Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,142
- 6,947
Hakuna makabila ya wasiosoma,huo ni mwimbo wa kuwapumbaza watu.Tatizo la watu wengine ni kama mang'ombe tu,badala ya kujadili maada unanza kutaja makabila ya watu. Kama kabila lako halikwenda shule shauri yako, si baba zenu na babu zenu walisema elimu maghalibi ni ukafiri sasa mnalalamika nini. Wafufue babu zenu muwachape viboko kwa kosa walilofanya.