UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

MUNGU anatubariki wote. Sisi sote ni wana wa MUNGU. Kwanini tunagombana na kuchukiana?. Dini zote mbili zinapinga chuki na zinatangaza upendo. Yaani unamchukia Misilamu?au Mwikilisito?. Ukiwa na chuki tu hauwi Muisilimu au Mukilisito. Mwenye chuki ni mushetani.
Inawezekana tatizo ni tafsir hapo ni maelekezo ya allah yatekeleze ili usiwe chuki [emoji117]
jZ3gVmns.jpg
Ukristo sio deen [emoji117]
1394081270.jpg
550ecb67b4fa323daf1d80dd63441d2c.png
 
JPM alijuwa kuwanyoshaa wazee wa ubani
JK alipiga hesabu akaona kwa vyuo vilivyokuwepo hakukuwa na uwezekano wa kuwabeba wavaa kobazi akapenyea kwa UDoM ndiko alikopeleka watu wa hovyo kama akina profesa Shabani Mlacha akawapika wavaa kobazi wasio na sifa then akaanza kuwajaza NSSF na kwingineko.
 
Shi
sawa kaoa mkristo anaishi ki magharibi lakini kashindwa kuongoza chuo kwani hizo tofauti, unaojengeka chini ya uongozi wake si mzuri, ni sawa mimi na wewe tukiwa ofisi moja , tusipewe chumba kimoja, wateja wako, wawe wa dini moja, itakuwa sawa. maana tutaishia hata mikutano tuna fanya tofauti maana agenda zinatofautiana
Shida nimegundua hapo mzulumati anaishi kwahofu hofu yao mnahisi waislam wanawajadili nyie wewe unakula kitimoto unataka tushee kilakitu tukutane darasani bana wangegaiwa darasalao hapo ingekuwa kosa
 
Back
Top Bottom