UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

MWEZI Februari 2007,
R a i s w a J a m h u r i y a
Muungano wa Tanzania,
M h e s h i m i w a J a k a y a
Mrisho Kikwete alimteuwa
Profesa Idris Kikula kuwa
Makamu Mkuu wa Chuo
K i k u u c h a D o d o m a ,
yaani UDOM na Profesa
Shaaban Mlacha kuwa
Naibu Makamu Mkuu wa
Chuo hicho kwa upande wa
Utawala na Fedha. Aidha
Mhe Kikwete alimteuwa
Profesa Ludovick Kinabo
kuwa Naibu Makamu Mkuu
wa Chuo hicho kwa upande
wa Taaluma. Viongozi
hawa wakubwa watatu
wamekuwa wakifanya
kazi chini ya Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dodoma
Mhe. Benjamin William
Mkapa, Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania. Baada ya
uteuzi wao, viongozi hao
walishughulikia kujenga
Chuo cha UDOM ambapo
ilipofika mwezi Agosti 2007,
wanafunzi wapatao 5,000
walidahiliwa chuoni hapo
na masomo yakaanza.
Mara tu baada ya chuo
kufunguliwa, tuhuma kadhaa
zenye hisia kali za kidini
zilianza kuelekezwa kwenye
uongozi wa Chuo na hasa
kwa Profesa Kikula na
Profesa Mlacha. Baadhi tu
ya shutuhuma hizo ni kuwa
Chuo cha UDOM kinafungwa
kabisa siku za Ijumaa ili
kuwapa nafasi wanafunzi
waende kuswali msikitini.
Kwa upande wa udahili wa
wanafunzi, shutuma kali
zimeelekezwa kwa Ma-
Profesa hawa wawili kuwa
wanadahili wanafunzi wa
Kiislamu tu na kuwanyima
Wakristo nafasi ya kusoma
hapo chuoni. Shutuma hizo
hazikuishia hapo. Wapo watu
waliodai kuwa wanafunzi
WOTE wa kike wanaosoma
Chuoni hapo, bila kujali dini
zao, wanalazimishwa kuvaa
“Hijab”, vazi la stara kwa
mabinti wa Kiislamu.
Tuhumu hizi na nyingine
nyingi zimeendelea tokea
chuo kianzishwe. Waislamu
wamekuwa wakizipuuza
tuhuma hizi kwa sababu
ni UWONGO MTUPU na
walidhani kuwa wanaotoa
tuhuma hizi ni watu wasiojua
kitu. Jambo la kushangaza na
kusitusha sana ni kitendo cha
Mhe Joseph Roman Selasini
Shao Mbunge wa Rombo
(CHADEMA) alipojiunga
na kundi hilo na kutoa kauli
Bungeni zilizoashiria kuwa
UDOM kuna udini kwa
maana ya kuwa Waislamu
w a n a w a k a n d a m i z a
Wakristo.
Akichangia mjadala wa
Bajeti ya Ofisi ya Waziri
Nkamia kasema kweli: Waislam
Tuzungumze na baba sio mtoto
Mkuu siku ya tarehe 15
Aprili 2013, Mhe. Selasini
alitoa shutuma nzito dhidi ya
Uongozi wa UDOM kuwa
kuna kundi la wanafunzi
na waalimu wa Kiislamu
wanaofanya vikao vya siri
na kupanga njama dhidi
ya Wakristo. Kwa mapana
yake, kauli ya Mhe. Selasini
ina maana ya kuwa ukimya
unaoonyeshwa na uongozi
wa juu wa UDOM kuhusu
suala hili, unathibitisha kuwa
uongozi wa Chuo unalijua
suala hilo vizuri au unashiriki
moja kwa moja katika njama
hizo dhidi wa Wakristo hapo
chuoni. Kauli hii inawalenga
Profesa Idris Kikula na
Profesa Shaaban Mlacha kwa
sababu wao ndio Waislamu.
Shutuma alizozitoa Mhe
Selasini ni nzito na hazifai
kupuuzwa. Kwa kulijua
hilo, Mhe. Juma Selemani
Nkamia Mbunge wa Kondoa
Kusini alizingatia ushauri
wa Wazaramo unaosema
kuwa “akutukanae kwenye
pombe, nawe mjibu kwenye
pombe”. Akichangia Bajeti
hiyo hiyo, siku hiyo hiyo,
Mhe. Nkamia alisema kuwa
yeye ni mwanafunzi hapo
UDOM na hajawahi kusikia
ubaguzi ambao Mhe. Selasini
anaouzungumzia. Majibu ya
Mhe. Nkamia yanazaa maswali
kadhaa ambayo ni vyema
Waislamu tukajiuliza. Hivi
ni kwa nini shutuma nyingi
na hasa za udini zimekuwa
zikielekezwa kwenye Taasisi
kubwa ambazo zinaongozwa
na Waislamu? Ni kwa nini
Wakristo wamekuwa na tabia
ya kuamini na kutaka jamii
yote iamini kuwa Muislamu
akipewa nafasi ya juu ya
uongozi atakuwa amepewa
kwa sababu tu ya Uislamu
wake na wala si sifa zake? Ni
kwa nini akiwepo Muislamu
zaidi ya mmoja kwenye
uongozi wa juu (kama ilivyo
UDOM), Wakristo wanaamini
k u w a Wa i s l a m u h a o
wamependelewa na kuwepo
kwao hapo hawatotenda
haki kwa Wakristo? Kwa
nini Wakristo wakiwa wengi
kwenye uongozi wa juu wa
Taasisi yoyote ile wanaamini
kuwa hiyo ni haki yao?
Ili kupata majibu ya baadhi
ya maswali haya, tuangalie
Jukwaa ambalo Mhe. Selasini
amelitumia kutoa shutuma
zake. Jukwaa alilolitumia
ni Bunge. Mara tu baada
ya Uchaguzi Mkuu mwaka
2010, Waheshimiwa Wabunge
walifanya uchaguzi kuchagua
Mhe Spika, Mhe Naibu Spika
na Waheshimiwa Wenyeviti
wa Bunge (Presiding Officers)
Watatu. Kwa mujibu wa
Kanuni za Bunge, kati ya
Wenyeviti Watatu wa Bunge,
mmoja lazima atoke Zanzibar.
Matokeo ya uchaguzi huo
ni kuwa viongozi WOTE
walikuwa Wakristo! Uongozi
ulikuwa kama ifuatavyo:
Spika Anna Makinda
Mkristo, Naibu Spika
J o b N d u g a i , M k r i s t o ,
Mwenyekiti J e n i s t e r
M h a g a m a M k r i s t o ,
Mwenyekiti G e o r g e
Simbachawenye
(baadae Mhe Zungu)
Mkristo, Mwenyekiti
Sylvester Massale Mabumba
(Dole, Zanzibar)
Mkristo.
La kushangaza ni kuwa
h a t a p a l e a l i p o t a k i w a
Mbunge kutoka Zanzibar ili
awe Mwenyekiti wa Bunge,
basi nafasi hiyo pia akapewa
Mkristo! Ikumbukwe kuwa
Mhe Mabumba ndio Mbunge
PEKEE kutoka Zanzibar
ambaye ni Mkristo!
K w a u p a n d e w a
Menejimenti, Katibu wa
Bunge (Dr. Thomas Kashilila)
na Wakuu wa Idara WOTE ni
Wakristo! Je, Mhe Joseph
Selasini analionaje hili?
Pamoja na unyeti wa
Taasisi hii, hata mara moja
Waislamu hawajalalamika
kuwa Bunge linaongozwa
na Wakristo watupu. Wao
w a m e k u w a w a k i a m i n i
kuwa waliochanguliwa
wamechaguliwa kwa uwezo
wao (na sio vinginevyo)
na kwamba watatekeleza
majukumu yao kwa haki
na kwa faida ya taifa. Sasa
kwa nini mantiki hiyo hiyo
haitumiki pale ambapo
Waislamu wamechaguliwa
au wameteuliwa kuongoza
Taasisi yoyote ya Umma?
Kwa nini kuwepo na mashaka
kuwa wamepata nafasi hizo
kwa sababu tu ya dini zao?
Kama Mhe Selasini anaona
kuwepo kwa Profesa Idris
Kikula na Profesa Shaaban
Mlacha UDOM ni udini,
je ameangalia uongozi wa
juu wa Vyuo Vikuu vyote
vya Umma hapa nchini?
Kwa Mhe Selasini na wale
wanaoitakia mema Tanzania,
wafahamu kuwa jumla ya
Vyuo Vikuu vya Umma na
Taasisi za Umma za Elimu
ya Juu zinazotoa shahada
kwa kiwango cha Digirii hapa
nchini ni 19. Ukijumuisha na
Tume ya Vyuo Vikuu yaani
Tanzania Commission for
Universities (TCU) ambaye
n d i y e M d h i b i t i , j u m l a
zinakuwa Taasisi 20. Kati
ya Vyuo/Taasisi hizo 20,
Wakuu wa Vyuo/Taasisi 17
ni Wakristo na Wakuu 3 tu
ndio Waislamu. Kiuwiano
hii ni sawa na 85% Wakristo
na Waislamu ni 15% tu kama
inavyoonekana hapa:
1 . C h u o K i k u u c h a
Dodoma Prof.
Idris Kikula Muislamu
