu apite.

Hukujibu maswali ya msingi, umerudi na kujifanya unauma na kupulizia





Ok let me ask you,
Kuna data base yeyote inayoonyesha majina ya hard workers hapa Tanzania????
Huyo raisi atajuaje kama kampuni fulani kuna mtu hard worker??
Lazima kuna mtu ambaye yuko karibu nae na akamtonya kuwa kuna huyo kijana!!
So if you know the hardworking guys .. wee and good as ndio tunaotaka walete mabadiliko just go and ask the president awachukue maana mashirika mengi yameoza!!
 
Hakika Mleta Mada I hope kama ni Intellectual UTAKUWA UMEVUNA NI AINA GANI YA MTU ULITAKA KUJUA PROFILE YAKE,hasa katika kipindi hiki ambacho ANAONYESHA UWEZO WAKE KAMA KIONGOZI WA SHIRIKA.

Nina hofu kuwa uwezo wako wa kuanalys mwenendo mzima wa utendaji wa huyu jamaa wewe una agenda yako binafsi nje na ukweli halisi wa HOJA.
Ni kwa lipi hasa ukaanzisha mada baada ya kuona utendaji wa CEO huyo uko kwenye pick ya makucha yake na si vinginevyo.

Au lengo ni kuibua UASI-AU TASWIRA HASI [NEGATIVITY] kwa Wana JF ambao ni Intellectual yasemwe mabaya yake magazeti yadakie kuyakuza kumualibu.

Sina Interest Binafsi na Jamaa huyu,mimi jamvini nilishaweka msimamo wangu kuwa Tanzania kwangu kwanza mengine baadae.Huyu Nehemia kwangu namuona kama aina mpya ya vijana wapya wenye moyo wa kulijenga TAIFA.ambao wanatumia akili zao zote kuleta changes dhidi ya mfumo wa mazoea yaleyale ya kila siku ya Watanzania wa toka zama zile za mwaka arobaini na saba.

Ninapokuona Wewe ambae kwa upeo wangu wa kukuta jamvini kama moja ya wadau wenye mchango wa aina yake humu jamvini naona kama NITENGENEZE ALAMA YA KUJIULIZA, kweli wewe ni mpiganaji mwenye FIKRA BINAFSI [FREE MIND] au ni aina ya Machine zinazotumika kwa remote.

Kwa kuwa naamini daima Fikra Binafsi [Free Mind] duniani walio wengi wanafanana uelewa wa mambo ya msingi, na daima wanasimamia wanachokiamini.

Kuna aina tatu za watu hapa duniani kuna, wale wanaosababisha mambo yatokee,kuna wale wanaoshangaa yaliyotokea na kuna wale wasiojua yaliyotokea.[There are three kind of people in the world, those who make things happen,those who wonder what happen and those who dont know what happen]. Kama ungekuwa kwenye kundi la kwanza nina hakika usingetoa thread hii bali ungeleta thread ya kuomba changamoto ambayo inataka kujua IMEKUWAJE NHC Wameweza kutupa Nje vyombo vya Wizara ili wizara ilipe kodi inayodaiwa ukizingatia wote ni mali ya Serikali.Na kupitia thread hiyo ungepata kujua mwamko wa mchango wa wanajamii juu ya tukio zima la zoezi analoendesha jamaa huyu ambalo linaendelea kwa sasa kwenye kada zote kuanzia Serikalini mpaka kwa Wahindi, Waasia na nbaadhi ya Wamatumbi waliokaa kwenye nyumba za NHC kwa miaka nenda ludi bila kulipa kodi wala kuama kuwapisha wengine kuishi kwenye nyumba hizo

Unaleta thread yenye nia ya kudemolish yale yote aliyoyaanza ya kuleta mabadiliko ambayo vijana wa kizazi kipya wanataka kuona, ili kuleta zama mpya za mageuzi ya Serikali.

