UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

WACHAGA mnataka kila sehem awe 'lyimo', Ndo tatizo lenu, sasa yupo Idrisa UDOM mnampa chokochoko. Akiwa Ramadhani Dau NSSF wadini, ila TRA , Wizara ya fedha, UDSM hatusemi...wachaga majinga sana na mtakaa hamtatawala kamwe. CHADEMA BADILIKENI JAMANI. Bahati mbaya au nzuri nchi ni ya dini mbili TZ keki lazma tule wote. Mtakapo taka kuwasahau waislam hamtatawala nchi....Embu jiangalieni ni lini CHADEMA MMESIMAMA MKATETEA WAISLAM? Kila siku mnapinga mnapinga tu. mnapoteza kura ambazo mmezipata....jipimeni CDM.

Natamani ungekuwa UDOM pengine ungekuwa na la kuchangia. Udini na ukabila naona unakutesa sana. Kuwa mwelewa, UDOM kuna tatizo na kamwe haliwezi kwisha kwani udini na ukabila umeshakuwa tatizo kama ninavyokusoma hapa!
 
yaani mngemjua huyo kikula hata msingesema yote hayo, kwani anaishi kimagharibi na ameoa mkiristo, kiufupi hana mchango ktk uislamu ila jina lake ndio linamponza ndio mana wakiristo hampati usingizi kwa roho mbaya zenu.

Ur right nimeisha piga naye sana mitungi
 
Yaani hawa watu wakiona Mwislamu anaongoza mahali ni kelele kama za chura halafu wanatuma gazeti lao la Chadema Daima kwenda kupotosha mambo zaidi.Huu udini wenu unamwisho tu.Mbona hamzungumzia Udsm,Ifm,Mzumbe mmebaki Udom tu

Kwa sabab mna inferior complexity, why udom tu watu wanalalamika udini...think!!
 
........Namshangaa ! Hajui kuna WachaMungu na wachamtu !
Nyie hamuwezi kuwa wacha Mungu, kama mungu wenu anawahimiza kufanya hayo mnayofanya, then am better off than him, mtaishia tu kufuga midevu!
 
Awamjui jamaa Kweli kwanza Kikula Hata mke wake mkristo hana mambo ya udini kabisa!!
 
Yaani hawa watu wakiona Mwislamu anaongoza mahali ni kelele kama za chura halafu wanatuma gazeti lao la Chadema Daima kwenda kupotosha mambo zaidi.Huu udini wenu unamwisho tu.Mbona hamzungumzia Udsm,Ifm,Mzumbe mmebaki Udom tu
Hili ulilomalizia ndo swali la msingi ulilopaswa kulitolea hoja na si kuliuliza. Kwanini ni UDOM ndo inasemwa kwa udini na sio vyuo vingine? Kuna nini cha kipekee hadi iwe UDOM na sio vyuo vingine 41 vilivyobaki?
 
WACHAGA mnataka kila sehem awe 'lyimo', Ndo tatizo lenu, sasa yupo Idrisa UDOM mnampa chokochoko. Akiwa Ramadhani Dau NSSF wadini, ila TRA , Wizara ya fedha, UDSM hatusemi...wachaga majinga sana na mtakaa hamtatawala kamwe. CHADEMA BADILIKENI JAMANI. Bahati mbaya au nzuri nchi ni ya dini mbili TZ keki lazma tule wote. Mtakapo taka kuwasahau waislam hamtatawala nchi....Embu jiangalieni ni lini CHADEMA MMESIMAMA MKATETEA WAISLAM? Kila siku mnapinga mnapinga tu. mnapoteza kura ambazo mmezipata....jipimeni CDM.

IQ yako ni kama tope vile...!

Na ndio CCM inawataka watu wa akili kama zako ili wawatawale hadi wajukuu na vitukuu vyao...!

You are near finish if having such upside down mental ability! Hili sio suala la Wachagga, wapare, wahaya au kabila lolote! This is a national issue and future sustainability of any nation having a right direction...ila kwa hata Tz na CCM yako, utaimba kama zuzu...siku zinakuja!
 