2 . C h u o K i k u u c h a
Ardhi Prof. Idris Mshoro
Muislamu
3. Taasisi ya Ustawi wa
Jamii Dr. Abuu Mvungi
Muislamu
4. Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam P r o f . R w e k a z a
Mukandala
Mkristo
5 . C h u o K i k u u c h a
Sokoine Prof.
Gerald C Monela Mkristo
6. Chuo Kikuu cha Tiba
Muhimbili Prof. Kaaya
Mkristo
7. Chuo Kikuu cha Mzumbe
Prof. Joseph Kuzilwa
Mkristo
8. Chuo Kikuu Huria Prof.
Tolly Mbwette Mkristo
9 . C h u o K i k u u c h a
Teknolojia, Mbeya
Prof. Joseph Msambichaka
Mkristo
10. Chuo Kikuu cha
Katavi-Mkristo
11. Chuo cha Moshi
MUCCOBS P r o f .
Faustine K. Bee Mkristo
12. Chuo cha Elimu DSM
(DUCE) Prof. Mfinanga
Mkristo
13. Chuo cha Elimu
Mkwawa (MUCE)Prof.
Amandina Lihamba
Mkristo
14. Chuo cha IFM Prof.
Godwin Mjema Mkristo
15. Taasisi ya Nelson
M a n d e l a P r o f . B u r t o n
Mwamila Mkristo
16. Taasisi ya Teknolojia
DSM (DIT) P r o f .
Kandoro Mkristo
17. Chuo cha Biashara
( C B E ) - P r o f . M j e m a
Mkristo
18. Chuo cha Mwalimu
Nyerere - D k . M a g o t i
Mkristo
19. Chuo cha Uhasibu
Arusha P r o f . J o h a n n e s
Monyo Mkristo
20. Tume ya Vyuo Vikuu
Prof. Sifune Mchome
Mkristo
N a d h a n i w e n g i
watakumbuka kuwa mwaka
jana wakati Rais Kikwete
ameteuwa wajumbe wa Tume
ya Katiba, Bwana Edwin Mtei
aliandika kwenye jamiiforums
kupinga uteuzi ule kwa madai
kuwa wajumbe wengi ni
Waislamu. Katika kutetea
hoja yake, mzee Mtei amedai
kuwa katika utendaji wa
kazi, si rahisi mtu akaweza
kujizuia hisia ya imani (dini)
yake isiingilie utendaji wake.
Hivyo basi, mzee Mtei alidai
kuwa kwa kuwa Tume ya
Katiba ina wajumbe wengi
Waislamu, itakuwa rahisi
kwa imani ya dini hiyo
kupenyezwa katika Katiba
mpya. Kwa kuzingatia hoja
ya mzee Mtei, kama uongozi
wa Vyuo Vikuu na Taasisi
za Elimu ya Juu nchini upo
katika sura tuliyoionyesha
hapo juu, ni dhahiri kuwa si
rahisi kwa vijana wa Kiislamu
kupata Elimu ya Juu na hasa
ukizingatia kuwa Baraza
la Mitihani limesheheni
Wakristo na tokea liundwe
halijapata HATA MARA
M O J A k u o n g o z w a n a
Mwislamu.
Hivi karibuni kumekuwa na
malalamiko kuwa Mhe Rais
Kikwete anateuwa Waislamu
katika nafasi nyeti za uongozi.
Mifano mikubwa ambayo
imekuwa ikirudiwa mara
kwa mara ni Mkuu wa Polisi
Saidi Mwema, Mkurugenzi
wa Usalama Othman Rashid,
Jaji Mkuu Mohamed Chande
na Waziri wa Ulinzi Mhe
Shamsi Nahodha. Wakati
Wakristo wanalalamikia teuzi
hizo mbalimbali ambazo
zimezingatia uwezo, ujuzi
na uzoefu wa Walioteuliwa,
wanasahau kabisa kuwa kwa
kipindi kirefu wakati wa
utawala wa Awamu ya Tatu
Viongozi Waandamizi wa
Chama na Serikali walikuwa
Wakristo lakini Waislamu
hawakuliona kama hilo ni
tatizo. Mwaka 1996, mara tu
baada ya Serikali ya Awamu
ya Tatu ilipoingia madarakani
uongozi ulikuwa hivi:
Serikali
Benjamin William Mkapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano
Mkristo
Fredrick T Sumaye Waziri
Mkuu Mkristo
Maokola Majogo Waziri
wa Ulinzi Mkristo
C. Apson Mkurugenzi wa
Usalama Mkristo
Harun Mahundi Mkuu wa
Polisi Mkristo
Jenerali Robert Mboma
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Mkristo
Wakristo wamesahau kuwa
katika kipindi hicho Wakuu
WOTE wa vyombo vya ulinzi
na usalama pamoja na Waziri
wa Ulinzi walikuwa Wakristo
WATUPU mpaka baadae
alipoteuliwa Omari Mahita.
Katika utawala wa Rais
Kikwete haijatokea HATA
MARA MOJA Wakuu wote
wa Vyombo vya Ulinzi na
Usalama wakawa Waislamu
watupu! Aidha ni vyema
tukajikumbusha kuwa wakati
WOTE wa utawala wa Rais
Kikwete Mkuu wa Majeshi
amekuwa ni Mkristo.
Chama
Benjamin William Mkapa
Mwenyekiti Mkristo
John Samwel Malecela
Makamu Mwenyekiti Bara
Mkristo
Philip Mangula Katibu
Mkuu Mkristo
Si hivyo tu, Wakristo
pamoja na Mhe Selasini
wamesahau kuwa katika
kipindi CHOTE cha Serikali
ya Awamu ya Tatu Mihimili
YOTE ya dola ilikuwa
inashikwa na Wakristo kama
ifuatavyo:
Benjamin W Mkapa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mkristo
Pius Msekwa
Spika wa Bunge Mkristo
Francis Nyalali Jaji Mkuu
Mkristo
Barnabas Samatta Jaji
Mkuu Mkristo
Aidha hali hiyo hiyo
ilijitokeza wakati wa Serikali
ya Awamu ya Kwanza ya
Julius Nyerere wakati yeye
alipokuwa Rais, Spika
wa Bunge Chifu Erasto
Mang’enya na Jaji Mkuu
Agostino Saidi/Francis
Nyalali. La kushangaza ni
kuwa kila alipokuwa Rais
Mkristo, Mihimili yote Mitatu
wa Dola imekuwa chini ya
Wakristo. Lakini haikuwahi
kutokea hata mara moja
wakati Rais ni Muislamu
(kama ilivyokuwa wakati
wa Rais Mwinyi na sasa
Rais Kikwete), Mihimili ya
Dola kushikwa na Waislamu
watupu. Hili halijawahi
kutokea hata mara moja!
Kwa kuzingatia hoja ya
Mhe Selasini na wengine
wenye fikra kama zake,
u o n g o zi w a U D OM n i
mbovu kwani umeshindwa
kudhibiti upendeleo na
ukandamizaji unaofanywa na
Waislamu dhidi ya Wakristo.
Swali la kumuuliza Mhe
Selasini je, wakati Waislamu
walipodhulumiwa waziwazi
na Dr. Joyce Ndalichako
Katibu Mtendaji wa Baraza
la Mitihani kwa kufelishwa
kwa makusudi kabisa mbona
hatukumsikia kusimama
B u n g e n i k u z u n g u m z i a
dhulma hii? Wakati Getrude
Mongella alipokula pesa Dola
200,000 za Bunge la Afrika
na Serikali akakubali kulipa
deni lile, mbona Mhe Selasini
hakusimama Bungeni kupinga
hoja hiyo? Au kwa sababu tu
Ndalichako na Mongella ni
Wakristo?
Wakati Dr. Charles Kimei
Mkurugenzi wa Benki ya
CRDB anatoa maagizo kwa
Mameneja wake wote wa
Mikoa kuwa watoe Sadaka
Kanisani (fungu la 10)
kutokana na faida ambayo
Benki imepata, mbona Mhe
Selasini hakuhoji Bungeni
wizi huu wa sehemu ya fedha
za Umma zinazopelekwa
Kanisani? Hasa ikizingatiwa
kuwa CRDB imesajiliwa
kwenye Soko la Mitaji na
Hisa. Benki hii ni Kampuni
ya Umma (Public Company)
ambayo Watanzania wa Dini
ZOTE wana Hisa. Au kwa
sababu Mkurugenzi Mtendaji
wa Benki hiyo ni Mkristo na
anatoka Moshi kama alivyo
Mh Selasini?
Unafiki huu wa Mhe
Selasini na watu wa aina
yake mpaka lini?
Mwaka 1992 tumeshuhudia
utiaji sahihi wa Makubaliano
b a i n a y a S e r i k a l i n a
Makanisa kuhusu Serikali
kuwapa fedha Makanisa ili
waendeshe huduma za afya
katika hospitali zao ambazo
zitatumika kwa wananchi
pia. Waislamu walilalamikia
sana utaratibu ule kwa sababu
wajibu wa kutoa huduma ya
afya ni wa Serikali. Hivyo
basi isingekuwa vyema kwa
Serikali kujivua wajibu wake
na kuipa Taasisi nyingine.
Mantiki ya utaratibu ule