Hatimae leo hii ameendelea huko Wizara ya Utamaduni na Habari katupa Nje vyombo vya IDALA YA MAELEZO NA HABARI ambao wanadaiwa millinoni themani [80,000,000] na wizara yote ya utamaduni ina daiwa jumla ya shilingi Millioni Miatatu [300,000.000].Inachekesha kuwa unadilki kuleta thread isiyio na picha ya uzarendo hata kidogo tena imekaa kimajungu ya kiasia.Nilikua na kuheshimu lakini kuna thread moja iliyopita huko nyuma nilitia shaka nikiunga na hii bro please uwe Mtanzania.

Wana wa Wachina wanasema a picture speaks a thousands words, sichelei kukujudge kupitia picha yako, It speaks a thousands words about you.Jaribu kuwa Jeshi la Mtu mmoja kama Mzee Mwanakijiji usishutumu watu zungumza issues.Na kama mdau mmoja anasema Its a Government head hunting kidogo inaingia kichwani angalau kuweka mambo sawa manake ukiwa na watu walio alibika kwa sababu ya mfumo basi unabudi kuwa na vetting.
 
Safi sana Nehemia Kyando

sasa umeanza kuonyesha kweli wewe ni mchapa kazi,ingawaje mafisadi wanataka kukuhonga hizo milioni 500 waeleze katu haitowezekana moto ni uleule uliomnyoa kanga manyoya

tunaona mabadiliko NHC nyumba zote umepaka rangi sasa tunazitambuwa zipi ni nyumba za NHC na zipi si nyumba za NHC, na yote yanayotokea ndani ya NHC lengo ni kulifanya shilika letu NHC kujiendesha kama lilivyokuwa zamani

kazi njema Nehemia
we call this weed overdose....

Nehemia kyando???

No wonder Odinga anataka kuhalalisha mirungi, coz people are high with or without
 
Nehemia Mchechu & his team are great guys who are results oriented. People are great only if they determine to be so. Ukiona hizi vurugu ujue kuwa jamaa wame-hit the right target, tuwapeni moyo kwa kuwa NHC ikifanikiwa ni fahari kwetu sote.
 
Ila twende mbele turudi nyuma kajamaa kanafanya kazi inayoonekana. Siungi mkono ukiukwaji wa taratibu kama ulikuwepo ila pia utaratibu unaweza kutufanya tukapata watu ambao si wachapa kazi. Kuna wakati kiongozi anaweza akaona mtu fulani atafaa mahala fulani kwa sababu za utendaji. Kama atafanya kazi kama inavyotakiwa sioni shida. Ambao wamechaguliwa kwa utaratibu wako wapi na wanafanya nini? Tumuache kijana na team yake wachape kazi. Kwa sasa hata nyumba za NHC zinaonekana; zimepakwa rangi. Kabla ya Mchechu tulikuwa hatujui zipi ni nyumba za NHC manake zingine zilikuwa magofu na kwa kutotambulika huenda wajanja wachache walishajimilikisha nyumba za NHC. Kijana chapa mzigo watu waone wenyewe!
 
Nimesoma mengi sana nimebaini kwamba wachangiaji wengi wanafuata upepo na hili ni tatizo, Binafsi nampongeza kijana huyu kwa kazi nzuri anayoendelea nayo na kama serikali inataka tuendelee kuiamini angalau kwa miaka mitatu iliyobakia wasimbadilishie kitengo huyu Mkurugenzi. Let him finish his plan and let us see the result and the the expectation. BIG UP NEHEMIAH MCHECHU KYANDO
 
Ni mpumbavu tu na mjinga anayeweza kugeuka nyuma na kuanza kujiuliza namna Nehemia alivyopatikana. Ni mijitu mingapi ipo kwenye system ambayo ilipatokana kwa utaratibu usiotiriwa shaka lakini inaboronga kazi! Tatizo la nchi yetu ni majungu na ndiyo haka kataifa kameendelea kuwa na rekodi nzuri ya umaskini miaka na miaka. Binafsi namtazama NEHEMIA kama kijana wa mfano wa kuigwa kwa jinsi anavyochapa kazi na kuleta mabadiliko makubwa kwenye shirika goigoi la NHC ndani ya muda mfupi. Ukisoma mipango waliyonayo na speed wanayokwenda nayo huwezi kuchelea kuamini kuwa hakika nchi hii ikipata vijana wa aina ya NEHEMIA katika sekta zingone nyeti badi umaskini tutaanza kuuaga taratibu. Mtoa mada anajidhihirisha kuwa ni miongoni mwa waathirika wa kasi na viwango vya timu nzima ya huyu kijana NEHEMIA. Watanzania tusikubali kamwe kurudishwa nyuma na mijitu ya aina ya mtoa mada. Hatutafika mbali.
 