Inasikitisha watu mna argue bila kuwa na details husika, ukiongelea udini ni aspect kubwa sana, angalia in terms of quantity baina ya wakristo na uislamu among students, instructors and administrators then utaona kama kuna ukweli. angalia privilege kwa maana kama wa islamu wanapewa additional benefit in any aspect among mentioned three institution stakeholders. mitandao hii ya jamii inaweza tumika vibaya au vizuri depending on how people arque based on site truth. msiwe watu wa kuandika tu either kwa kusikia au kwa kujisikia. lakini our nation is going through a lots of important challenges that need to be addressed well let this go, let us focus on important issues,...pamoja tunaweza
 
Hili ulilomalizia ndo swali la msingi ulilopaswa kulitolea hoja na si kuliuliza. Kwanini ni UDOM ndo inasemwa kwa udini na sio vyuo vingine? Kuna nini cha kipekee hadi iwe UDOM na sio vyuo vingine 41 vilivyobaki?
kisa ktk udahili wa wanafunzi na wafanyakazi hakuna uchakachuaji hivyo waislam nao kupata nafasi!
 
Nini Maana ya UDINI?

Kufanya chocote kwa kuangalia Dini kama kigezo kikuu.

Mfano Kikwete anapofanya Uteuzi anaangalia kwanza dini kisa wakristo au waislam wasikasirike basi anateua wakristo na waislam sawa kwa sawa baada ya uwezo wa wateuliwa.
 
Udom na msikiti wa gadafi si vimejengwa na bakwata?aaah natania tu,kwani hicho chuo kikuu afrika mashariki na kati hamna mambo ya msingi?
 
Tatizo la watu wengine ni kama mang'ombe tu,badala ya kujadili maada unanza kutaja makabila ya watu. Kama kabila lako halikwenda shule shauri yako, si baba zenu na babu zenu walisema elimu maghalibi ni ukafiri sasa mnalalamika nini. Wafufue babu zenu muwachape viboko kwa kosa walilofanya.
 
Tanzania nchi ya ajabu sana madini yanaporwa watu wanagombania kuchinja kitoweo,na kujadili udini.
 
kisa ktk udahili wa wanafunzi na wafanyakazi hakuna uchakachuaji hivyo waislam nao kupata nafasi!

Unazungumziaje upangaji wa wanafunzi kutokana na dini zao mwabwenini? Huoni kwamba likiendelea hili AnswarSuni wataanza kuwaona waislam wengine hawafai na wao wataanza kuomba kupangiwa peke yao? Na wa kristo hivyohivyo, walokole wakisema wa lutheri sio wakristo sana na wanataka kujitenga nao itakuwaje?

Ni juavyo mimi kigezo pekee kinachokubalika kutenganisha watu vyuoni ni Masomo tu na sio Dini. Kwa maana unaweza kuwapanga wa Kozi moja pamoja na sio wa dini moja pamoja kama kigezo.

Am Muslim nimesoma sekondari na Msalaba kifuani kwenye shati kuna Label, darasani kuna msalaba na sanamu ya bikira maria, vipindi vya Dini vinafanyika Ijumaa Saa Tatu mpaka saa nne na tukiwa na mavazi hayohayo tunajikusanya kama waislam na kushiriki mafunzo yetu.

Chuo nimesoma na Mate Mlokole tena Mlokole kwelikweli lakini haikuwa kikwazo kwangu na wala kwake tumeheshimiana na kushirikiana kama au zaidi hata ya ma Mate wengine, Na hakuna hata sikumoja mmoja wetu amewahi kufikiria kwenda kwa Dean kuomba kutenganishwa.
 
makafiri hawatakuwa na radhi nanyi hadi mfuate mila zao,. vyuo vyote vina udini
 
Hivi tz udini mkubwa sana au unazungumziwa sana au unakuzwa sana then hawa gazet yaani wameenda udom wamemhoji mwanafunzi mmoja kati ya maelfu ambao wako pale na kuthibitisha madai ya hayo kwa kumsikiliza mtu mmoja tu?inabidi muda mwingine tutumie akili yaani twende udsm tumchukue mtu 1 aseme kuna ukabila waruguru wametawala chuo then tufikie conclusion kua ni kweli
 
Back
Top Bottom