ilikuwa ni utaratibu wa muda
hadi hapo Serikali itakapopata
uwezo wa kujenga hospitali
zake. Cha kushangaza ni
kuwa kwa miaka 20 sasa
tumeshuhudia namna fedha
za Umma zinavyoporwa na
kupelekwa Makanisani kwa
kisingizio cha kuendesha
hospitali teule na kwamba
Serikali haina dalili ya kujenga
hospitali za Umma. Ikiwa
Serikali imeweza kujenga
shule za Kata nchi nzima kwa
chini ya miaka 2, iweje leo
Serikali imeshindwa kujenga
zahanati za Kata nchi nzima
ili kukomesha uporaji wa
mali ya Umma unaofanywa
na Makanisa?
Kwa kuwa Bunge letu
lipo katika kipindi cha
kujadili Bajeti ya Serikali
tunamwomba Mhe Selasini
wakati wa mjadala wa Bajeti
ya Wizara ya Afya asimame
na kuhoji kwa nguvu zote
tokea mwaka 1993 hadi
leo Serikali imetumia kiasi
gani kuhudumia hospitali
za Makanisa? Ni kiasi gani
zinahitajika kujenga zahanati
za Kata nchi nzima? Kwa
nini katika kipindi chote cha
miaka 20 Serikali haikuona
u m u h i m u w a k u j e n g a
hospitali zake na kutimiza
w a j i b u w a ke k w a r a i a
ambao wanalipa kodi? Iweje
Serikali ishindwe kujenga na
kuendesha hospitali hali ya
kuwa ina vyanzo vingi vya
mapato lakini Kanisa liweze
kufanya hivyo kwa kutegemea
fedha za Serikali na misaada?
Ni lini Serikali itakamilisha
ujenzi wa hospitali za Umma
ili kuachana na utaratibu
wa sasa wa kupora fedha za
Umma na kupeleka kwenye
mahospitali ya Kanisa?
HITIMISHO
Kwa kuhitimisha tunapenda
kumfahamisha Mhe Selasini
na wenziwe wenye mawazo
kama yake kuwa nchi hii
imekuwa na amani kwa muda
mrefu kutokana na uvumilivu
wa Waislamu. Ni vyema
Mhe Selasini akafahamu
kuwa amani ya kweli inaenda
na HAKI. Amani na haki
ni sawa na watoto pacha.
Tokea nchi yetu ipate uhuru
Waislamu wamefanyiwa
madhila makubwa sana na
kumekuwa na hila nyingi
s a n a z a k u w a r u d i s h a
nyuma kimaendeleo na pia
kuwagombanisha na jamii.
Mara kadhaa Waislamu
wamekuwa wakihusishwa
na vitendo vya uvunjaji wa
amani kama vile kusingiziwa
kuingiza kontena la majambia
nk. Lengo kuu ni kuionyesha
jamii kuwa Waislamu ni watu
wa shari. Aidha viongozi
wa Kiislamu Serikalini
wamekuwa wakitupiwa
shutuhuma mbalimbali kama
ambavyo alivyofanyiwa
Profesa Kighoma Malima
a l i p o z u s h i w a u w o n g o
kuwa amejenga msikiti
Wizara ya Elimu na mambo
mengineyo.
L a k u s h a n g a z a n i
kuwa wakati haya yote
y a n a e n d e l e a , Wa k r i s t o
w a m e k u w a w a k i f a n y a
vitendo vya kutishia amani
waziwazi lakini hakuna
hatua yoyote iliyochukuliwa
dhidi yao. Mfano Wakristo
wametangaza kuundwa kwa
Tume ya Majeshi ya Kivita
ya Kikristo (The Commission
of Armed Forces). Jambo hili
ni la hatari sana na linaacha
maswali mengi bila kupata
majibu. Je, Tume hii ipo ndani
ya Jeshi letu la Ulinzi au nje
ya Jeshi? Je, Makamanda
wake ni nani na wanaripoti
wapi? Je, Amiri Jeshi Mkuu
wake ni nani? N.k.
K w e n y e G a z e t i l a
Mtanzania la tarehe 10
Aprili 2013 kuna mwandishi
a m e a n d i k a m a k a l a
kuhusu vuguvugu la udini
linaloendelea hivi sasa
nchini. Kwa mujibu wa jina
la mwandishi, inaelekea
ni Mkristo. Kubwa katika
aliyoyaandika ni kuwa
Waislamu wanalalamika
hawana uwakilishi wa kutosha
kwenye vyombo vya maamuzi
na Serikalini. Pamoja ya kuwa
huo ndio ukweli, mwandishi
anasema kuwa si vyema
watu wakapewa dhamana
kubwa kwa sababu tu za
dini zao na kuwa na haja ya
kupata uwiano mzuri wa dini
hizi mbili. Kama Waislamu
hawapati fursa ya kushika
nyadhifa kubwa Serikalini
kwa sababu ya upungufu wa
sifa na hasa elimu, ni vyema
basi Serikali ikaliangalia suala
la kuwaendeleza Waislamu
kielimu. Pamoja na Ukristo
wake, mwandishi amekuwa
mkweli na anaona hatari
iliyopo mbele yetu ya kuliacha
kundi kubwa la raia likiwa
nyuma kimaedeleo wakati
kundi jingine linapiga hatua.
Hawa ndio wazalendo wa
kweli na wanaoitakia mema
Tanzania ili iwe na amani
ya kudumu sio kama Mhe
Selasini ambae anaongozwa
na jazba na mihemuko.
Kwa upande wa Waislamu,
nadhani wakati sasa umefika
wa kuzungumza na serikali
na kuiambia ukweli.
M h e s h i m i w a J u m a
Selemani Nkamia amefikisha
ujumbe. Kilichobaki ni wajibu
wetu kuufanyia kazi.
Dr. Joycela Mitihani limesheheni
Wakristo na tokea liundwe
halijapata HATA MARA
M O J A k u o n g o z w a n a
Mwislamu.
Hivi karibuni kumekuwa na
malalamiko kuwa Mhe Rais
Kikwete anateuwa Waislamu
katika nafasi nyeti za uongozi.
Mifano mikubwa ambayo
imekuwa ikirudiwa mara
kwa mara ni Mkuu wa Polisi
Saidi Mwema, Mkurugenzi
wa Usalama Othman Rashid,
Jaji Mkuu Mohamed Chande
na Waziri wa Ulinzi Mhe
Shamsi Nahodha. Wakati
Wakristo wanalalamikia teuzi
hizo mbalimbali ambazo
zimezingatia uwezo, ujuzi
na uzoefu wa Walioteuliwa,
wanasahau kabisa kuwa kwa
kipindi kirefu wakati wa
utawala wa Awamu ya Tatu
Viongozi Waandamizi wa
Chama na Serikali walikuwa
Wakristo lakini Waislamu
hawakuliona kama hilo ni
tatizo. Mwaka 1996, mara tu
baada ya Serikali ya Awamu
ya Tatu ilipoingia madarakani
uongozi ulikuwa hivi:
Serikali
Benjamin William Mkapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano
Mkristo
Fredrick T Sumaye Waziri
Mkuu Mkristo
Maokola Majogo Waziri
wa Ulinzi Mkristo
C. Apson Mkurugenzi wa
Usalama Mkristo
Harun Mahundi Mkuu wa
Polisi Mkristo
Jenerali Robert Mboma
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Mkristo
Wakristo wamesahau kuwa
katika kipindi hicho Wakuu
WOTE wa vyombo vya ulinzi
na usalama pamoja na Waziri
wa Ulinzi walikuwa Wakristo
WATUPU mpaka baadae
alipoteuliwa Omari Mahita.
Katika utawala wa Rais
Kikwete haijatokea HATA
MARA MOJA Wakuu wote
wa Vyombo vya Ulinzi na
Usalama wakawa Waislamu
watupu! Aidha ni vyema
tukajikumbusha kuwa wakati
WOTE wa utawala wa Rais
Kikwete Mkuu wa Majeshi
amekuwa ni Mkristo.
Chama
Benjamin William Mkapa
Mwenyekiti Mkristo
John Samwel Malecela
Makamu Mwenyekiti Bara
Mkristo
Philip Mangula Katibu
Mkuu Mkristo
Si hivyo tu, Wakristo
pamoja na Mhe Selasini
wamesahau kuwa katika
kipindi CHOTE cha Serikali
ya Awamu ya Tatu Mihimili
YOTE ya dola ilikuwa
inashikwa na Wakristo kama
ifuatavyo:
Benjamin W Mkapa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mkristo
Pius Msekwa
Spika wa Bunge Mkristo
Francis Nyalali Jaji Mkuu
Mkristo
Barnabas Samatta Jaji
Mkuu Mkristo
Aidha hali hiyo hiyo
ilijitokeza wakati wa Serikali
ya Awamu ya Kwanza ya
Julius Nyerere wakati yeye
alipokuwa Rais, Spika