Nduguyangu hihi ndo Tanzania kila mtu akiwekwa mahali anakua kwa faida ya kiongozi fulani
 
Everybody accepts that this guy gonna make a change in NHC and it is now very clear that the guy didnt apply for the job based on GT and further clarification from TV. And it is now clear that the guy was a target by the President himself as a person who can transform the corporation abnd bring more houses in Tanzania.

So if the President by constitutional has the power to pick the Executives on his wish then lets blame our good constituional. And if the president picks the wrong person then we should blame him. It doesnt make a sense at this point to keep on debating the matter which is very clearly known that the guy was handpicked.

However, I warn Nehemia that if he was picked to drive the interest of the few corrupt people then he is done, but I have no doubt with the perfomance that he has done in every place he has worked and especially on transforming the loss making Bank into a profit making within one year.

As a person I was impressed with his journey on career growth which I saw on the MAN magazine of February 2010, its inspiring and we need few people who can be our good ambassador especially to the youth. Within the Banking Industry he has done all of us Young Tanzanians proud and he can do a lot of things out there, Go boyyyyyyyyyyyy go!!!!!!!!!!!!!

naona baada ya mwaka maneno yako yanakuwa kweli
 
Anachofanya nehemia ni kizuri lakini taratibu hazikufuatwa.
Je kwa kufuata taratibu asingepatikana wa aina ya nehemia?
Je taratibu zilizopindishwa, zilisababisha wengine wenye elimu zaidi yake wakose sifa au kuongeza ushindani?
 
badala ya kupiga jungu kwa 'hand picked' MCHAPAKAZI aliyethibitika, tupeleke nguvu kwa wale 'wana utaratibu' BORA-MSHAHARA waliothibitika, tunao weeengi mno. Otherwise tumirogwa, sio wazima!
 
Hili ndo tatizo la viongozi wa bongo hawajali maslai ya taifa wameweka mbele matumbo yao tu ila wajue dhuluma hii wanayowafanyia watanzania ina mwisho wake
 
bado humo tu humu, wewe unasema uliapply kazi hiyo, haukujibu ulizipata vipi taarifa hizo za kazi.

ukasema mliapply watu 100 na wakapunguzwa mpaka 26.

majina ya waliokuwa shortlisted (kwanza 100 na pili 26) yalitolewa chombo gani cha habari? na ni kampuni gani ya pili iliyoendesha mchakato?

Tatu; si kweli katika watanzania millioni 40 hakupatikana mtu wa kuliongoza shirika. Kumbuka mwaka mmoja kabla GT alishaweka angalizo kuwa kuna ufisadi unatokea pale, tulivyorise hoja ukana na maneno mengi , kuwa tunaona wivu, vilaza, GT akupe CV, na maneno mengi kem kem. Unless hauijui Tanzania, watu wamesoma na wana uwezo, let this be known to you from this day!!!!

Leo unakuja na post ambayo imevaa ngozi ya kondoo ili hali post yenyewe ni mbwa mwitu

Ulichoandika hapo bado hakina uzalendo wala tija katika hili taifa, tunataka procedure zifuatwe, siyo watu wawe picked kutokana na wanavyofahamika, hili linakuingia akalini? we need equal chances kwa kila mtanzania!

Kusema tuige dubai, malaysia n.k ni siasa hakuna anayekataa kutaka damu changa serikalini, katika hizo damu changa tuna vijana waliosoma nje wamerudi nchini hawana kazi au wako kwenye makampuni mengine na wana uwezo, kuna waliosoma vyuo vya ndani hawana kazi au wanazo na wana uwezo.