wa Bunge Chifu Erasto
Mang’enya na Jaji Mkuu
Agostino Saidi/Francis
Nyalali. La kushangaza ni
kuwa kila alipokuwa Rais
Mkristo, Mihimili yote Mitatu
wa Dola imekuwa chini ya
Wakristo. Lakini haikuwahi
kutokea hata mara moja
wakati Rais ni Muislamu
(kama ilivyokuwa wakati
wa Rais Mwinyi na sasa
Rais Kikwete), Mihimili ya
Dola kushikwa na Waislamu
watupu. Hili halijawahi
kutokea hata mara moja!
Kwa kuzingatia hoja ya
Mhe Selasini na wengine
wenye fikra kama zake,
u o n g o zi w a U D OM n i
mbovu kwani umeshindwa
kudhibiti upendeleo na
ukandamizaji unaofanywa na
Waislamu dhidi ya Wakristo.
Swali la kumuuliza Mhe
Selasini je, wakati Waislamu
walipodhulumiwa waziwazi
na Dr. Joyce Ndalichako
Katibu Mtendaji wa Baraza
la Mitihani kwa kufelishwa
kwa makusudi kabisa mbona
hatukumsikia kusimama
B u n g e n i k u z u n g u m z i a
dhulma hii? Wakati Getrude
Mongella alipokula pesa Dola
200,000 za Bunge la Afrika
na Serikali akakubali kulipa
deni lile, mbona Mhe Selasini
hakusimama Bungeni kupinga
hoja hiyo? Au kwa sababu tu
Ndalichako na Mongella ni
Wakristo?
Wakati Dr. Charles Kimei
Mkurugenzi wa Benki ya
CRDB anatoa maagizo kwa
Mameneja wake wote wa
Mikoa kuwa watoe Sadaka
Kanisani (fungu la 10)
kutokana na faida ambayo
Benki imepata, mbona Mhe
Selasini hakuhoji Bungeni
wizi huu wa sehemu ya fedha
za Umma zinazopelekwa
Kanisani? Hasa ikizingatiwa
kuwa CRDB imesajiliwa
kwenye Soko la Mitaji na
Hisa. Benki hii ni Kampuni
ya Umma (Public Company)
ambayo Watanzania wa Dini
ZOTE wana Hisa. Au kwa
sababu Mkurugenzi Mtendaji
wa Benki hiyo ni Mkristo na
anatoka Moshi kama alivyo
Mh Selasini?
Unafiki huu wa Mhe
Selasini na watu wa aina
yake mpaka lini?
Mwaka 1992 tumeshuhudia
utiaji sahihi wa Makubaliano
b a i n a y a S e r i k a l i n a
Makanisa kuhusu Serikali
kuwapa fedha Makanisa ili
waendeshe huduma za afya
katika hospitali zao ambazo
zitatumika kwa wananchi
pia. Waislamu walilalamikia
sana utaratibu ule kwa sababu
wajibu wa kutoa huduma ya
afya ni wa Serikali. Hivyo
basi isingekuwa vyema kwa
Serikali kujivua wajibu wake
na kuipa Taasisi nyingine.
Mantiki ya utaratibu ule
ilikuwa ni utaratibu wa muda
hadi hapo Serikali itakapopata
uwezo wa kujenga hospitali
zake. Cha kushangaza ni
kuwa kwa miaka 20 sasa
tumeshuhudia namna fedha
za Umma zinavyoporwa na
kupelekwa Makanisani kwa
kisingizio cha kuendesha
hospitali teule na kwamba
Serikali haina dalili ya kujenga
hospitali za Umma. Ikiwa
Serikali imeweza kujenga
shule za Kata nchi nzima kwa
chini ya miaka 2, iweje leo
Serikali imeshindwa kujenga
zahanati za Kata nchi nzima
ili kukomesha uporaji wa
mali ya Umma unaofanywa
na Makanisa?
Kwa kuwa Bunge letu
lipo katika kipindi cha
kujadili Bajeti ya Serikali
tunamwomba Mhe Selasini
wakati wa mjadala wa Bajeti
ya Wizara ya Afya asimame
na kuhoji kwa nguvu zote
tokea mwaka 1993 hadi
leo Serikali imetumia kiasi
gani kuhudumia hospitali
za Makanisa? Ni kiasi gani
zinahitajika kujenga zahanati
za Kata nchi nzima? Kwa
nini katika kipindi chote cha
miaka 20 Serikali haikuona
u m u h i m u w a k u j e n g a
hospitali zake na kutimiza
w a j i b u w a ke k w a r a i a
ambao wanalipa kodi? Iweje
Serikali ishindwe kujenga na
kuendesha hospitali hali ya
kuwa ina vyanzo vingi vya
mapato lakini Kanisa liweze
kufanya hivyo kwa kutegemea
fedha za Serikali na misaada?
Ni lini Serikali itakamilisha
ujenzi wa hospitali za Umma
ili kuachana na utaratibu
wa sasa wa kupora fedha za
Umma na kupeleka kwenye
mahospitali ya Kanisa?
HITIMISHO
Kwa kuhitimisha tunapenda
kumfahamisha Mhe Selasini
na wenziwe wenye mawazo
kama yake kuwa nchi hii
imekuwa na amani kwa muda
mrefu kutokana na uvumilivu
wa Waislamu. Ni vyema
Mhe Selasini akafahamu
kuwa amani ya kweli inaenda
na HAKI. Amani na haki
ni sawa na watoto pacha.
Tokea nchi yetu ipate uhuru
Waislamu wamefanyiwa
madhila makubwa sana na
kumekuwa na hila nyingi
s a n a z a k u w a r u d i s h a
nyuma kimaendeleo na pia
kuwagombanisha na jamii.
Mara kadhaa Waislamu
wamekuwa wakihusishwa
na vitendo vya uvunjaji wa
amani kama vile kusingiziwa
kuingiza kontena la majambia
nk. Lengo kuu ni kuionyesha
jamii kuwa Waislamu ni watu
wa shari. Aidha viongozi
wa Kiislamu Serikalini
wamekuwa wakitupiwa
shutuhuma mbalimbali kama
ambavyo alivyofanyiwa
Profesa Kighoma Malima
a l i p o z u s h i w a u w o n g o
kuwa amejenga msikiti
Wizara ya Elimu na mambo
mengineyo.
L a k u s h a n g a z a n i
kuwa wakati haya yote
y a n a e n d e l e a , Wa k r i s t o
w a m e k u w a w a k i f a n y a
vitendo vya kutishia amani
waziwazi lakini hakuna
hatua yoyote iliyochukuliwa
dhidi yao. Mfano Wakristo
wametangaza kuundwa kwa
Tume ya Majeshi ya Kivita
ya Kikristo (The Commission
of Armed Forces). Jambo hili
ni la hatari sana na linaacha
maswali mengi bila kupata
majibu. Je, Tume hii ipo ndani
ya Jeshi letu la Ulinzi au nje
ya Jeshi? Je, Makamanda
wake ni nani na wanaripoti
wapi? Je, Amiri Jeshi Mkuu
wake ni nani? N.k.
K w e n y e G a z e t i l a
Mtanzania la tarehe 10
Aprili 2013 kuna mwandishi
a m e a n d i k a m a k a l a
kuhusu vuguvugu la udini
linaloendelea hivi sasa
nchini. Kwa mujibu wa jina
la mwandishi, inaelekea
ni Mkristo. Kubwa katika
aliyoyaandika ni kuwa
Waislamu wanalalamika
hawana uwakilishi wa kutosha
kwenye vyombo vya maamuzi
na Serikalini. Pamoja ya kuwa
huo ndio ukweli, mwandishi
anasema kuwa si vyema
watu wakapewa dhamana
kubwa kwa sababu tu za
dini zao na kuwa na haja ya
kupata uwiano mzuri wa dini
hizi mbili. Kama Waislamu
hawapati fursa ya kushika
nyadhifa kubwa Serikalini
kwa sababu ya upungufu wa
sifa na hasa elimu, ni vyema
basi Serikali ikaliangalia suala
la kuwaendeleza Waislamu
kielimu. Pamoja na Ukristo
wake, mwandishi amekuwa
mkweli na anaona hatari
iliyopo mbele yetu ya kuliacha
kundi kubwa la raia likiwa
nyuma kimaedeleo wakati
kundi jingine linapiga hatua.
Hawa ndio wazalendo wa
kweli na wanaoitakia mema
Tanzania ili iwe na amani
ya kudumu sio kama Mhe
Selasini ambae anaongozwa
na jazba na mihemuko.
Kwa upande wa Waislamu,
nadhani wakati sasa umefika
wa kuzungumza na serikali
na kuiambia ukweli.
M h e s h i m i w a J u m a
Selemani Nkamia amefikisha
ujumbe. Kilichobaki ni wajibu
wetu kuufanyia kazi.
Source AN-NUUR JAMADUL THAN 1434, IJUMAA APRILI 19 - 25, 2013
 
A K I C H A N G I A
Bungeni mapema wiki
hii Mheshimiwa John
Chiligati alisema kuwa
haitakuwa kumtendea
haki Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete iwapo watu
watashutumu tu Serikali
yake na kufumbia kabisa
macho maendeleo makubwa
aliyoleta hasa katika sekta
ya elimu. Akitumia msemo
wa "mnyonge mnyongeni
lakini haki yake mpeni",
akatoa takwimu kuonyesha
jinsi Serikali ilivyopiga
hatua katika kupanua elimu
ambapo hivi sasa takribani
kila mtoto wa shule ya
msingi anayefaulu mtihani
wa darasa la saba, basi
hupata nafasi ya kuingia
sekondari.
Akifafanua akasema kuwa
Mheshimiwa alichukua
nchi tukiwa na Sekondari
zisizofika 2000, ambapo
ni asilimia ndogo sana
ya watoto waliokuwa
wakimaliza darasa la
saba na kufaulu mtihani
walikuwa wakipata nafasi
ya kuingia sekondari.
Kasema hivi sasa kuna
jumla ya shule za sekondari
zaidi ya 4000. "Je, hili utaita
ni janga la kitaifa?" Alihoji
Chiligati.
K a m a a l i v y o s e m a
Mheshimiwa John Chiligati,
changamoto kubwa iliyopo
sasa ni kuziboresha shule
hizo ikiwa na kuhakikisha
kuwa zina walimu, vitabu na
vifaa vingine muhimu. Sio
kubeza na kuponda juhudi
hizo na kupaka picha kuwa
hakuna kilichofanyika ila
kuharibu.
Lakini hata tukiangalia hoja
zinazotolewa kuwa kiwango
cha elimu kimeshuka, lazima
tujiulize, kiwango hicho
kimeshuka toka wapi hadi
wapi? Lini kilikuwa juu na
nini kigezo tunachotumia.
Ukiacha lugha za kisiasa,
ambayo tumeyarithi kutoka
kwa awamu ya kwanza ni
kuporomoka kwa viwanda
na mashirika ya umma
hadi kufa. Akifafanua hali
a l i y o t u a c h i a Mw a l i m u
Nyerere wakati anang'atuka
Dr. John Sivalon anasema
kuwa nchi ilikuwa haina kitu
kuanzia chakula, nguo na
mahitaji yote muhimu.
Anasema, muda mfupi
kabla ya Mwalimu Nyerere
kuamua kung'atuka, "hali
ya uchumi hapa Tanzania
ilididimia sana. Hali hiyo
iliitwa "hali ngumu ya
Na Omar Msangi
RAIS Jakaya Kikwete (kulia) akiwa na Jaji Mkuu Chande.
uchumi", na kwa kweli
ilifanya maisha ya watu kuwa
magumu. Bidhaa za kawaida
na muhimu zilitoweka kabisa.
Vilevile, huduma za lazima
zilipotea, isipokuwa kama
mtu alikuwa na uwezo wa
"kuzungumza vizuri". Ili
watu wapate dawa ilibidi
wapite "mlango wa nyuma".
Rushwa na hongo vilizidi na
mafaili ya kesi na ya maombi
ya leseni ya aina mbalimbali
yalipotea kiajabu. Mwishowe,
manneo haya "mnyonge hana
haki" yalizidi kusikika."
Labda tuulize, haya ndiyo
mafanikio na maendeleo
yanayotarajiwa kupatikana
katika nchi yenye elimu bora
na wasomi makini?
Hivi sasa wanaharakati,
vyama vya upinzani na hata
wabunge wa Chama tawala,
CCM, na wananchi kwa
ujumla, wanapiga kelele juu
ya mikataba mibovu katika
sekta ya madini ambapo nchi
inaambulia kwato na mifupa
wakati makampuni ya nje
yakifaidi maini, steki na nundu
(madini). Tunalalamikia pia
mikataba kama ile ya Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro ambapo nchi
inapoteza mabilioni ya
shilingi kila mwaka huku
wageni wakifaidi. Tusisahau
p i a u l e u b i n a f s i s h a j i
ambapo wengine wanauita
‘ugenishaji'.
Pengine tujiulize, elimu
iliyotupa ‘wataalamu butu'
kama hawa waliotuletea
madudu mengi kama haya
pamoja na yale ya kuagiza
wageni kutoka Afrika ya
Kusini eti ndio watuendeshee
Shirika letu la umeme
TANESCO, ndio tunaita
elimu bora? Je, hizo zama
zilizotufikisha hapo, ndio
tunazisifia kuwa zilikuwa
zama zilizokuwa na kiwango
kizuri cha elimu?
Mzee Alhaj Ali Hassan
Mwinyi alipokea nchi hii
ikiwa haina hata mafuta ya
kuanzia kazi akalazimika
kuomba mafuta Iran. Aliingia
madarakani nchi ikiwa na
njaa, watu wakiwa hawana
chakula wala nguo za kuvaa.
Hizo zilikuwa zama ambapo
sabuni ya kuogea na dawa
ya mswaki ilikuwa anasa
isiyo kubalika. Ukikutwa na
kilo mbili za unga wa sembe
unakamatwa. Unaulizwa
umepata wapi, maana mtindo
ulikuwa wa kupewa nusu
kilo tu katika duka la kaya
na sharti ukapige foleni toka
alfajiri, pengine ushinde
kutwa mpaka jioni ndio
uambulie hiyo nusu kilo!
Haukupita muda mrefu,
n c h i i k a j a a n e e m a y a
vyakula, nguo na vitu vyote
muhimu kwa maisha. Kama
alivyojisemea mwenyewe
Mzee Mwinyi, watu wakala
m p a k a w a k a v i m b i w a .
Aliyasema hayo Mwinyi
baada ya kutukanwa sana
akidaiwa kutokufanya lolote
la maendeleo katika nchi.
Ufupi wa maneno, baada ya
watu kushiba, Mzee Mwinyi
alipakwa matope na kuonekana
hana lolote alilofanya kama
ambavyo hivi sasa juhudi
zote za kuunganisha mikoa
yote kwa barabara za lami
hazionekani wala hizi juhudi
za kutaka kuhakikisha elimu
ya sekondari inakuwa ndiyo
elimu ya msingi na kwamba
wanaomaliza kidato cha
sita wote wanapata nafasi
ya kupata elimu ya Chuo
Kikuu, haionekani. Kazi ni
moja tu: Kuponda, kubeza na
kutukana!
S i k u h i y o h i y o
aliyozungumza Mheshimiwa
J o h n C h i l i g a t i j u u y a
mafanikio ya Serikali katika
kupanua elimu ya sekondari,
k a b l a y a k e a l i s i m a m a
Mbunge wa Rombo kupitia
CHADEMA, Mheshimiwa
Joseph Roman Selasini Shao
ambapo yeye mada yake kuu
ilikuwa suala la udini. Katika
jumla ya mazungumzo yake,
alishutumu uongozi katika
Chuo Kikuu cha Dodoma
kwamba hauna maana yoyote
kwa kile alichodai kuwa
unaendesha tu udini chuoni
hapo.
Aliposimama Mbunge
Juma Selemani Nkamia
aligusia mchango wa Selasini
ambapo alionyesha kuwa
pengine kinachomsumbua
mbunge huyo ni majina ya
Prof. Idrisa Kikula na Prof.
Shabani Mlacha. Kwamba
alichozoea Mbunge huyo ni
kusikia akina Peter, John na
Nicholus, wakishika nafasi
zote za juu katika taasisi za
umma. Hii kwamba akina
Prof. Idrisa nao wanaweza,
hajazoea.
Pengine niseme kuwa hili
ndio tatizo kubwa la nchi na
hili ndio litakalovuruga amani
ya nchi hii wala sio haya
ya kuchinja au kinachoitwa
mihadhara ya kashfa.
A l i c h o k i z u n g u m z i a
Mheshimiwa Juma Selemani
N k a m i a n d i o w e n g i n e
wanakiita ‘Mfumokristo',
k w a m b a u m e j e n g e k a
mtizamo kwamba Wakristo
ndio wenye haki ya kuhodhi
nafasi zote muhimu za
uongozi na utendaji. Akiingia