Sidhani kama hauelewi ninamaanisha nini, wewe ni msomi unaelewa tunayosema 'nafasi sawa kwa wote' !!

ulishasema vilaza sisi leo hii naona uko tayari kujadili na vilaza weye kipanga jibu hoja!

Hizo kwenye red ni politics, na funika kombe mwanaharamu apite.

Hukujibu maswali ya msingi, umerudi na kujifanya unauma na kupulizia
M'I seeing name calling here au ni ma hang over yangu yananisumbua?!. Hizi post za huyu Eng. zikiwa quoted zinageuka za member mwingine humu?!. Ni mimi tuu au kuna mwingine ameona hili?.
 
Ok let me ask you,
Kuna data base yeyote inayoonyesha majina ya hard workers hapa Tanzania????
Huyo raisi atajuaje kama kampuni fulani kuna mtu hard worker??
Lazima kuna mtu ambaye yuko karibu nae na akamtonya kuwa kuna huyo kijana!!
So if you know the hardworking guys .. wee and good as ndio tunaotaka walete mabadiliko just go and ask the president awachukue maana mashirika mengi yameoza!!

Rais anapata taarifa nyingi kuhusu masuala mbalimbali kupitia watu wanaofanyakazi hiyo. Lakini mbona mshikaji anapiga mzigo sana? Ulishasikia wapi DG wa NHC anatoa wapangaji zikiwamo idara za Serikali kama Habari (MAELEZO)? hata kama kapendelewa kazi yake inaonekana.
 
Mmmh!!this country bana...najionea wenge tu,, thank great thinker
 
Kwa kuanza tuu napenda niwafahamishe kuwa namfahamu BINAFSI huyu NEHEMIA hivyo sina kinyongo wala matatizo naye if anything nilimfahamisha what to expect alipopewa taarifa ya uteuzi huu miez kadhaa iliyopita.

By definition UFISADI pamoja na kuibia serikali ..tunaweza kusema ni kurudisha maendeleo nyuma na kuwa na upendeleo wa dhahiri kwenye ajira serikalini including NHC!

Nadhani mnakumbuka takriban miezi sita iliyopita nilileta thread ya uteuzi wa DG mpya wa NHC na nikaelezea jinsi uhuni ulivyokuwa umefanywa ili kukidhi profile ya baadhi ya watu. Uhuni huu haukufanywa na mwingine bali IKULU ambako walitoa maagizo kuwa tangazo la awali la nafasi hii iliyotolewa gazetini ibadilishwe...in short tangazo la nafasi ya hii la mwanzo lilitaka mtu mwenye qualifications kem kem baadae tangazo la pili lililotoka likawa limepunzuza sifa za anayetakiwa ...bila maelezo yoyote ile.


Ukweli wa uteuzi huu wa nehemia ni kama ufuatavyo:


1.Nehemia HAKUOMBA kazi hii kama ambayo sheria ilitaka afanye

2. Nehemia hakuitwa kwenye USAILI kama ambavyo sheria ilitaka ifuatwe

3. Nehemia kamapata kwa sababu ya presha na ufisadi wa hali ya juu uliyofanywa na Katibu Mkuu wa Ikulu bwana LUHANJO

4. Ambao walioomba na wakaitwa kwenye usaili hawajaandikiwa barua ni sababu zipi walikosa halafu kazi akaewa ambaye hakuomba hiyo kazi in the first place.



Sasa in the wake of haya ya kumsifia Nehemia na mengineyo tusisahau kuwa kuna uteuzi kama huu unaweza kuja kufanywa na rais na nadhani ni muhimu watu wasilalamike kuhusu FAIRNESS kama ambavyo hawalalamiki kuhusu procedures zilizotumika kumpata huyu Bwana NEHEMIA....isije ikawa Mkuki Kwa Nguruwe...


If anything hata kama Luhanjo alikuwa anamtaka kijana wake what was so difficult or worong UTARATIBU ukafuatwa?



His excellent perforamance so far has vindicated him and all the stuff by this by greedy people will not achieve anything. Kudos Mchechu!
 
Back
Top Bottom