Muislamu anaonekana hafai
na atapigwa vita.
Viko Vyuo Vikuu vya
Umma nchini vipo 19,
Dodoma kikiwa kimoja
wapo, ambapo wakuu 17
ni Wakristo na Vyuo vitatu
tu ndio vyenye wakuu
Waislamu. Lakini hutasikia
hali hii ikilalamikiwa au
hata kama kutafanyika
jambo baya katika moja ya
vyuo vinavyoongozwa na
Wakristo, hutasikia, dini za
viongozi hao zikihusishwa na
tatizo hilo.
Nimewahi kuandika mara
kadhaa na narudia tena na
sitaona vibaya kurudia siku
nyingine, kwamba watoto
wengi wa Kiislamu hawakuwa
wakipata elimu ya juu sio
kuwa walikuwa hawataki au
hawana uwezo wa kusoma.
Lakini walibaguliwa na
kuporwa nafasi zao. Tume
na vikao vilivyokuwa vikikaa
kuchagua wanafunzi wa
kwenda sekondari walikuwa
Wakristo watupu na wakati
mwingine wenyeviti wakiwa
ni mapadiri. Kama alivyowahi
kusema Mzee Mwalongo na
Almarhum Bori Lilla ambao
tuseme pengine kwa bahati
mbaya waliwahi kubahatika
kuingia katika moja ya majopo
hayo, watoto wa Kiislamu
waliokuwa wamefaulu vizuri
majina yao yaliachwa na
nafasi zao kupewa Wakristo
waliokuwa na alama za chini.
Hali ni hiyo hiyo katikavyuo vikuu ambapo ushahidi
upo kuonyesha jinsi vijana
wa Kiislamu waliokuwa
wakifanya vizuri walikuwa
wakiachwa na kuchukuliwa
walio na alama za chini
wakibebwa na Ukristo
wao kubaki chuoni kama
walimu.
Sasa pengine ni kutokana
na rekodi hii, ambapo
Wa k r i s t o w a l i o k u w a
katika taasisi za umma
waliwabagua Waislamu,
ndio akina Selasini wadhani
kuwa Muislamu hastahili
kuwepo kwa sababu hii
sera ya kuwabagua na
kuwakwamisha Waislamu
itakwama.
Mzee Lilla alipohoji
mbona majina ya vijana
wa Kiislamu waliopata
daraja la kwanza na pili
hawajapangwa kwenda
kidato cha tano, mwenyekiti
wa jopo aliyekuwa Padiri
alimuuliza, "wewe mgeni
humu?" Mzee Lilla akajibu,
"Mimi Muislamu."
Mwaka jana Baraza la
Mitihani Tanzania liliingia
katika kashfa kubwa sana.
L i l i t a n g a z a m a t o k e o
yasiyo sahihi ambapo
l i l i w a f e l i s h a w a t o t o
wa Kiislamu na baadae
kulazimika kuyabadili.
Lakini wakati huo huo,
Baraza hilo linashutumiwa
kwa kufanya ubaguzi na
upendeleo katika ajira
ambapo hivi sasa Baraza
hilo linadaiwa kufanya kazi
kama Parokia. Wataalamu
waliowahi kuingia katika
kamati mbalimbali za
kuchunguza Baraza hilo,
walipigwa na butwaa kuona
jinsi linavyofanya kazi
kiholela bila ya kufuata
kanuni za kitaalamu za
kielimu na mitihani. Moja
ikiwa ni katika eneo la
kuweka alama za ufaulu na
‘garade range'.
L a k i n i m a a d h a l i
walioshika nafasi zote
muhimu katika Baraza
h i l o n i Wa k r i s t o ,
hutasikia wakiguswa wala
kashfa zinazowakumba
z i k i z u n g u m z w a a u
zikihusishwa na dini zao.
Tunasema kuwa hii
hali ya kudhani kuwa
Wakristo ndio wenye
haki ya kuongoza nchi hii
na taasisi zake muhimu,
ndio wengine wanaita
‘Mfumokristo' na ndiyo
italisambaratisha taifa
hili. Na kwa bahati mbaya
Serikali yetu inaonekana
kulilea na kulipalilia tatizo
hili, vinginevyo labda
ituambie, ni sababu zipi ni
kwa makubaliano gani na
Kanisa, na ni kwa sababu
gani za msingi ambazo
zinaifanya serikali iendelee
kujaza Wakristo katika
taasisi muhimu wakati
Waislamu wenye sifa
wapo kuweka uwiano.
Mtindo huu wa Serikali
ndio umewafikisha baadhi
ya watu kudhani kuwa
wao ndio wenye haki
ya kuongoza na kushika
madaraka. Wakishika
a k i n a K h a l f a n , h a t a
wakifanya vizuri vipi, yale
yao mazuri yataonekana
ni janga. Sasa hili ndio
Waislamu wanalilalamikia
na wasionekane kuwa ni
wachochezi.
Wa k a t i n a j i a n d a a
k u p o k e a m a k a l a h i i ,
nilipokea ujumbe mfupi
wa maneno kutoka kwa
msomaji mmoja wa An nuur.
Ujumbe huo unasema kuwa
Machi 13, 1978 zilifanyika
sherehe za kusherehekea
miaka 25 ya Uaskofu wa
Kardinali Rugambwa.
K a t i k a s h e r e h e h i z o
zilizofanyika katika Parishi
ya Mwemage, Kata ya
Ibwera, Tarafa ya Katerelo,
aliyechinja ng'mbe 3
alikuwa Marehemu Mzee
Mustafa Abdallah, wapishi
wakiwa Mzee Zahor Sinani
na Mwalimu Said Salum
Mutashobya.
"Hivi kweli ni kuchinja
au kuna mkono wa siasa?"
Alihoji mwandishi na
mtuma ujumbe huo.
Hoja ya msomaji huyu
ni kuwa kama ingekuwa
kuna mgogoro kwa upande
wa Wakristo kula nyama
iliyochinjwa na Muislamu,
b i l a s h a k a K a d i n a l i
Rugambwa asingeruhusu
M u i s l a m u k u c h i n j a
ng'ombe wa kuliwa katika
sherehe yake. Kwa usomi
wake wa Biblia na Ukristo
kwa ujumla uliopelekea
k u p e w a U a s k o f u n a
Ukadinali, hatudhani kuwa
hakuwa anajua mwongozo
wa Kikristo katika kuchinja
na kula nyama. Kwa hiyo,
ni wazi kuwa kama ni
mgogoro, hili ni suala la
kutengenezwa na serikali
inaweza kulimaliza kama
ikitaka.
Ni vivyo hivyo suala
la mihadhara. Ukiacha
wale wanaotukana na
kusema mambo yasiyo
katika Biblia, Qur'an au
vitabu vitakatifu, hakuna
namna tunaweza kuzuiya
Wa i s l a m u k u h u b i r i
kuwa Yesu Si Mungu au
Wakristo kusema kuwa
Yesu Ni Mungu. Kwa hiyo
kinachotakiwa hapa, ni kila
upande kuheshimu imani
ya mwingine.
Ila huna namna ya
kumfanya mtu anayeamini
kuwa anaonewa, akubali
kuishi katika hali hiyo
y a k u b a g u l i w a n a
kudhulumiwa maisha
yake yote. Atasimama na
kupinga. Sasa kama busara
itatawala, Serikali na jamii
ikachukua hatua za kuona
dhulma, tatizo litaondoka.
Lakini kwa mtindo huu
w a k u w a s h u t u m u n a
k u w a t a f u t i a s a b a b u
wanaolalamika, mbeleni
itakuwa kiza.
Lakini tutambue pia kuwa
kadiri tunavyochelewa
kulitatua ta tizo hili,
ndivyo wanaofaidika na
mfumo huu wanavyopata
kiburi na kujiona kuwa
wao ndio wenye haki na
kila kitu. Matoke yake
ni kuwa watakuwa radhi
kupambana na wanaotaka
kubadili mfumo huu.
Ndiyo haya tuliyoyaona
Bungeni ambapo mbunge
anasimama na kuponda
uongozi wa Chuo kwa
vile Mkuu na Makamu
w a k e n i Wa i s l a m u .
Lakini pia ndiyo haya
tuliyoyashuhudia ambapo
wakati Mheshimiwa Juma
Nkamia akiongea wengine
wanamkoromea mpaka
akakasirika na kutoa kauli
isiyostahiki kutolewa
Bungeni.
Source Annur,ijumaa tarehe 19-25 april 2013
 
KWA NINI TUSITAFUTE UFUMBUZI WA HAYA MATATIZO BADALA YA KUULIZANA WEWE NI DINI GANI AU IKULU KUNA WAKRISTO NA WAISLAM WANGAPI?
1.HALI NGUMU YA MAISHA nauli/kodi juu wakati kipato ni kile kile
2.HUDUMA ZA AFYA MBAYA.DAWA hakuna zikiwepo zaenda kwa hospital binafsi.
3.UBINAFSI WA VIONGOZI WETU -Kujilimbikizia mali kila mahali.Kufa kufaana
4.UFISADI -Dowans na Richmond
5.MIKATABA MIBOVU.Idara za madini na mali asili
6.KULINDANA KUNAKOLETA VIONGOZI WABOVU.Watoto wa vigogo kila penye idara nyeti nenda TRA,BOTn.k
7.UTAPANYAJI WA MALI NA RASILIMALI ZA UMMA.Magari ya umma kwa issue binafsi
8.KUONGEZEKA KWA TABAKA LA WALIONACHO NA WASIONACHO.Tajiri na masikini
9.KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI KUENEZA PROPAGANDA NA CHUKI.
10.UKOSEFU WA AJIRA.64% ya wahitimu ni jobless
11.VIWANDA VINGI KUFA NA KUFANYWA MAGOFU.
12.UKOSEFU WA HAKI KWENYE VYOMBO VYA MAAMUZI MFANO MAHAKAMA.
13.MIGOGORO KILA KONA HASA YA ARDHI ,WAWEKEZAJI KWANZA MZAWA BAADAYE..loliondo,kiteto n.k
14.MIFUMO MIBOVU YA UONGOZI HIVYO KUSABABISHA MZIGO MKUBWA KWA SERIKALI mfano vyeo vya ajabu tu kila
kona.
15.SIASA CHAFU HASA KWENYE MASUALA YA MSINGI MFANO MAJI AMBAYO NI ISSUE MUHIMU TEMBELEA SHY
TOWN,NZEGA,TABORA YOTE,SIMIYU,MPANDA KWA PINDA,DODOMA,DSM,MANYARA,GEITA ,BUNDA,N.K HAKUNA MAJI.
16.UJAMBAZI ULIKITHIRI WA RASILIMALI ZA TAIFA MFANO WANYAMA KUTOROSHWA.
17.ELIMU DUNI.

TUACHE KUWA WATUMWA WA UDINI BADALA YAKE TUTOE MUDA MWINGI KWENYE KERO ZINAZOTUKABILI..


SUKARI na ELIMU bure umesahau mkuu?
 
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Idris Kikula amekiri kuwapo kwa suala la udini chuoni hapo.
Akizungumza na Tanzania Daima jana kuhusiana na malalamiko ya suala hilo, Profesa Kikula alisema hali hiyo inatokana na matakwa ya wanafunzi wenyewe.

"Unakuta wanafunzi wanataka kupangwa kutokana na shule walizotoka au wakati mwingine wengine hutaka kukaa chumba kimoja kwa kuwa tabia hazilingani... wengine ni wanywaji wa pombe, sasa inakuwa ni ngumu kuwaweka watu wenye tabia tofauti. Lakini pia suala hili la udini lilianza miaka mitatu iliyopita kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi," alisema.

Hata hivyo, alisema yeye si mpangaji wa wanafunzi isipokuwa mkuu wa wanafunzi (Dean of Students) ndiye anayewajibika kupanga wanafunzi.

Awali wanafunzi chuoni hapo walimlalamikia Profesa Kikula kwa kupenyeza suala la udini chuoni hapo.

Mmoja wa wawakilishi wa wanafunzi aliyezungumza na Tanzania Daima, alisema hivi sasa hali ni mbaya chuoni hapo, kwani imesababisha mgawanyo kati ya Waislamu na Wakristo.

Mwakilishi huyo alisema hali hiyo inawaathiri kimasomo kutokana na wao kushindwa kujadili baadhi ya masomo kwa pamoja na kusema kuwa imefika mahala wanafunzi wametengewa mabweni ya kulala kutokana na dini zao.

"Wakati mwingine utasikia achana na hao makafikiri, mang'ong'o, kiuhalisia jambo hili ni baya sana, kwani athari zake ni kubwa na chanzo cha yote haya ni Profesa Kikula," alisema mwanafunzi huyo.

Alieleza kuwa awali chokochoko hizo zilianzia kwenye uchaguzi wa serikali ya wanafunzi mwaka jana ambapo kulikuwa na namna ya kuingiza masuala ya udini na itikadi za vyama.

"Profesa Kikula hayuko pekee yake, kwani anashirikiana na wenzake na alishawahi kuleta masheikh chuoni, jambo ambalo sisi kama wanafunzi wenye imani ya Kikristo tunapatwa na wasiwasi na tunaomba Rais Jakaya Kikwete alishughulikie suala hili," alisema.

source:Tanzania Daima
Hakuna mtu katuletea udini Tanzania kama Kikwete. Alivyo na akili finyu alidhani aneaza kutumia dini na waislamu kuficha ujinga wake
 
Yaani hawa watu wakiona Mwislamu anaongoza mahali ni kelele kama za chura halafu wanatuma gazeti lao la Chadema Daima kwenda kupotosha mambo zaidi.Huu udini wenu unamwisho tu.Mbona hamzungumzia Udsm,Ifm,Mzumbe mmebaki Udom tu

Mkuu hakuna Shaka kuwa UDOM kuna udini,hili linazungumzwa na wanafunzi wataisoma huko na sii gazeti wala chadema
 
Kwa hiyo mleta uzi we ulitakaje kuna kitu ulitaka kupenyeza imeshindikana unaanza kulia lia hivi haya mambo mtayaacha lini wewe ndo mdini kwa sababu unafikria udini, hivi utamlazisha mtu alale chumba kimoja na MLEVI acha watu wajichuje kwa tabia walevi mkae kivyenu na wasio walevi kivyao
 
Kwa hiyo mleta uzi we ulitakaje kuna kitu ulitaka kupenyeza imeshindikana unaanza kulia lia hivi haya mambo mtayaacha lini wewe ndo mdini kwa sababu unafikria udini, hivi utamlazisha mtu alale chumba kimoja na MLEVI acha watu wajichuje kwa tabia walevi mkae kivyenu na wasio walevi kivyao
Acha hayo yalishapitwa na wakati! Tujikite kwa watoto wetu waliofukuzwa. Sikilizeni news za leo, msikilize upande wao.
 
kwani huo c ndio mpango wao!kuoa/kuzalisha wasichana wa kikristo?mnatufanya hatujui msijue mlikolala ndipo tulipoamkia!pmbafu nyie

tehe tehe na nadhani kuna sehemu kubwa kati ya hao 7802
 
Duh...hebu endeleeni kuchimbua hatimaye tutafikia kujua kinachotokea UDOM.....nadhani bado kuna ukweli haujasemwa.
 
Hakuna mtu katuletea udini Tanzania kama Kikwete. Alivyo na akili finyu alidhani aneaza kutumia dini na waislamu kuficha ujinga wake
Kweli bhana shida yote hii tunayoiona kwa Raks wetu mpendwa Magufuli ni ukilaza na umbumbu wa Serikali iliyopita kudhani Serikali zilizopita hasa Nyerere ndiye amewafanya waislamu kudumaa kielimu. Huyo jaa aliyepita alisumbuka kuleta balance at ze expense ya wakristo na hii ilipata nguvu sana baada ya kushinda uchaguzi wa 2010 kwa kiwango kidogo kuliko wote waliowahi kutokea nchini. Hiyo nayo ilimchanganya na kujiona hataweza kupendwa kama Nyerere na hivyo akaamua kuwamendelea sana waislamu kiasi cha kupelekea magazeti kuibua msamiati wa OMBWE la uongozi hasa kipindi cha 2011 - 2013. Fikirieni hao waislamu waliobebwa kipindi cha awamu ya nne walikuwa wanashika nafasi za ngapi huko walikosoma - yaani utachoka.... Yaani wako nyuma mno kazi biashara tu.
 
Nakereka sana kushea mawazo na vilaza km wewe,dini inawezaje kumfanya mtu awe failure kichwani au akose uwezo wa kuongoza au kusimamia majukumu?Huna akili ndezi weee
 
Nakereka sana kushea mawazo na vilaza km wewe,dini inawezaje kumfanya mtu awe failure kichwani au akose uwezo wa kuongoza au kusimamia majukumu?Huna akili ndezi weee
Ba nasreen siyo hivyo unavyofikiria ila jiulize wewe uwe na passmrk kubwa lakini ukaachwa kwa sababu ya mtu fulani anataka wa dini fulani ambaye ulikuwa unamzidi almost kila kitu darasani. Tukubali tu ukweli na ndio maana ukifuatilia kwa undani juu ya kampeni ya kutumbua majipu wanaoogopa kutumbuliwa ni watu wa aina gani hasa, jibu liko wazi.
 
Udini upo ndio kwani sikila mwanafunzi ana dini yake hapo chuoni UDOM?
 
JK ndio kampeleka Kikula hapo kwa sababu ya dini yake!
We mpumbavu
Jadili juu ya Isanzu milimani hakuna
1)barabara
2)maji
3)shule
4) mzunguko wowote Wa fedha
5) huduma yeyote ya maana ya afya
6) MAENDELEO YOYOTE
7) Wanyisanzu ni maskini Wa kutupwa sawa au kupita wagogo
Nimeowa huko wasichana wenu warembo mno
 
Back
Top Bottom